Taasisi Wizara ya Viwanda zatakiwa kuchochea uanzishaji viwanda
ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na…
ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na…
SHINYANGA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dk Joel Nanauka amezindua rasmi Jukwaa la Vijana la Mkoa wa Shinyanga litakalowakutanisha na kuwashirikisha vijana pamoja ili kujadili fursa…
CHATO: HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) imefanikisha upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kilogramu saba kutoka kwenye tumbo la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44. Mwanamke huyo ambaye…
SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa rai kwa wananchi kujenga utamaduni wa kujitolea damu kwa hiari ili kuokoa maisha ya wajawazito na watoto wachanga wanaohitaji huduma za…
MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro inaendelea kukamilisha ujenzi wa miradi mipya ya maendeleo ikiwemo Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilosa. Shule hiyo inajengwa kwa mapato ya ndani…
WATOA huduma za uwekezaji nchini 110 wamepatiwa leseni huku wakiaswa mambo 10 ikiwemo kuwashika mkono wawekezaji wa ndani ili kutimiza maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na wawekezaji…
DAR ES SALAAM; IKIWA ni muendelezo wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni ya msimu wa mwezi wa Ramadhan na Kwaresma inayoitwa Pishi…
KIGOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maendeleo ya mradi wa ukarabati wa Meli ya MV Liemba mkoani Kigoma yanaridhisha na utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 55. Kihenzile…
MSANII wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kuweka wazi hisia zake kuhusu dini ya Kiislamu akieleza kuvutiwa kwake na imani hiyo. Kupitia ukurasa wake wa…
CHUO cha Uhasibu Arusha (IAA) kimetenga Shilingi bilioni 2 kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya kiteknolojia na kidijitali, hatua…
ZAIDI ya vijana 8,600 wamefikiwa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kupitia programu za ujasiriamali na ubunifu, hatua iliyowezesha vijana 1,520 kubuni mawazo ya biashara na kuanzisha zaidi ya biashara…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa kampuni za bandari kavu zinazochochea ukwepaji wa malipo ya ushuru wa forodha. The post TRA yazionya bandari kavu…
SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na…
RAIS wa Malawi, Peter Mutharika amepiga marufuku waajiriwa katika hospitali za serikali au taasisi nyingine za afya za umma kumiliki hospitali binafsi. Pia, amri ya Rais Mutharika aliyoitoa Februari 16,…
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Tanzania Health Summit (THS) limewataka watoa huduma za afya na vituo vya afya nchini kufanya tathmini ya ubora wa huduma wanazozitoa ili kuboresha utoaji wa…
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema fedha za mtandaoni ni hatari. Gavana wa BoT Emmanuel Tutuba amesema fedha hizo hazitambuliki zina vihatarishi vingi kuliko faida na hazina njia za kuzidhibiti.…
ZANZIBAR: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda,…
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema inakaribia kufikia lengo la ununuzi wa dhahabu kabla ya muda waliojiwekea ambapo hadi sasa imefikisha tani 19.3 ndani ya mwaka mmoja na miezi minne.…
WIZARA ya Afya kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL) imeanza mwaka wa tatu wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha maabara za afya ya jamii ili kukabiliana na…
ENZI ya watalii kupotoshwa kuwa Mlima Kilimanjaro uko Kenya imepita. Sasa wengi wanahamia vivutio vya nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hali hii inaathiri uchumi wa Kenya na kudhoofisha sekta ya…
DAR ES SALAAM; Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo aliyefariki dunia jana Februari 19, 2026, alikuwa zaidi ya kiongozi wa Kanisa; alikuwa sauti ya dhamiri, mwalimu wa maadili na alama ya utulivu…
DAR ES SALAAM: ULEMAVU haumanishi kuwa unaweza kushindwa kutimiza ndoto zako msingi mkubwa ni kuwa na malengo, kazi na juhudi, anasema Mwanamitindo nguli Miriam Odemba. Odemba amesema hayo leo Februari…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka mawakala binafsi wa ajira kuzingatia mwongozo wa uratibu wa ajira za nje ya…
Zanzibar: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kupitia Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale pamoja na Wizara ya Kazi na Uwekezaji, imesaini makubaliano ya Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na…
DAR ES SALAAM: BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Temeke limepitisha rasimu ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi bilioni 192, ambazo zinatarajiwa kutumika…
MRADI wa Uwezeshaji Wasichana Balehe kuendelea na Masomo (KAGIS) umesaidia takribani watu 123,489 katika mikoa ya Geita na Kigoma kwa miaka mitano ya utekelezaji. Mradi wa KAGIS umetekelezwa chini ya…
KAMISHNA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof Dos Santos Silayo, amewataka viongozi na makamanda wa vituo vya wakala huo kubadili mtazamo wa uongozi kwa kusikiliza…
DAR ES SALAAM :KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo mama cha kushindilia gesi asilia cha Mlimani-CNG jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza namna…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi…
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameipa Wizara ya Maji kipindi cha wiki mbili kuhakikisha inakamilisha mchakato wa upatikanaji wa mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa maji kutoka chanzo cha Ziwa…
MPANGO wa kuanzisha mfuko wa kitaifa wa miundombinu nchini Kenya umekumbwa na changamoto mbalimbali ambazo zimezua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo hasa wakati taifa hilo likijiandaa…
JUMUIYA ya Kikristu Tanzania (CCT) imepongeza jitihada za Serikali kukuza ari ya mahusiano miongoni mwa jamii ya kitanzania hatua itakayosaidia kuleta utengamano na mshikamano wa kidugu. Hatua hiyo imekuja wakati…
KAGERA: WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umemtambulisha mkandarasi wa kutekeleza mradi wa umeme katika vitongoji 474 vya mkoani Kagera kuanzia Februari 2026 hadi Februari 2029. Mkuu wa Mkoa wa Kagera…
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Amref Health Africa Tanzania, Dk Florence Temu afungua kikao cha Nne cha Kamati Tendaji na wadau wa Jukwaa la Maendeleo ya Vijana Tanzania (TYDF) 2026…
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felschesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa…
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba leo anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro kwa kutembelea Wilaya ya Rombo. Akiwa Rombo Dk Nchemba atakagua ujenzi wa barabarani ya chini”lower Road”, mradi wa…
MOROGORO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefanikiwa kutatua migogoro ya mipaka 423 kati ya 438 iliyokuwa inahusiana na vijiji na Wadau wengine iliyoanishwa kupitia lamati ya mawaziri wanane iliyoundwa…
DAR ES SALAAM: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda leo amezindua Bodi ya Usimamizi wa Timu ya mpira wa miguu “TRA United Sports Club na…
UPATIKANAJI wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi 23.2 mwaka 2025, ongezeko la zaidi ya mara tatu ndani ya miaka minne. Waziri wa…
MKUU wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi kutoka shilingi milioni 20 hadi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazomsaidia kukamatwa mtuhumiwa anayefahamika kwa…
SERIKALI ya Tanzania ipo mbioni katika hatua za mwisho za kuridhia Mikataba ya kazi namba 189 na 190 ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), inayolenga kutambua kazi za ndani kama…
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 17, 2026 imekutana na Mwanasheria Andrew Chenge kwa…
MOJA ya viashiria vya kudorora kwa uchumi ni uwezo wa wakopaji kurejesha mikopo yao kulingana na masharti ya mikataba yao na taasisi za kifedha. Changamoto za sasa za kiuchumi zinazoikumba…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwakilishi wa Kidiplomasia wa Mfuko wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Kanda ya Afrika Mashariki…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wizara ya Fedha ya Jamhuri…
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema katika siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan wametoa msamaha wa matibabu wenye gharama ya Sh milioni…
DODOMA: JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Bahati Bushirika anayetuhumiwa kujihusisha na wizi kwa kutumia dawa za kienyeji kuwafanya waathirika wapate usingizi ili kutekeleza uhalifu. Kamanda wa Polisi mkoa wa…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji kuwa na vyuo vikuu vingi zaidi vitakavyosaidia kuiweka Zanzibar katika ramani ya kimataifa kama…
DODOMA:Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi, Waajiri na Shirikisho nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuzingatia sheria na katiba za vyama vyao ili kuendelea kuleta ustawi na tija sehemu za kazi…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema haikubaliki kwa watendaji wa Serikali kupokea fedha za utekelezaji wa miradi kisha kushindwa kuzitumia kwa wakati, hali inayosababisha wananchi kukosa huduma na maendeleo yaliyokusudiwa.…