Bella, El Saadat, Twanga Pepeta kukiwasha Valentine Day
DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wakali watatu wa muziki wa dansi jukwaa moja. Shoo…