Waziri Mkenda aikabidhi TISTA vitabu elimu ya dini
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekabidhi vitabu vya elimu ya dini ya kiislamu kwa ngazi ya elimu ya sekondari kwa Taasisi ya Kusimamia…
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekabidhi vitabu vya elimu ya dini ya kiislamu kwa ngazi ya elimu ya sekondari kwa Taasisi ya Kusimamia…
DAR ES SALAAM: Tanzania imeendelea kung’ara kimataifa baada ya Benki ya Dunia (World Bank – WB) kuitaja kuwa miongoni mwa nchi zilizo na ukomavu wa juu wa matumizi ya TEHAMA…
DAR ES SALAAM; Wafanyabiashara wapatao 500 jijini Dar es Salaam wameshiriki mafunzo maalumu ya ununuzi wa umma yaliyoendeshwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Mafunzo hayo ni…
ARUSHA; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amezitaka taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kuweka mikakati madhubuti itakayowawezesha ku jitegemea katika uendeshaji wa shughuli zao, badala ya kuendelea…
DAR ES SALAAM;- ZIKIWA zimesalia siku mbili shule kufunguliwa na muhula mpya wa masomo kuanza, baadhi ya wazazi wameendelea kufanya manunuzi ya vifaa na mahitaji ya shule huku wafanyabiashara wa…
MOROCCO; HATUA ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2025 imekamilika na sasa macho yote michezo ya usu fainali itakayofanyika Jumatano Januari 14, 2026.…
MOROCCO; MISRI imefuzu nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2025, baada ya usiku huu kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya bingwa mtetezi…
DAR ES SALAAM; Wasanii nguli wa nyimbo za Injili kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuungana na waimbaji wa nyimbo hizo hapa nchini kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka mwaka huu. Tamasha hilo…
PWANI: Serikali imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa juhudi zake za kuboresha uendeshaji wa bandari nchini, hatua inayoongeza ufanisi, uwajibikaji na ubora wa huduma huku ikichangia ukuaji…
DODOMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Gugu, amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuendelea kudumisha mshikamano, upendo na ushirikiano kazini, akisisitiza kuwa umoja wao ndio…
DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye karatasi zao za majibu ya upimaji wa kitaifa, ambapo 11 ni kidato…
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu kwa darasa la nne umeongezeka asilimia 2.67 na ufaulu kidato…
DAR ES SALAAM: Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita atakuwa na ziara ya siku saba kwenye majimbo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Kilimanjaro…
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema mradi wa umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga upo mbioni kukamilika. Amesema jumla ya megawati 50…
DAR ES SALAAM; Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), ACP Beng’i Issa, ametembelea vituo vitatu vya uwezeshaji wananchi kiuchumi jijini Dar es Salaam na kutoa…
ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kukua kwa uwekezaji nchini kumewezekana kutokana na uwepo wa amani na utulivu wa kisiasa, na kuwataka wanaochochewa kuvunja amani kuacha mara moja. Aidha, amesisitiza…
DAR ES SALAAM; MAPAMBANO dhidi ya dawa za kulevya nchini yamepiga hatua kubwa kiasi cha kufan ya dawa hizo kutopati kana kirahisi mitaani. Hata hivyo imeelezwa mafanikio hayo sasa yameambatana…
GEITA: HALMASHAURI ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imeweka wazi kuwa imeandaa miundombinu inayotosheleza kupokea wanafunzi 3,056 wa kidato cha kwanza mwaka 2026. Ofisa Elimu Sekondari wilayani Nyang’hwale, Malemu Tito…
TOFAUTI na mataifa mengine katika ukanda huu, amani na umoja wa kitaifa Tanzania si tu kwamba ni nguvu muhimu, bali pia ni mali ya thamani kwa nchi. Kwa miaka mingi,…
ARUSHA: WAZIRI wa Maliasilia na Utalii, Dk Ashatu Kijaji ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inabuni vyanzo vipya vya mapato ili viakisi ukubwa wa…
DAR ES SALAAM: Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono wadau katika kufanikisha lengo la serikali kwa wananchi kutumia nishati safi ili kuachana na kutumia nishati chafu kwani ina madhara kiafya. Hayo…
DAR ES SALAAM; UJUMBE wa Menejimenti ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN), ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Asha Dachi, umekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji…
“HATUWEZI kuzungumzia mafanikio ya sekta ya utalii pasipo kutambua jitihada za makusudi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan alipoamua kutoka ofi sini na kwenda kutengeneza fi lamu za kimkakati za…
Dar es Salaam: Ingawa msimu wa sikukuu umefikia tamati, umuhimu wa unywaji kistaharabu na usalama barabarani unaendelea kuwa mkubwa, hususani katika mwezi wa Januari ambao huja na changamoto zake. Watanzania…
SERIKALI imesema Idara ya Uhamiaji Zanzibar imeongeza wigo wa mapato yasiyo ya kikodi kutoka Sh bilioni 130 mwaka 2016-2020 hadi kufi kia Sh bilioni 323 mwaka 2021-2025. Waziri wa Mambo…
MTWARA; MANISPAA ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara imetoa zawadi kwa shule 15 za msingi zilizofanya vizuri matokeo ya darasa la saba mwaka 2025. Tukio hilo limefanyika wakati wa kikao kazi…
KUELEKEA kufunguliwa kwa muhula mpya wa masomo Januari 13, 2026, taswira ya elimu nchini inaonesha mafanikio makubwa yanayopaswa kupongezwa na kulindwa kwa vitendo. Serikali, kupitia jitihada za uongozi wake kuanzia…
GEITA; MKUU wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Grace Kingalame ameagiza maofisa elimu kata kusimamia ubora wa madarasa ya awali ili kujenga mazingira rafiki kwa watoto kujifunza. Kingalame ametoa maagizo…
MASHINDANO makubwa ya kusaka vipaji nchini, Bongo Star Search (BSS) Msimu wa 16, yanatarajiwa kuanza rasmi Februari 7 na 8, 2026 jijini Mwanza, baada ya kuahirishwa kwa muda. Akizungumza na…
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inaendelea na dhamira ya kuweka miundombinu ya kisasa kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili…
UCHUMI wa Tanzania Bara unatarajiwa kukua kwa asilimia sita katika robo ya kwanza ya mwaka 2026, huku uchumi wa Zanzibar ukitarajiwa kukua kwa asilimia 7.2 katika kipindi hicho. The post…
DAR ES SALAAM; PICHA za matukio mbalimbali wakati wa hafla ya kuwaaga vijana 109 waliomaliza mafunzo ya muda mfupi ya ajira za nje ya nchi, ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri…
MBUNGE wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi, amefanya ziara katika Kata ta Mirongo kusikiliza kero za wananchi, akaelezwa pamoja na mambo mengine, uchakavu na ufinyu wa mto mirongo…
TUME ya Rais inayochunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka jana imeanza kazi yake mkoani Mara, ikiwa na lengo la kukusanya…
MAMLAKA ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogamu 9,689 za dawa za kulevya, pikipiki 11 na magari matatu. Pia, imewakamata watuhumiwa 66 wanaohusika na uhalifu huo. Kamishna Jenerali…
SERIKALI imewapatia vijana wa Tanzania 109 ajira za nje ya nchi na kufanya idadi ya vijana waliopata ajira kuanzia Desemba 2025 hadi Januari 2026 kufi kia 1,432. Waziri wa Nchi,…
SERIKALI kupitia Wizara ya Uchukuzi imeanza rasmi mchakato wa kuandaa Kanuni za Usimamizi wa Madhara ya Uchovu kwa Madereva za Mwaka 2026. Hatua hiyo inalenga kupunguza ajali za barabarani, kulinda…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema watu wote waliopora mali za wenzao ikiwemo ardhi warudishe wenyewe kabla hawajafikiwa na mkono wa serikali. Aidha, amewataka wananchi kutoa taarifa katika mamlaka zinazohusika…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bahari ni eneo muhimu kwa usalama wa nchi hivyo Taasisi ya Sayansi ya Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSMIMS) itambue na kuwa…
MSANII wa kwanza wa kike chini ya lebo ya Kings Music Records, Mutimawangu, amesema amepitia safari ndefu na yenye changamoto kwa kukaa kwa miaka minne akisubiri kutambulishwa rasmi na lebo…
MSEMAJI wa chama tawala cha Uganda, National Resistance Movement (NRM), amesema kuwa wapiga kura wa nchi hiyo wako tayari kumuunga mkono mgombea wa urais kutoka katika mazingira yoyote, mradi awe…
MTWARA. Kwa mara ya kwanza katika historia, Bandari ya Mtwara inatarajiwa kuanza kupokea mitambo na vifaa vya kisasa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uchimbaji wa gesi asilia…
MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro inatarajia kutoa vyandarua bila malipo kwa kila kaya ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria. Hatua hiyo ni mwanzo wa kuhamasisha kampeni ya utokomezaji wa…
DAR ES SALAAM: Washiriki wa Kozi Ndefu katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC-TZ) leo wamepatiwa mhadhara maalum ulioangazia mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya uchumi wa Taifa,…
DAR ES SALAAM; Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema imebaini baadhi ya watu wasio na sifa wamerejea kutekeleza majukumu ya kihabari baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu.…
KATIKA dunia ya leo ambako utawala bora unaendelea kuimarika, uchaguzi mkuu katika mfumo wa siasa wa vyama vingi ni msingi wa maisha ya kidemokrasia. Mazingira hayo ya uchaguzi ndiyo huwezesha…
SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu nyingi katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili ili kuwaandaa vijana wenye uwezo wa kifi kra, kubuni…
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ipo katika hatua za mwisho za kuandaa na kupeleka muswada wa sheria bungeni mwaka huu itakayowawezesha kuanza kuwasajili watoto kuanzia umri wa mwaka 0…
MJANE wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere ametoa wito kwa Watanzania kudumisha mshikamano na kutumia mazungumzo kama njia pekee ya kuvuka changamoto zinazolikabili taifa kwa sasa. Akizungumza…
MBEYA; MANDHARI nzuri Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini nchini Tanzania. Je wajua ni wilaya au eneo gani hapa The post Tanzania yapendeza kila mahali bwana! first appeared on HabariLeo.