Rais Samia kushiriki mkutano wa 39 wa AU
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali na kuondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, leo Februari 12, 2026, kuelekea Addis Ababa,…
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali na kuondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, leo Februari 12, 2026, kuelekea Addis Ababa,…
DODOMA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu muungano, hususan kupitia…
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 12, 2026 amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya Saratani Ocean Road. Maadhimisho hayo yanayofanyika katika Kituo…
DODOMA; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ametoa rai kwa watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa weledi, uaminifu upendo na ushirikiano, ili sekta hiyo iendelee kuchangia kwa kiwango…
ENGLAND: Mshambuliaji wa Arsenal, Kai Havertz, amepata jeraha la misuli na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa kipindi kingine. Mshambuliaji huyo raia wa Ujerumani atakosa mchezo wa Ligi Kuu England…
OFISI ya msajili wa vyama vya siasa imevitaka vyama vya siasa nchini kuzingatia masuala ya jinsia kwa kuhakikisha vinatoa fursa na nafasi ya wanawake kushiririki kwenye masuala mbalimbali na kufanya…
Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya…
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka viongozi wapya wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kuwa wabunifu ili kukuza vipaji vya vijana na kurejesha heshima ya mchezo huo nchini. The…
DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za sekondari nchini, ikiwa ni…
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imefanikiwa kuwasogezea wananchi zaidi ya 3,000 huduma za kibingwa katika kipindi cha siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, jambo linaloashiria utekelezaji…
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Diamond Platnumz anajiandaa kuachia wimbo wake mpya wa kimahaba uitwao ‘Natulizana’ ikiwa ni maalum kwa msimu wa…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezindua na kukabidhi miundombinu 21 ya utalii yenye thamani ya Sh billioni 114.62. Amesema ujenzi wa miradi hiyo ambayo imejengwa kupitia mradi wa kimkakati wa…
DAR ES SALAAM. Mjasiriamali Chris Lukosi anasema safari yake ya maisha imejengwa juu ya kanuni moja: kutokata tamaa. Akikumbuka kupoteza nyumba yake ya kwanza kutokana na changamoto za kifedha, Lukosi…
DAR ES SALAAM: Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi na kuimarisha uchumi wa maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar…
DAR ES SALAAM: Mjasiriamali wa Kitanzania anayeishi diaspora, Chris Lukosi, amesema mafanikio ya biashara hayawezi kutenganishwa na wajibu kwa jamii, akieleza kuwa ajira, ulipaji wa kodi na misaada kwa wenye…
DAR ES SALAAM; Mjasiriamali wa Kitanzania anayeishi diaspora, Chris Lukosi, ametangaza mpango wa uwekezaji mkubwa wa makazi na biashara unaojulikana kama Lukosi Village, akisema mradi huo unalenga kujenga mfumo wa…
TAFITI ni nguzo kuu katika kuimarisha maandalizi na uwezo wa kukabiliana na magonjwa ya milipuko nchini pamoja na kutoa ushahidi muhimu unaoongoza maamuzi ya sera, miongozo na mikakati ya kukabiliana…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amempa wiki mbili mkandarasi kampuni ya CGC anayetekeleza ujenzi wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) Awamu ya…
SERIKALI imesema haijakosa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Arusha, ikisisitiza kuwa mradi huo unaendelea vizuri na unatarajiwa kukamilika ifikapo Julai, 2026 kama ilivyopangwa. Katibu Mkuu wa Wizara…
DAR ES SALAAM: BENKI ya Equity imezindua rasmi akaunti ya Wezesha itakayowasaidia wafanyabiashara wadogo, wanafunzi, vyama na taasisi pamoja na sekta binafsi kukuza na kulinda mitaji yao. Uzinduzi wa akaunti…
KWA mara ya kwanza, Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutoa huduma za upasuaji wa kibingwa wa kutibu mishipa ya fahamu iliyoathirika kutokana na ajali katika…
ZAIDI ya wanawake 60 waliokumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwemo ukatili wa kijinsia, wanatarajiwa kupatiwa mafunzo ya urembo bure ikiwa ni hatua ya kuwainua na kuwawezesha kiuchumi. The post Wanawake 60…
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella ameiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Geita kutenga fungu maalum la uwezeshaji wa vijana kutoka Fedha za Uwezeshaji wa Makampuni kwa Jamii (CSR). Shigella…
SERIKALI juzi imezindua Mpango wa ushirikiano baina ya waajiri, vyuo vya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi na taasisi za elimu ya juu, ambao imesema ni wa lazima…
MTOTO mchanga mwenye umri wa siku moja ameibiwa katika Kata ya Buzuruga, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa…
WADAU wa uchumi wameshauri watumishi wazingatie mambo matatu ili mishahara yao ikidhi mahitaji na waweke akiba ya baadaye. Wameshauri watumishi wawe na nidhamu ya fedha, wawekeze kwenye mifuko ya uwekezaji…
WATAALAMU wa uchumi wameshauri mambo matano yazingatiwe ili kuongeza ufanisi wa mikopo ya asilimia 10 inayotengwa na halmashauri. Serikali inatoa mikopo ya asilimia 10 kupitia mgawanyo wa asilimia nne vijana,…
DODOMA; CHEMBA ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC), imesema maboresho makubwa ya kiutendaji yanafanyika ndani ya chemba kwa lengo la kuongeza thamani kwa wafanyabiashara na kutatua changamoto zao kwa wakati.…
PWANI: Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuzindua miradi mikubwa ya kuendeleza utalii Kusini kesho. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi leo Februari 9, 2026 amekagua…
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda nyumbani kwake Dodoma, leo Februari 10, 2026. Mhandisi…
DAR ES SALAAM: HALMASHAURI ya Wilaya ya Temeke iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na changamoto ya ongezeko kubwa la watoto kutokana na kasi ya wajawazito kujifungua ambapo kwa mwaka…
KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) imekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Mtandao wa Habari wa Viory Video Network wa Abu Dhabi, Dubai, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika…
DAR ES SALAAM: ZAIDI ya vikundi vya wanawake mia moja kutoka Mkoa wa Dar es salaam wanaratajiwa kupata mafunzo ya uwezeshwaji kiuchumi ili kuongeza uelewa na ubunifu. Hayo yamesemwa na…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewahimiza wananchi kujisajili katika mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waweze kunufaika kikamilifu na huduma…
GEITA: WACHIMBAJI wadogo wa mgodi wa Msasa kijiji cha Msasa kata ya Runzewe-Magharibi wilayani Bukombe wamejitolea kukamilisha zahanati ya kijiji hicho iliyokwama kwa zaidi ya miaka 10. Mkurugenzi Mtendaji wa…
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dennis Londo, ameielekeza Tume ya Ushindani (FCC) kuongeza juhudi katika kuchochea uzalishaji wa bidhaa za ndani, kuongeza mauzo ya…
TANZANIA imeendelea kuimarisha na kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha maarifa na uzoefu katika usimamizi na uendeshaji wa Sekta ya Madini barani Afrika, baada ya kupokea uumbe wa kitaalamu kutoka…
GAIRO: Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Japhari Kubecha, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya madaraja na barabara wilayani humo, akiongozana na wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya pamoja…
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa masika unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa Februari hadi Mei kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Katika taarifa…
RIPOTI ya Global Organised Crime Index zinaonesha kuwa Kenya imeendelea kuwa miongoni mwa vituo vikuu vya usafirishaji wa dawa za kulevya, hususan kokeini, katika ukanda wa Afrika Mashariki, licha ya…
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limekifunga kiwanda cha urejelezaji wa taka za plastiki cha HOOTA kilichopo Kata ya Vikindu mkoani Pwani kutokana na kutekeleza shughuli…
MSANII wa singeli Man Fongo ameweka wazi kuwa anaandaa nyimbo zenye ujumbe maalum wa kutetea haki za Wanawake na Watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia. The post Man Fongo kutetea…
TAMASHA la Sauti za Busara linalofanyika kila mwezi Februari kwa mwaka 2027 litafanyika mwezi Machi ili kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaotarajiwa kuwa Februari. Mwenyekiti wa Tamasha hilo,…
SERIKALI imelipa madeni ya zaidi ya Sh trilioni 4.27 za watumishi yaliyokuwa yanadaiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF,…
MWANAMUZIKI Mkongwe Salif Keita ameshindwa kufika Zanzibar na kutumbuiza katika Tamasha la Sauti za Busara 2026 kutokana na kuugua. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa tamasha hilo, Journey…
MAKAMU wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ameagiza mambo matatu ili kuhakikisha mpango wa ushirikiano kati ya vyuo na viwanda unatekelezwa kwa tija. Dk Nchimbi alitoa maagizo hayo wakati wa uzinduzi…
SERIKALI imetaja mikakati ya kupunguza msongamano wa makasha ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ikiwemo kuongeza safari za Treni ya Kisasa (SGR) ya mizigo. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame…
SERIKALI imesema thamani ya mifuko ya hifadhi ya jamii imeongezeka kutoka Sh trilioni 10.43 mwaka 2020 hadi Sh trilioni 24.20 Desemba mwaka jana. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…
MOROGORO: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimanti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kutimiza dhamira yake ya kuujenga utumishi…
ARUSHA: SERIKALI imetekeleza jumla ya miradi 81 ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara yenye thamani ya Sh bilioni 500. Taarifa hiyo iimetolewa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega…