Mfumo Mpya wa Kodi Kuanza
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Februari 9, mwaka huu inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) utakaokwenda kufanya kazi kwa saa…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Februari 9, mwaka huu inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) utakaokwenda kufanya kazi kwa saa…
SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera tarehe 16 Januari 2026, ikifuatiwa na kusaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi…
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, atazindua rasmi jengo la wageni mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar…
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha miradi yote ya maendeleo, hususan miradi ya kimkakati, inatekelezwa kwa viwango vinavyokubalika. The…
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H. Mwinyi, ametembelea House of Wisdom mjini Sharjah, maktaba ya kisasa…
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi, amesema Zanzibar ina mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepata mafanikio makubwa katika kufanikisha ujenzi wa viwanja vya michezo katika…
DODOMA: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amesema kipaumbele kikuu katika Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kitakuwa utumiaji wa gesi asilia, ambapo jitihada zitalenga ukamilishaji wa mradi wa gesi asilia…
DODOMA: RAIS Dk Samia Suluh Hassan amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni ukamilishaji wa Reli ya Kisasa (SGR) na Mfereji wa Mafuta wa Ghuba ya Afrika Mashariki, ambao unatarajiwa kukamilika…
DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye ukuaji wa haraka wa uchumi, kwa ukuaji wa Pato la Taifa la ndani (GDP) kwa asilimia 5.9, huku…
DODOMA: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaelekea kutoka ‘kuzingatia msaada wa afya’ hadi ‘uwekezaji wa afya’ kama msingi wa sera za kigeni za mwaka 2026. Dk Samia amesema…
MTWARA: BAADHI ya wakulima wa zao la korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wamesema kupitia fedha za malipo ya korosho watahakikisha watoto wote waliyochaguliwa kwenda shule wanawanunulia…
SERIKALI imeainisha mkakati mahsusi wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini, kwa kuweka kipaumbele katika utoaji wa leseni, upatikanaji wa mitaji, teknolojia, masoko ya uhakika pamoja na maeneo yenye taarifa…
KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji mpya Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu kama Depu, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha kikosi chake katika dirisha dogo la usajili. Depu amesajiliwa akitokea Ligi…
DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya kusaka watoto ambao hawajaripoti shule. Oparesheni hiyo inatarajia kuanza Januari…
PWANI: HIFADHI ya Msitu wa Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi imeendelea kuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kukuza sekta ya utalii nchini, kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watalii wa ndani…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Richarid Muyungi amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Balozi Mhandisi Cyprian Luhemeja, Dodoma, leo Januari 14,…
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC Insurance), Kaimu Abdi Mkeyenge, ameongoza ujumbe wa NIC katika ziara rasmi iliyofanyika Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri…
ARUSHA: Ubora, mshikamano na kiu ya ushindi ndivyo vilivyoibeba timu ya Ulipo Tupo Lake Zone mpaka kutwaa ubingwa wa soka wa CRDB Super Cup msimu wa tano, baada ya kuifunga…
ARUSHA: Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, ameahidi kuchangia Bima ya Afya kwa Wote kwa waendesha bodaboda 60 kutoka vikundi 10, kila kikundi kikiwa na watu sita, ikiwa ni…
MTWARA: VIONGOZI wa ngazi mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuweka mikakati mahususi kwa kushirikiana na wazazi na walezi ili kuhakikisha wanafunzi walioandikishwa elimu ya awali, msingi, sekondari na wanaoendelea wanaripoti shule.…
SHINYANGA: WALIMU wa Shule ya Msingi Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kufuata waraka wa elimu wa mwaka 2016 kuwa elimu ni bure nawasitoze fedha zozote kwa wazazi…
SHINYANGA: MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amesema maofisa maendeleo ya jamii na madiwani wasikwepe kusimamia mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili vikundi mbalimbali vyenye sifa vinufaike…
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho amezindua Bodi Mpya ya Ushauri ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT), Makao Makuu ya…
MOROCCO; Morocco imetinga fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) baada ya kuitoa Nigeria katika mchezo wa nusu fainali kwa penalti 4-2 mchezo uliomalizika muda mfupi…
MOROCCO;-NI mapumziko Nigeria 0 Morocco 0 mchezo wa nusu fainali michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Morocco. The post Mapumziko Nigeria 0 Morocco 0 first appeared on HabariLeo.
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwemo mawaziri na naibu mawaziri wakatekeleze kwa wakati ahadi zilizotolewa kwa wananchi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Alitoa maelekezo hayo…
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda (Pichani) amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Profesa Palamagamba Kabudi na kutaka watendaji wote wa wizara hiyo kuhakikisha…
DAR ES SALAAM: Tathmini ya data za mitetemo za 3D zilizochukuliwa katika Kitalu cha Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara imeonesha uwezekano wa uwepo wa…
DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa darasa la awali na…
DAR ES SALAAM; TAASISI ya kidini ya Al Ameen Foundation ya Dar es Salaam, imefanikiwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto wapatao 150, ikiwa ni sehemu ya kusaidia elimu, utu…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Simba SC imerejea rasmi katika uwanja wa mazoezi kuanza maandalizi ya mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, huku uongozi…
RUVUMA ni mkoa uliowahi kupata changamoto kubwa ya ukosefu wa umeme wa uhakika. Saa za jioni zilipowadia, giza lilitanda mapema na shughuli za kiuchumi zililazimika ‘kulala.’ Leo, ukiingia mijini au…
DAR ES SALAAM: Chama cha Wahasibu Tanzania (NBAA) kimeandaa Siku ya Kazi kwa Wahasibu (Annual Accountancy Career Day) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa fani ya…
SERIKALI ya Tanzania imeweka malengo makubwa kuhakikisha inafufua viwanda mkoani Tanga ili kuongeza fursa za ajira kwa wananchi na kuongeza wigo wa mapa- to ya serikali. Hii inakwenda sambamba na…
SHULE za msingi na sekondari zinafunguliwa leo nchi nzima ikiwa ni muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2026. Wiki moja iliyopita, wanafunzi walioandikishwa kuanza elimu ya awali, msingi na…
WADAU wa uchumi na siasa wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ally Mwinyi kwa kutekeleza dhana ya Mapinduzi kwa vitendo Zanzibar. Wakizungumza na gazeti…
KAGERA: SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 45 kwa ajili ya ujenzi wa madaraja matano ya kudumu mkoani Kagera ambayo awali yaliharibiwa na mvua za masika na kusababisha changamoto kubwa.…
ZANZIBAR: WAANDAAJI wa Tamasha la Sauti za Busara toleo la 23 wamesema tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja, badala ya Ngome Kongwe kuanzia Februari 5 hadi 8…
DAR ES SALAAM: MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Allan Okello, amesema ana furaha kubwa kujiunga na klabu hiyo huku akisisitiza kuwa yuko tayari kupigania mafanikio ya timu. Kupitia ujumbe wake…
WAKAZI wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wako katika hali mbaya kwa zaidi ya siku saba baada ya huduma ya maji safi na salama ya kunywa kukosekana…
DESEMBA 2, 2025 wakati anahutubia Wazee wa Dar es Salaam na Watanzania kwa ujumla, Rais Samia Suluhu Hassan alisisitiza jukumu muhimu la wazazi na walezi kushirikiana na kuelimisha watoto kama…
VIKOSI vya ulinzi na usalama vimeahidi kuilinda amani iliyopo nchini ambayo ni chachu ya kielelezo cha umoja na mshikamano wa wananchi ambao kwa kiasi kikubwa umeifanya Tanzania kuwa kisiwa cha…
RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema Zanzibar ya zamani ni tofauti na ya sasa kutokana na mabadiliko makubwa ya kimaendeleo yaliyofanyika, ikiwemo ujenzi wa kiwanja cha ndege na mabadiliko hayo yametokana…
MWANZA: Wananchi wa mtaa wa National, kata ya Nyakato wilayani Ilemela, mkoani Mwanza wameshauri kuwepo wa mikutano ya hadhara kila mwezi, kufahamishwa serikali imewafanyia shughuli zipi kimaendeleo. Wito huo umetolewa…
TANGA: Watu wanne wamepoteza maisha kufuatia ajali ya kugongana uso kwa uso kati ya magari mawili, iliyotokea katika eneo la Mkumbara, Tarafa ya Mombo, wilayani Korogwe, kwenye barabara kuu ya…
SINGIDA; SERIKALI ipo mbioni kuandaa Sera ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria itakayoweka misingi ya kuboresha na kuimarisha upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kote nchini. Kauli…
ZANZIBAR; WAKATI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo ikiadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Rais Dk Hussen Mwinyi amesema serikali yake inajivunia mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka…
ZANZIBAR; LEO ni kumbukizi ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika siku kama ya leo miaka 62 iliyopita am bapo Wazanzibari waliondoa utawala wa kisultani uliokuwa ukiongozwa na Sultan Jamshid bin Abdullah…
ZANZIBAR; LEO ni maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar tangu yalipofanyika Januari 12, 1964 baa da ya kuondolewa utawala wa kisultani ukiongo zwa na Jamshid bin Abdullah na…