🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026
#HABARI: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusilukwa amesema matumizi ya TEHAMA ni miongoni mwa vipaumbele vya Serikali kutokana na kurahisisha huduma kwa Wananchi. Amesema hayo wakati akiongea kwenye Kikao kazi…
#HABARI: Mamlaka za kidini nchini Saudi Arabia, imetangaza kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuonekana kwa mwezi mwandamo nchini humo hii leo. Kwa mujibu wa mamlaka nchini humo…
#HABARI: Watoto watatu wa familia moja, waliokuwa wanaishi Kijiji cha Kwangahu Kitongoji cha Mweka Kata ya Kitumbi huko wilayani Handeni mkoani Tanga, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kushika moto…
#HABARI: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amewataka wathibiti ubora wa shule kutoka halmashauri 184 nchini kushirikiana kwa karibu na walimu katika kutekeleza mkakati wa kitaifa wa…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 17, 2026 - WATU 4 WAFARIKI DUNIA KWA KUSOMBWA NA MAJI MVUA RUKWA
#HABARI: Viongozi na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefanya ziara ya kikazi katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), ambapo wamepongeza matumizi sahihi ya kodi za Watanzania.…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, amehitimisha mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 15 katika eneo la Kariakoo, ukihusisha familia ya marehemu Abdallah Sultani Mtambo…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA, FEBRUARI 17, 2026 -ASILIMIA 24 YA WANAFUNZI HAWAJARIPOTI SHULE
#HABARI: Watu watatu wakazi wa Mtaa wa Kidinda wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wamenusurika kifo baada ya nyumba kuungua moto, unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme na kuteketeza baadhi ya samani…
#HABARI: Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki, kufuatia kifo cha nguli wa muziki na mtunzi wa wimbo, 'Tanzania Yetu', Mzee Steven Hiza. Rais Dkt.Samia…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Februari 17.2026 imesikiliza mapingamizi yaliyowekwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), ikishirikiana na Jeshi la Polisi, imefanikiwa kukamata kilogramu 299.8 za mirungi na kuteketeza ekari 203 za mashamba ya zao…
#HABARI: Watu wanne wa familia moja wakazi wa Kijiji cha Itekesha Kata ya Kilesha wilayani Kalambo mkoani Rukwa, wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji ya Mto Kagera, wakati wakiwa…
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania.
🔴MEZAHURU: ....FEBRUARI 17 2026
#HABARI: Wafadhili wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali, unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia, wamewasili nchini na kutembelea utekelezaji wa mradi huo jijini Arusha…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe. Geofrey Timoth, amesema kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo ametenga Shilingi milioni 17.5 kwa ajili ya ujenzi wa kivuli, huku akisisitiza kuwa kazi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
#HABARI: Wanachama wa CHADEMA wakifanya maombi muda mfupi kabla ya kuanza kusikilizwa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wao Tundu Lissu. JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (CHADEMA) Tundu Lissu, itaendelea kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es Salaam, ambapo mpaka…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
#MEZAHURU: Ni kitu gani kifanyike kuwapa heshima au kipaumbele madada wa kazi Nyumbani juu ya haki zao na wajibu..?
#MEZAHURU: Je, Ni kweli Dada wa Kazi Nyumbani ana nguvu ya kujenga familia au kubomoa -Weka maoni yako
#HABARI: Nchi ya Nigeria inasema takriban wanajeshi mia moja wa Marekani wamewasili kusaidia kutoa mafunzo kwa wanajeshi wake. Nigeria iliomba usaidizi wa mafunzo, kiufundi na ushirikiano wa kijasusi baada ya…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..FEBRUARI 17, 2026
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Ndugu Jabiri Makame amewatakata Madiwani wa Mkoa wa Songwe kutambua kwamba nafasi zao ni za kuongoza na siyo kutawala watu, kwani kutawala ni kushurutisha…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 17, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ...FEBRUARI 17 2026
🔴KUMEKUCHA:....FEBRUARI 17, 2026
🔴#MAGAZETI:MWUZAJI MATUNDA, AELEZA ALIVYOJIUNGA NA LISSU KUKINUKISHA
Viongozi na Watendaji wanaoendelea kukaa ofisini huku miradi wanayosimamia ikiwa imesimama muda mrefu. Je, wanastahili kulipwa mishahara
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 17, 2026
#SPECIALINTERVIEW: Usikose Kipindi cha Mahojiano Maalum na Kaimu Balozi wa Marekani, nchini Tanzania Bw.Andrew Lentz, akizungumzia mahusiano kati ya Marekani na Tanzania, katika nyanja za Diplomasia, Uchumi na Biashara. Usikose…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Baadhi ya Wananchi na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwawezesha fedha kwa wakati, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) ili waweze…
#HABARI: Mamlaka ya kuangazia utendaji kazi wa polisi, imeanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio ambalo mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa wakati polisi walipovamia mkutano wa Seneta wa Kaunti ya Nairobi…
#HABARI: Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Festo Dugange, amezitaka ofisi za pande zote mbili za Muungano kulipa kipaumbele suala la Uchumi wa Buluu…
#HABARI:Madiwani katika Jimbo la Busanda Mkoani Geita wameunganisha nguvu kufanya ukarabati wa dharura wa barabara zinazounganisha kata zao ili kunusuru hali ya usafiri na usafirishaji wa mazao kutoka mashambani wakati…
#HABARI: Serikali imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 70 kupitia tozo na ada mbalimbali kutokana na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Naibu Waziri…
#HABARI: Takribani nyumba 10 za wakazi wa Mtaa wa Miwale, Kata ya Pangani mkoani Pwani, zimebomolewa na watu wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa eneo hilo, jambo lililowaacha wananchi hao bila…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 16, 2026 - MVUA ZASABABISHA MAAFA MBEYA
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amekutana na Prof. David Prologo kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Emory kwa ajili ya kuanza kambi maalumu…
#HABARI: Nyumba kadhaa katika Mitaa mbalimbali jijini Mbeya zimebomoka, kuezuliwa mapaa, na zingine zimejaa maji na tope, huku vitu mbalimbali zikiwepo samani za ndani na vyakula, zikiharibika baada ya mvua…
#HABARI:Mbunge wa Tunduru Kaskazini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu Ado amefunga ndoa na Bi. Rachel Kimambo aliyekuwa Katibu wa Fedha na Uchumi wa Chama…