🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, FEBRUARI 16, 2026 -WADAU WAAHIDI KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, FEBRUARI 16, 2026 -WADAU WAAHIDI KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, FEBRUARI 16, 2026 -WADAU WAAHIDI KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE
#HABARI: Mashahidi wa kificho wawili wa upande wa Jamhuri ambao wamejitambulisha kama wafuasi wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), wametoa ushahidi wao katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo…
#HABARI: Waganga wa jadi katika Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wameeleza kusononeshwa na kitendo cha kutotambulika rasmi kwenye matukio mbalimbali ya kitaifa, licha ya mchango wao mkubwa katika jamii. Mwenyekiti…
#KAMBIYAMICHEZO: Unaweza kutoa maoni yako katika Timu ya Tanzania kwenye michuano ya Kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kwa ujumla timu ipi imefanikiwa TUSIKILIZE RADIO ONE:…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma kupitia Chama Cha Makini, Abdallah Ngonyani ameahidi kuwalipia mahari vijana wanaotaka kuoa pamoja na kumalizia mahari kwa vijana wa kike ambao…
🔴MEZAHURU: ..... FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, imemhukumu Evarist Justin Chamtepa (44) kifungo cha miaka 30 jela, na kulipa fidia ya Shilingi Milioni 5 baada ya kumbaka mtoto wake…
#MEZAHURU: Kitu gani kifanyike kuboresha MASOMO KWA LUGHA YA ALAMA kwa watu wenye ulemavu ndani ya Tanzania.?
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa taarifa ya ajali ya kusikitisha iliyotokea jana Februari 15, 2026, majira ya saa 11:30 jioni, ambayo imesababisha vifo vya watu watano katika…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza Ushahidi katika kesi ya Uhaini ya Lissu, ambapo shahidi wa kwanza anaelindwa P2 (38) ambae ni fundi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
".....Mkurugenzi kuna ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Chongoleani, mmepokea fedha tangu tarehe 3 mwezi wa nne mwaka 2025 ni mwaka sasa hamjaanza ujenzi na fedha hizo zipo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu inaendelea leo Februari 16, 2026 na hivi ndivyo alivyowasili katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo ipo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Seneta wa Nairobi na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifuna, katika eneo la Kitengela, huku Gavana huyo akiwa miongoni…
#HABARI: Polisi nchini Nigeria wamesema wamewakamata washukiwa wanne wa utekaji nyara wa watoto tisa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu John, waliokuwa wakisali kanisani hapo, eneo la Serikali ya Mtaa ya…
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema kwamba Muungano wa Upinzani kwa pamoja utarejea katika ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kubaini hatua zilizo chukuliwa kwa…
🔴KUMEKUCHA:...FEBRUARI 16, 2026
🔴#MAGAZETI: MASOKO YALIYOGHARIMU MABILIONI YAKOSA WATEJA / HESABU ZIMEKATAA.....FEBRUARI 16, 2026
#KIPIMAJOTO: Wanaofanya udanganyifu ili kujipatia mbegu nyingi za ruzuku ili kuzifanyia biashara. Je, wanyang'anywe leseni kuwadhibiti?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 16, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026 MKANDARASI ALIYETELEKEZA MRADI WA MAJI ATAKIWA KUPATIKANA
#HABARI: Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Mtwara imepata mafanikio makubwa kupitia miradi saba ya mita za malipo ya kabla (pre-paid meters) inayohudumia vijiji 11. Mhandisi…
#HABARI: Taasisi ya Ukaguzi na Udhibiti wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya operesheni ya kushtukiza mkoani Singida na kubaini baadhi ya wamiliki wa maduka ya pembejeo wakihujumu mfumo wa ruzuku kwa…
#HABARI: Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imesababisha maafa makubwa katika kata za Isanga na Iganzo jijini Mbeya baada ya kubomoa na kuezua mapaa ya nyumba 34, yakiwemo makanisa mawili.…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO, FEBRUARI 15, 2026 -
#HABARI: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika, umeteketeza nyumba ya familia moja katika eneo la Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo mama aliyekuwa akiishi ndani ya…
#HABARI: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ameanza ziara ya siku tisa katika mikoa ya Tabora na Kigoma, ambapo amepokelewa katika wilaya ya Igunga. Katika…
🔴TAMASHALAMICHEZO: .....FEBRUARI 15, 2025
#HABARI: Kupitia mitandao ya kijamii kulisambazwa picha mjongeo akionekana mtoto mdogo wa kiume na zikisikika sauti zikimhamasisha kuvuta sigara, Jeshi la Polisi limesema, kitendo hicho ni kinyume cha sheria, kanuni…
🔴KUMEKUCHA:UFUNGUZI SOKO LA KARIAKOO....FEBRUARI 15, 2026
🔴#MAGAZETI: #MAGAZETI: VIJANA WANAVYOLIZWA NA AJIRA ZA MITANDAONI / HAKUNA NAMNA..FEBRUARI 15, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 15, 2026
#KIPIMAJOTO: Kushirikisha wananchi wanaopakana na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwenye ujenzi wa miundombinu yake na vikundi vya ulinzi shirikishi. Je, kutauhakikishia usalama mradi huo?
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026:WAHUJUMU UJENZI KITUO CHA AFYA SINDENI KUCHUKULIWA HATUA
#HABARI: Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, limepitisha Bajeti ya zaidi ya Shilingi Bilioni 57 kwa mwaka wa fedha ujao, huku shilingi Bilioni 12 za…
#HABARI: Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi zake za Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education (GPE) na Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership Southern…
#HABARI: Maafisa 15 wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Mbeya, wametunukiwa sifa na zawadi kwa mafanikio yao katika kuwanasa wahalifu hatari waliotekeleza makosa mbalimbali yaliyoigusa jamii, ikiwemo mauaji, ubakaji, pamoja…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA, FEBRUARI 14, 2026 - SERIKALI YAOMBWA KUENDELEZA MRADI WA KUTOA MAJI
#HABARI: Serikali imesema itaendelea kutumia Teknolojia ya kisasa ikiwa pamoja na Akili Unde (IA), katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kuongeza ufanisi ndani ya taasisi za Umma hapa nchini.…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kwa Watanzania kutoruhusu ufa wa kubaguana kutokana na majukumu waliyonayo kwa kufanya hivyo kutaharibu nchi. Waziri Mkuu ametoa onyo hilo…
#HABARI: Mtoto mchanga wa kike anayekadiriwa kuwa na umri wa mwezi mmoja amekutwa akiwa ametelekezwa ndani ya ofisi ya kukatia tiketi ya Kampuni ya Mabasi ya Super Feo, mjini Njombe…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapongeza na kuwashukuru wastaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania kwa kulitumikia Taifa kwa uadilifu na kujituma katika kipindi chote cha…
#HABARI: Matumizi ya majiko banifu yameleta tumaini jipya kwa wananchi kwa kuwezesha upikaji wa haraka, salama, na usio na moshi unaokera ambao ni hatari kwa afya na mazingira. Teknolojia hii…