Dk. Mwigulu akagua jengo la mama na mtoto Haydom
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Machi 2, 2026, amekagua Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Haydom, iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa…
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Machi 2, 2026, amekagua Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Haydom, iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa…
Dar es Salaam: Samsung Electronics imezindua rasmi Galaxy S26 series nchini Tikiongozwa na Galaxy S26 Ultra. Bidhaa hii inaleta ubunifu wa kipekee katika sekta ya simu za mkononi kupitia teknolojia…
KATIKA wiki ya Kampeni ya Kifafa iliyofanyika Februari 5 hadi 9 mwaka huu, Chama cha Wataalamu wa Kifafa Tanzania (TEA) kilitangaza kuwa hatari ya wagonjwa wa kifafa kupoteza maisha imepungua…
SHIRIKA lisilo la kiserikali (NGO) la Nature Tanzania linalojihusisha na uhifadhi wa viumbe hai nchini limemtangaza mbuni kuwa Ndege wa Mwaka 2026 Tanzania baada ya kupata kura 303 zilizopigwa mwaka…
KAMPUNI ya Mbolea Tanzania (TFC) imesema tani 20,000 za mbolea ya kukuzia aina ya Urea zinatarajiwa kuingia nchini wiki hii kutoka Uturuki kwa ajili ya kusambazwa kwa wakulima katika msimu…
IDADI ya Watanzania wanaotembelea Makumbusho ya Jiopaki ya Ngorongoro-Lengai yaliyopo Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuongezeka. Makumbusho hayo yalizinduliwa Oktoba 16 mwaka jana na Makamu wa Rais mstaafu, Dk…
SERIKALI imeiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuimarisha usimamizi wa mizigo inayoingia nchini kwa ajili ya kusafirishwa kwenda nchi jirani ili kudhibiti ukwepaji wa kodi. The post TRA yaagizwa usimamizi…
MUFTI na Shehe Mkuu wa Tanzania, Dk Abubakar Zubeir, amesema mashindano ya kimataifa ya Quran Tukufu yanayoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma yameipa Tanzania heshima kubwa kimataifa. The post Mashindano Quran…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo tayari kuwezesha utekelezaji wa mpango wa kujenga wodi 27 za kulea watoto njiti nchini. Mpango huo utawezeshwa kupitia uratibu wa kitaalamu, upatikanaji wa…
MASUALA ya kiuchumi nchini Kenya si ya kuwakatisha tamaa Wakenya pekee, bali pia yanawashangaza wachambuzi wa uchumi kadiri siku zinavyosonga kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. The post Nyoro afichua…
KAGERA: Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM, (UV CCM) mkoani Kagera imezindua kampeini ijulikanayo kama Vijana Daka Fursa na Samia maarufu kama VIDAFUSA ambayo…
TANGA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS…
GEITA: SERIKALI inakusudia kuunda chombo maalum kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na kudhibiti shughuli haramu ikiwemo uvuvi haramu ndani ya ziwa Victoria, mito na vyanzo vingine vya maji. Waziri wa…
DAR ES SALAAM: Timu ya wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive, ya msanii Alicia Keys, imewasili Tanzania ikiwa na lengo la kushiriki uzinduzi wa jengo la kisasa la…
MWANZA: Jengo la kisasa lenye viwango vya kimataifa kwa ajili ya kuhudumia watoto njiti limezinduliwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani…
DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Ashatu Kijaji amesema uwekezaji wa tekinologia ya kutambua makundi ya tembo ili kudhibiti mwingiliano wa makundi ya wanyama na binadamu kutasaidia kupunguza vifo na…
SHINYANGA: CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) kimenunua tani 387 za dengu kwa thamani ya Sh milioni 386 kutoka Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) sita katika msimu wa…
SHINYANGA: WANANCHI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameaswa kuwapa nafasi vijana na watoto kushiriki michezo kwani kufanya hivyo itawasaidia kupata mwanga na kufikia ndoto katika vipaji vyao.…
SHINYANGA: WAJUMBE wa Chama Kikuu Cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) wamepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya Sh bilioni 2.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 huku ikijizatiti kuanza kukopesheka kwenye…
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mangara, amezitaka taasisi za kifedha kuongeza ubunifu katika utoaji wa huduma zao, hususan mikopo yenye masharti nafuu ili…
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Bunge Marathon na Bunge Bonanza, Festo Sanga, ametangaza kuwa mbio za Bunge Marathon msimu wa tatu zinatarajiwa kufanyika Aprili 18, 2026 katika Viwanja vya Jamhuri…
KIGOMA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma imesema mpango wa taasisi hiyo kusikiliza kero za wananchi maarufu kama ‘TAKUKURU RAFIKI’ umefanikisha ujenzi wa zahanati kijiji…
WATUMISHI wa idara ya afya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia sambamba na kuelezwa kwa kina madhara yanayotokana…
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Youth Innovation Foundation imewakutanisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kutokea Dar es salaam wanaosomea kada Sayansi na teknolojia kwa ajili ya bunifu zinazolenga kutatua matatizo katika…
DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli wa Kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Ufaransa, Miriam Odemba, ametunukiwa tuzo ya heshima na Uongozi wa Shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu iliyopo Temeke Dar…
ZANZIBAR: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Hamad Yussuf Masauni, amewaasa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuelimisha wananchi kuhusu misingi, faida na wajibu wao katika…
DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi unaotegemea maarifa na ubunifu, kupitia sera na mikakati mbalimbali, huku Serikali ikiweka mazingira yanayowezesha watafiti, wabunifu kukuza mawazo yao na…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kuendeleza umoja na upendo miongoni mwao, akisisitiza kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni…
NYASA, RUVUMA: Wakati taifa likichukua hatua mbalimbali kukuza uchumi wa kidijiti, Kampuni ya Helios Towers imetoa vifaa vya kisasa vya maabara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) vyenye thamani…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza waumini wa dini ya Kiislamu kuwasaidia watu wasiojiweza hususan katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani…
MWANZA: Wahudumu wa afya wanaotarajiwa kutoa huduma katika jengo jipya la watoto njiti lililopo Hospitali ya Wilaya ya Kwimba wamepatiwa mafunzo maalumu ya namna bora ya kutumia vifaa vya kisasa…
MWANZA; Wanawake wawili wa wilayani Kwimba, mkoani Mwanza wamezungumzia changamoto walizopitia wakati wa kujifungua, wakilazimika kusafiri umbali mrefu kwa pikipiki wakiwa na uchungu hadi hospitalini na kujifungua watoto njiti. Happyness…
SPIKA wa Bunge Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong, leo Februari 27, 2026, wamesaini mkataba unaowezesha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa…
KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeandaa kliniki maalum ya ardhi kwa wanawake ijulikanayo kama ‘Samia Ardhi Kliniki’,…
ZAIDI ya wanawake na vijana 1,500 wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya nishati safi kupitia mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na Shirika la Maendeleo ya Kijamii (REDESO) kwa kushirikiana…
DAR ES SALAAM: Droo inaonesha PSG wataanza nyumbani dhidi ya Chelsea katika hatua ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hatua ya mtoano itaanza Machi 10. – Chelsea na PSG…
DAR ES SALAAM: Arsenal imepangwa kuanza ugenini dhidi ya Bayer Leverkusen katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayoanza Machi 10. Droo inaonesha Liverpool watacheza dhidi ya…
WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amewaagiza viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kuwa wabuni katika ukusanyaji wa mapato nchini. Akishiriki hafla ya futari iliyoandaliwa na Mamlaka…
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 27, 2026 imekutana na Mufti Mkuu wa Tanzania,…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaalika wawekezaji kutoka Ufaransa kuja kuwekeza katika sekta mbalimbali za uchumi visiwani humo hasa sekta ya utalii…
ZAO la embe ni fursa kubwa sana katika kujipatia uchumi endelevu lakini bado wakulima au jamii kwa ujumla haijatambua na kuona kuwa kilimo hiki ni fursa kama ilivyo kwa kilimo…
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Douglas Foo, leo Februari 27, 2026 Ikulu, jijini Dar es Salaam. Pamoja na…
MWILI wa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (81) unaagwa leo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, Dar es Salaam. Kardinali…
SERIKALI imesema imeweka mkakati wa kutangaza madini ya tanzanite nchini Qatar ili kuongeza wigo wa masoko yake na kuvutia uwekezaji na utalii. The post Tanzania kuitangaza ‘Tanzanite’ Qatar first appeared…
PWANI: Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) imekagua maendeleo ya uzalishaji wa umeme katika hilo na kuridhishwa na usimamizi pamoja na utekelezaji wake, uliokidhi viwango…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuzindua ofisi zinazotembea kwa kutumia magari ya huduma kwa walipa kodi. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa…
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alikuwa kiongozi wa kiroho mwenye hekima. Katibu Mkuu CCM,…
MVUTANO wa kisiasa na kauli kali kutoka kwa viongozi wa zamani tayari umeanza kujitokeza nchini Kenya huku taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi wa mwaka 2027. Mijadala hiyo inaonekana katika mikusanyiko…
DAR ES SAALAM: Hatimaye Basketball Africa League (BAL) imetangaza rasmi makundi mawili yatakayounda hatua ya awali ya msimu wa mwaka 2026, pamoja na ratiba ya michezo itakayofanyika katika nchi mbalimbali…
MWANZA; MKAZI wa Mtaa wa National uliopo Ngudu, wilayani Kwimba mkoani Mwanza, Joyce Emmanuel, amesema kukamilika kwa jengo la watoto njiti kwenye hospitali ya kwimba ni ukombozi kwa wananchi wa…