Merz na Wadephul wavutana kuhusu wakimbizi wa Syria
Mvutano mkubwa umeibuka ndani ya vyama ndugu vya CDU na CSU baada ya kauli ya Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul kuwa hali ya Syria ni mbaya…
Mvutano mkubwa umeibuka ndani ya vyama ndugu vya CDU na CSU baada ya kauli ya Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul kuwa hali ya Syria ni mbaya…
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti zilizoenea za mauaji ya dhidi ya raia, baadhi majumbani mwao, katika ghasia za baada ya uchaguzi.
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kuwa Iran inatafuta amani, lakini haitashurutishwa wala kuacha mpango wake wa nyuklia. Haya yameripotiwa leo na vyombo vya habari vya serikali.
Nchi za Umoja wa Ulaya hazitatoa tena viza za kuingia zaidi ya mara moja katika mataifa ya Umoja huo kwa raia wa Urusi, kufuatia "vitendo vya hujuma na uwezekano wa…
Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema leo kuwa takriban watu 100 wamerekodiwa kutekwa nyara ama kutoweka nchini Syria tangu mwanzoni mwa mwaka huku kukiwa na ripoti…
Makundi ya haki za binaadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za kile walichotaja "mauaji ya kulipiza kisasi" dhidi ya raia, katika ghasia za baada ya uchaguzi ambazo kulingana na upinzani, mamia…
Awali Sudan Kusini iliorodheshwa miongoni mwa mataifa ambayo yangefaidika kwa muda mnamo Oktoba 13, 2011, kulingana na mapigano nchini humo kati ya serikali ya rais Salva Kiir na makamu wake…
Uchambuzi wa data mpya kutoka kwa Ushirikiano wa Awamu Jumuishi ya Usalama wa Chakula (IPC) iligundua kuwa watoto wapatao milioni 14—mmoja kati ya watano – watakabiliwa na viwango vya njaa…
Kimbunga Kalmaegi kimesababisha upepo mkali na mvua kubwa huko Vietnam iliyopelekea watu watano kuuwawa, kuharibu majumba kung'oa mapaa ya majengo pamoja na miti.
Miongoni walioshikwa ni mfanyabiashara, Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo Ijumaa.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuondolea vikwazo Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa anayetarajiwa kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani Jumatatu ijayo.
Hali Tanzania inaripotiwa kurudi kwenye ushuwari wake, baada ya mauaji yaliyoshuhudiwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, zilizopelekea kufungwa kwa huduma za intaneti kulikosababisha athari za…
Wanafunzi wawili Keicy Winely mwenye umri wa miaka 12 na Shanice Achieng mwenye miaka 13 kutoka Kenya, walivumbua pipa la kutupia taka linalotumia "sensor" na hufunguka bila kuguswa kwa mkono…
Mkuu wa jeshi la Ujerumani Carsten Breuer, ameonya leo kuwa Urusi haipaswi kabisa kufikiria kwamba inaweza kushinda vita dhidi ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO au hata dhidi ya mwanachama…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia kuwa hivi karibuni, kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu kinachoratibiwa na Marekani kitawasili Ukanda wa Gaza.
Kimbunga Kalmaegi kimepiga Vietnam baada ya uharibifu mkubwa nchini Ufilipino, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua watano na kuharibu zaidi ya nyumba 2,600. Haya yamesemwa leo na maafisa nchini humo.
Miripuko imesikika leo karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unaodhibitiwa na jeshi, siku moja baada ya wapiganaji wa RSF kusema wamekubali pendekezo la usitishaji mapigano kwa sababu za kibinaadamu.
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, jana Alhamisi ilithibitisha mashtaka yote 39 ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu yanayodaiwa kufanywa na mbabe wa kivita wa Uganda, Joseph…
Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steinmeier amewahimiza wafanyabiashara wa Ujerumani kufanya uwekezaji katika mradi mkubwa wa miundombinu ya reli wa Lobito kusini mwa Afrika.
Rais wa Kenya William Ruto atoa wito wa kuachiliwa kwa Wakenya wanaoshikiliwa nchini Ukraine baada ya kufanya maongezi ya simu na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.
Afrika imekumbwa na shinikizo kubwa la maandamano ya vijana maarufuiru Gen Z,maandamano hayo yamekuwa yakibeba ujumbe wa vijana kupinga mifumo ya kiutawala,hali ya uchumi,haki za binadamu na matumizi ya rasilimali.
Mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa utawala wa kidikteta wa Bashar Al Assad, Syria bado imezongwa na vurugu.
Paul Biya, Rais mkongwe zaidi duniani, mwenye umri wa miaka 92 ameapishwa kuwa Rais wa Cameroon kwa muhula wa nane.
Waasi wa AFC/M23 wamewateua mamia ya mahakimu katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mahakimu hao watakuwa na jukumu la kufufua…
John Okoth Ogutu, Mkenya mwenye umri wa miaka 33 aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi, amethibitishwa kuuwawa kwa risasi wakati wa machafuko yaliyotokea Dar es Salaam baada ya uchaguzi.
Mchezaji Ousmane Dembele ni mshambuliaji anayeona mbele siku zote. Akikipiga na timu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa (PSG). Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa.
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba Kazakhistan itajiunga na Mikataba ya Amani ya Abraham katika hatua muhimu ya kuimarisha jitihada za kutafuta amani ya Mashariki ya Kati.
Jeshi la Israeli limesema kuwa limekamilisha mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya kundi la wanamgambo wa Hezbollah kusini mwa Lebanon.
Wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces RSF nchini Sudan wamekubali pendekezo la kusitisha vita katika makubaliano ya kibinadamu yatakayotoa nafasi ya misaada kupelekwa katika maeneo inakohitajika.
Mawaziri wa nishati kutoka Marekani na nchi za Ulaya wamkutana mjini Athens, Ugiriki kujaribu kutafuta njia ya kuisadia Ukraine katika usambazaji wa gesi ili kukabiliana na msimu mkali wa baridi.
Shambulizi dhidi ya meli katika pwani ya Somalia limeibua hofu ya kurejea tena kwa matukio ya uharamia katika eneo hilo.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limemuondolea vikwazo rais wa mpitio wa Syria Ahmed al-Sharaa ili kumuwezesha kusafiri kwenda Washington kukutana na rais wa Marekani Donald Trump Niovemba 10.
Rais wa Marekani Donald Trump atangaza Kazakhistan kujiunga na Mikataba ya amani ya Abraham. Jeshi la Israeli lakamilisha mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya kundi la Hezbollah kusini mwa…
Shirika la kutetea haki za binadamu, Independent Medico-Legal Unit (IMLU) limeelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa vifo mikono ya polisi nchini Kenya+++Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steinmeier amewahimiza wafanyabiashara wa Ujerumani…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Leo XIV amekutana na Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, ikiwa ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana.
Picha mpya za satelaiti nchini Sudan, zimefichua ushahidi wa mauaji ya nyumba kwa nyumba, makaburi ya halaiki pamoja na maeneo yaliyotapakaa damu na miili inayoonekana kwenye udongo katika mji wa…
Mwili wa Mollel ulikuwa ni sehemu ya miili mingine 22 iliyorudishwa kutoka kwa makubaliano ya kusitisha vita vya Gaza, yaliyofikiwa Oktoba 10.
Baraza la Wawakilishi Zanzibar limekutana kwa mara ya kwanza, baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliokirejesha madarakani chama cha mapinduzi, CCM, chini ya Rais Hussein Mwinyi.
Tanzania bado iko kwenye mshtuko kutokana na vurugu zilizoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambao waangalizi wa kimataifa wanasema haukuzingatia haki na haukuwa huru.
Hatua hiyo inafuatia nchi hiyo kukumbukwa na vimbunga vilivyoathiri uzalishaji wa chakula.
Siku ya Alhamisi, mahakama hiyo ilimkuta Kony na hatia ya makosa mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na utesaji.
Mwalimu mmoja, raia wa Kenya ni miongoni mwa watu waliouawa wakati wa ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi wa utata nchini Tanzania. John Okoth Ogutu aliuawa kwa kupigwa risasi na hadi…
Jeshi la Israel limefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga dhidi ya miundombinu ya kundi la Hezbollah katika maeneo kadhaa ya upande wa Kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi 06.11.2025.
Wanamgambo wa kundi la RSF la nchini Sudan wamesema wameuridhia mpango wa usuluhishi ulioratibiwa na Marekani wa kusitisha vita ili kupisha msaada wa kiutu.
Korea Kaskazini imeukosoa vikali utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kwa kuiwekea kile ilichokiita "vikwazo vya kukarahisha" na imeapa kuwa italipa kisasi.
Kimbunga Kalmaegi kimeipiga Vietnam Alhamisi 06.11.2025 na kuzilazimu mamlaka kufuta mamia ya safari za ndege. Kimbunga hicho kimetua Vietnam baada ya kusababisha vifo vya watu wasiopungua 140 nchini Ufilipino.
Madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba kuna “mauaji ya halaiki dhidi ya Wakristo” nchini Nigeria yanapotosha uhalisia wa mzozo unaochochewa na migogoro ya rasilimali, yanahatarisha uhusiano na mshirika…
Vurumai zilishuhudiwa kote nchini Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, baada ya uchaguzi huo uliokuwa na utata kusababisha maandamano makubwa yaliyokumbwa na vurugu.
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika wamebainisha kwamba uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29.2025 haukuzingatia viwango vya demokrasia.
Israel imesema mwili uliokabidhiwa na Hamas siku moja iliyopita ni wa mwanafunzi wa Kitanzania Joshua Mollel. Mwili huo ulipelekwa katika Ukanda wa Gaza mara baada ya Mollel kuuawa katika mashambulizi…