GGML kutumia michezo kuimarisha utendaji kazi
GEITA:KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya Dhahabu ya Geita (GGML) imetambulisha tamasha la michezo kwa watumishi litakalofanyika kila baada ya miezi mitatu ili kuimarisha utendaji na mahusiano kazini. Kaimu Mkurugenzi…