Nchimbi ahimiza mambo 3 ushirikiano vyuo, waajiri
MAKAMU wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ameagiza mambo matatu ili kuhakikisha mpango wa ushirikiano kati ya vyuo na viwanda unatekelezwa kwa tija. Dk Nchimbi alitoa maagizo hayo wakati wa uzinduzi…
MAKAMU wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ameagiza mambo matatu ili kuhakikisha mpango wa ushirikiano kati ya vyuo na viwanda unatekelezwa kwa tija. Dk Nchimbi alitoa maagizo hayo wakati wa uzinduzi…
SERIKALI imetaja mikakati ya kupunguza msongamano wa makasha ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ikiwemo kuongeza safari za Treni ya Kisasa (SGR) ya mizigo. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame…
SERIKALI imesema thamani ya mifuko ya hifadhi ya jamii imeongezeka kutoka Sh trilioni 10.43 mwaka 2020 hadi Sh trilioni 24.20 Desemba mwaka jana. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…
MOROGORO: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimanti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kutimiza dhamira yake ya kuujenga utumishi…
ARUSHA: SERIKALI imetekeleza jumla ya miradi 81 ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara yenye thamani ya Sh bilioni 500. Taarifa hiyo iimetolewa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega…
GEITA:KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya Dhahabu ya Geita (GGML) imetambulisha tamasha la michezo kwa watumishi litakalofanyika kila baada ya miezi mitatu ili kuimarisha utendaji na mahusiano kazini. Kaimu Mkurugenzi…
GEITA: KAMPUNI ya Madini ya Mwamba Mining imefadhili usafiri wa baiskeli 100 kwa wanafunzi wa shule mbili za sekondari wilayani Geita ili kuongeza mahudhurio ya vipindi shuleni na kuinua kiwango…
DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, imesaini mikataba mitano itakayowawezesha vijana wa Kitanzania kupata ajira nje ya nchi, huku mikataba mingine 16 ikiwa…
MWANZA: Baraza la Ushindani (FCT) limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara jijini Mwanza, yakilenga kuwaongezea uelewa kuhusu masuala ya ushindani wa soko pamoja na taratibu za kupata haki katika shughuli…
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kinatarajia kuanzisha mtaala mpya wa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi wa Bidhaa za Afya (HSCM)…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo,…
TANZANIA na Uganda zimefungua ukurasa mpya wa kiuchumi huku zikisisitiza haja ya kuondoa vikwazo vya kiuchumi vinavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya kikanda. Hayo ni miongoni mwa masuala manane yaliyozungumzwa na…
TABORA: WATU sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa…
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa dini wana wajibu wa pekee wa kuliombea taifa kama ambavyo Biblia Takatifu ilivyoelekeza. Dk Nchimbi aliyasema hayo wakati wa hafla…
MOROCCO; UNAWEZA ukakubali ni kweli mpira wa miguu huwa kuna wakati unaendana na bahati. Pengine ndivyo unavyoweza kusema baada mchezo wa AS FAR Rabat ya Morocco na Yanga ya Tanzania…
ZANZIBAR; TIMU ya Azam FC ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS Maniema mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar…
GEITA: HALMASHAURI ya wilaya ya Geita mkoani Geita imefanikiwa kukusanya kiasi cha sh bilioni 6.37 sawa na asilimia 45.42 ya makisio ya makusanyo ya mapato ya ndani mwaka wa fedha…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Joel Nanauka, hundi ya sh bilioni 200 ambazo ni ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan…
TANGA: KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti ya Sh bilioni 35 kwa mwaka wa fedha 2026/27 ya Halmashauri…
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar, amesema kuwa mageuzi ya uchumi yataendelea kuwa ajenda ya muda mrefu yakilenga si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi bali kuhakikisha ukuaji…
DODOMA; SERIKALI imesema kupitia Sera ya Taifa ya Nishati ya mwaka 2015, imeweka mkazo wa kuendeleza vyanzo vya nishati jadidifu hususan upepo na jua, ili kuimarisha upatikanaji wa umeme wa…
GEITA: WAKALA wa Huduma za Misitu Nchini (TFS) wilaya ya Geita imefanikiwa kumkamata mtu mmoja (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za kuhusika na kilimo cha hekari 3.5 za bangi ndani ya…
KIGOMA: Mabalozi na wananchi wa kata ya Kandaga Halmashauri ya Wilaya Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kukamilisha mradi wa kituo cha afya katika kata hiyo ili waondokane na shida ya…
ARUSHA: TANZANIA imeendelea kupiga hatua kubwa katika matumizi ya teknolojia ya nyuklia kwenye sekta za afya, kilimo, uhifadhi wa chakula na maandalizi ya nishati mbadala, ikiwa ni sehemu ya mkakati…
MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Tandahimba, Michael Mntenjele amewaomba madiwani pamoja na viongozi wengine wilayani humo kuendelea kuwakumbusha wananchi na wageni umuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la wakazi ili kurahisisha…
SINGIDA; Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 376 vya mkoa huo utawezesha uongezaji thamani wa mazao ya kilimo kupitia…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Beth Bechdol jijini Dar es salaam leo Januari…
DODOMA: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeanza mazungumzo na Benki ya Dunia kwa lengo la kupata mkopo wa gharama nafuu utakaowezesha ujenzi wa…
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza…
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Richard Muyungi amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya wataalamu kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) inayosimamia…
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imejadili rasimu ya mpango mkakati mpya wa mamlaka wa miaka mitano unaoakisi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050. Haya…
KIGOMA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma, Jamal Tamim amesema yupo tayari kuweka mali zake dhamana ili halmashauri za Kigoma zitoe mikopo ya halmashauri kwa vikundi visivyokuwa na…
DODOMA: Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Mtwara-Mbambabay…
MOROGORO: SERIKALI Kuu imetoa Sh bilioni 1.3 kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) kwa ajili ya mradi wa usambazaji wa miundombinu ya maji safi na salama…
JANA Rais Samia Suluhu Hassan aliagiza Mahakama ya Tanzania itekeleze mambo 12 kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050. Rais Samia aliyasema hayo kupitia hotuba yake…
MOROGORO: MAHAKAMA Kuu Kanda ya Morogoro imeweka kupaumbele katika usikilizaji wa mashauri ya mirathi kwa kuunda kamati ya ufuatiliaji wa kufunga mashauri hayo na kuwezesha kumaliza mashauri 326 kati ya…
DODOMA: SERIKALI imesema hadi Desemba 2025 ilikuwa imekamilisha ujenzi na ukarabati wa vituo vya afya 898, ambavyo vinatoa huduma ngazi ya kituo cha afya, ikiwa ni pamoja na huduma za…
DODOMA; SERIKALI imesema kutokana na ongezeko la meli na shehena kwa ujumla, Bandari ya Dar es Salaam inaendelea na mipango kuongeza idadi ya gati, vifaa na mifumo stahiki ili kukabiliana…
WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameonya vitendo vya hujuma ndani ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) vinavyoweza kukwamisha mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) unaotarajiwa…
KIKOSI cha awali cha wachezaji 30 wa timu ya taifa ya wanawake kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON 2026) kimetangazwa. Wachezaji walioitwa katika…
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema si vyema kwa viongozi wa serikali, asasi za kijamii, viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati kuzungumzia yaliyojiri Oktoba 29, mwaka jana…
JAJI Mkuu wa Tanzania, George Masaju ameziagiza mahakama za hakimu mkazi, wilaya na mwanzo zitoe dhamana kwa washitakiwa kwa mashauri yote ya jinai yenye dhamana isipokuwa kama kuna sababu ya…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Mahakama ya Tanzania itekeleze mambo 12 kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050. Rais Samia aliyasema hayo kupitia hotuba yake iliyosomwa…
DODOMA; MKUU wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametoa wito kwa wananchi wa vitongoji vitakavyonufaika na Mradi wa Kusambaza Umeme katika vitongoji 379 kujiandaa kwa kutandaza nyaya majumbani (wiring) mapema,…
TANZANIA imetajwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Zana Endelevu za Kilimo Afrika (Africa Sustainable Agricultural Mechanization), utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Februari 3 hadi 6, 2026, sambamba na uzinduzi…
WANAFUNZI wajasiriamali 20 kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wamepatiwa zaidi ya Shilingi milioni 70 kwa ajili ya kukuza biashara zao, baada ya kuibuka washindi katika shindano la uwasilishaji wa mawazo…
DODOMA; BAJETI ya Seikali kwa mwaka 2026/27, nakadiriwa kuwa Sh Tril 61, Bunge limeelezwa. – Hayo yamesemwa bungeni leo Februari 2, 2026 na Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar…
DODOMA; SERIKALI imesema Dhima ya Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2026/27 – 2030/31 ni mageuzi kwa ajili ya ukuaji wa uchumi jumuishi nau wa ajira.…
DODOMA; SERIKALI imesema uchambuzi wa awali uliofanywa unaonesha kuwa utekelezaji wa mpango na bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/26 na muda wa kati unaweza kuathiriwa na mabadiliko ya sera za…
DODOMA; SERIKALI imesema ufanisi wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2026/27 utajengwa katika misingi mbalimbali ikiwemo kuendelea kuwepo kwa demokrasia, amani, usalama na utulivu wa ndani…