Nigeria: Watu wasiopungua 30 wameuawa katika shambulio Jos
Baada ya shambulio lililotokea siku ya Jumapili jioni ya Machi 29, serikali ya Jimbo la Plateau imetangaza sheria ya kutotoka nje kwa saa 48 katika kitongoji cha Angwan Rukuba ambapo…
Baada ya shambulio lililotokea siku ya Jumapili jioni ya Machi 29, serikali ya Jimbo la Plateau imetangaza sheria ya kutotoka nje kwa saa 48 katika kitongoji cha Angwan Rukuba ambapo…
Bunge la Israeli limepitisha sheria yenye utata Jumatatu jioni, Machi 30, inayoidhinisha adhabu ya kifo kwa magaidi. Kiutendaji, sheria hii inatarajiwa kutumika tu kwa Wapalestina waliohukumiwa kwa mashambulizi au vitendo…
Watu zaidi ya 70 wameuawa katika shambulio lililotokea kwenye machimbo ya dhahabu Khor Kaltan, nchini Sudan Kusini. Imechapishwa: 31/03/2026 – 06:09 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Wafungwa 11 wamepoteza maisha na wengine wameambukizwa kipindupindu baada ya kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa huo katika gereza la Mbanza-Ngungu katika mkoa wa Kongo Central nchini DRC. Imechapishwa: 31/03/2026 –…
Mashambulizi yanaendelea Iran, Lebanon na katika maeneo mengine ya Mashariki ya Kati huku kiwanda cha mafuta cha Israel kikichomeka baada ya moto kuzuka kutokana na kipande cha kombora lililozuiliwa.
Donald Trump amedokeza kuwa anaweza kutuma wanajeshi kuchukua udhibiti wa kituo kikuu cha kuuza mafuta cha Iran.
Kiungo wa kati wa Chelsea Enzo Fernandez yumo kwenye orodha ya walioteuliwa na Real Madrid, Juventus wanamtolea macho Manuel Ugarte wa Manchester United, huku Newcastle wakipata msukumo katika jitihada zao…
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya shirika la kimataifa la biashara, WTO, yamemalizika rasmi nchini Cameroon bila makubaliano yoyote muhimu ikiwemo kushindwa kuongeza muda wa kupiga marufuku ushuru wa forodha…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kuharibu kitovu cha usafirishaji wa mafuta ya Iran kwenye kisiwa cha Kharg, ikiwemo visima vyake na vinu vya nishati ikiwa nchi hiyo haitakubali mkataba…
Urusi hivi leo iliagiza kuondoka nchini humo kwa mwanadiplomasia mmoja wa Uingereza kwa madai ya kufanya kufanya ujasusi, tuhuma ambazo London imezipuuza na kuziita “ujinga”. Imechapishwa: 30/03/2026 – 17:55 Dakika…
Luis Moreno-Ocampo, mwendesha mashtaka mkuu wa kwanza wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), anasema sheria za kimataifa ziliundwa ili kuwalinda raia na kuzuia nchi kuanzisha vita isipokuwa kwa kujilinda…
Wakati vita kati ya Iran, Marekani na Israel vikiingia siku yake ya thelathini, mkondo wa vita hivyo unashuhudia matukio ya haraka na mwelekeo unaobadilika zaidi
Jeshi la Israeli limethibitisha kujeruhiwa kwa wanajeshi wake sita katika nyakati tofauti nchini Lebanon. Imechapishwa: 30/03/2026 – 11:52 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Wanajeshi wawili…
Satelaiti hizo huruhusu Israel kufuatilia kwa wakati halisi maeneo ya kurushia makombora ndani ya Tehran, na hivyo kuyaainisha na kuyashambulia kabla Israel haijashambuliwa
Jeshi la mapinduzi la Iran (IRGC) limethibitisha rasmi kuuawa kwa Alireza Tangsiri, kamanda wa jeshi lake la maji siku nne kupita tangu jeshi la Israeli kutangaza kumuuwa. Imechapishwa: 30/03/2026 –…
Katikati ya vita katika Mashariki ya Kati, mwanajihadi huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 44 aliyempindua Bashar Al Assad mnamo mwezi Desemba 2024 anatarajia kukutana na viongozi kadhaa wa…
Jimbo hili la kusini magharibi mwa Nigeria linalopakana na Ghuba ya Guinea ambalo likoa katika hatari kubwa ya kuongezeka kwa viwango vya bahari kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa…
Katika gazeti la The Independent, makala ya Robert Fox inaangazia mwenendo wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, yenye kichwa "Hatimaye, Donald Trump ametambua kwamba Israel imemfanyia hila."
Faustin-Archange Touadéra ambaye alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Desemba 26, ataapishwa kwa muhula mpya wa miaka saba katika sherehe kubwa huko Bangui leo Jumatatu, Machi 30. Kwa hafla…
Rais wa China Xi Jinping amemwalika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani huko Taiwan kuzuru China mwezi Aprili, kulingana na vyombo vya habari vya serikali ya China na chama chenyewe…
Katika mahojiano na gazeti la Financial Times, Rais wa Marekani anasema anataka ‘‘kuchukua’’ mafuta ya Iran lakini anaongeza kuwa mkataba unaweza kufikiwa ‘‘haraka’’.
Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, kuanzia leo inazindua zoezi endelevu la kujiadikisha kwa wapiga kura wapya wapatao zaidi ya Milioni 2.5 kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Imechapishwa: 30/03/2026…
''Ikiwa Marekani inajua mahali ilipo urani hiyo, kwa nini ichague njia ya kijeshi?'', mwandishi Mark Urban anauliza.
Rais wa Marekani sasa anatishia kuchukua mafuta ya Iran na kwenda mbali zaidi na kudhibiti kisiwa cha Kharg, kinachozalisha bidhaa hiyo, wakati huu vita vikiendelea kwa wiki ya nne. Imechapishwa:…
Bayern Munich wanahofia vilabu vya Saudi Pro League vinamlenga Harry Kane, Bernardo Silva yuko tayari kuondoka Manchester City na Inter Miami kuanza mazungumzo na Casemiro wa Manchester United.
Nchini Marekani, bajeti ya Idara ya Usalama wa Nchi, ambayo inasimamia Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE), bado imekwama katika Bunge, na hakuna azimio linalotarajiwa kwa sasa. Ingawa hatua za…
Hata bila kuungwa mkono na Umoja wa Afrika, Macky Sall anaendelea kugombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Mrithi wa Antonio Guterres atachaguliwa mwishoni mwa mwaka huu, na…
Mahakama ya Katiba nchini Congo-Brazzaville, imethibitisha ushindi wa Denis Sassou Nguesso. Siku ya Jumamosi, Machi 28, Mahakama ya Katiba ilitatua mzozo wa uchaguzi. Ilifutilia mbali ombi la kufuta uchaguzi wa…
Kiongozi wa upnzani nchini DRC, Moïse Katumbi Chapwe amevunja ukimya wake. Moïse Katumbi ambaye ni mmoja wa wapinzani wakuu wa kisiasa wa rais Félix Tshisekedi pia amepinga wazo la mageuzi…
Liamine Zeroual alikuwa kielelezo bora, mfano wa kuigwa katika taifa la Algeria wakati wa kipindi cha miaka kumi kilichokumbwa na matukio ya kusikitisha katika miaka ya 1990. Rais wa zamani…
Shambulio la makusudi lilifanywa dhidi ya jengo ambako kunapatikana makao makuu ya kituo cha televisheni ya Al Araby, iliyoko mashariki mwa Tehran, kwenye mraba usio mbali na Heravi Square, anaripoti…
Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran, Shahram Irani, amesema Jumapili, Machi 29, kwamba meli kubwa ya USS Abraham Lincoln intalengwa ikiwa itafika ndani ya masafa ya urushaji makombora. Imechapishwa:…
Marekani na Iran zimeonyesha misimamo yake,na kuendelea kupimana nguvu kiasi hiki kunaleta athari gani?
Hamasa ya kukusanya mchwa imeishangaza Kenya huku wasafirishaji haramu wakilenga kujipatia faida.
Mwanamuziki maaraufu wa rap (Rapa) ambaye sasa amejitosa kwenye siasa Balendra Shah ndiye aliyeapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Nepal baada ya ushindi wake wa kishindo.
Waasi wa Houthi wa Yemen wanasema wamefanya shambulio la pili katika sehemu za kusini mwa Israel leo.
Nchini Niger, ni marufuku kusambaza picha za watu wanaopokea misaada, kama vile michango ya chakula. Shirika la taifa la Mawasiliano (ONC) linakumbusha vyombo vya habari na tovuti kuhusu sheria hii.…
Serikali ya DRC inasema iko macho kutokana na hatari ya uchafuzi wa mionzi katika maeneo ya migodi huko Lualaba (kusini-mashariki). Suala lilitawala kikao cha baraza la mawaziri lililokutana siku ya…
Karibu watu 260,000 huuawa na ugonjwa wa uti wa mgongo kila mwaka duniani kote. Hii ni kulingana na utafiti uliochapishwa siku ya Jumamosi, Machi 28, katika Jarida la The Lancet…
Shirika la Waandishi wa HabariWasio na Mipaka (RSF) limechapisha ripoti siku ya Alhamisi, Machi 26, kuhusu hali ya uandishi wa habari katika eneo la Maziwa Makuu. Imechapishwa: 29/03/2026 – 06:58…
Uchumi wa Kenya uko katika msukosuko kutokana na vita vya Mashariki ya Kati. Chama cha Biashara ya Chai Afrika Mashariki (East African Tea Trade Association – EATTA) kilitangaza siku ya…
Nchini Kenya, uchunguzi wa miili huko Kericho unaendelea. Kaburi la watu wengi liligunduliwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika mji huu mdogo magharibi mwa nchi. Vijana, walioajiriwa kama wachimba makaburi na…
Newcastle United itaendelea na nia ya kumsajili James Trafford, 23, ikiwa mlinda lango huyo wa Uingereza ataamua kuondoka Manchester City.
Vita vya Mashariki ya Kati vimeingia mwezi wake wa pili leo Jumamosi, Machi 28, 2026, bila dalili zozote za kupungua, huku Israel na Iran zikiendelea kushambuliana kwa mabomu. Angalau waandishi…
Jaribio la shambulio kwa klipuzi limezimwa leo Jumamosi, Machi 28, jijini Paris, mbele ya tawi la Benki Kuu ya Amerika, Bank of America, baada ya maafisa wa polisi kuingilia kati…
Aliyekuwa mwanadiplomasia wa Ubelgiji Etienne Davignon, aliyefunguliwa mashtaka akihusishwa na kifo cha mpigania uhuru na mwanzilishi wa taifa la DRC Patrice Lumumba mwaka 1961, amekata rufaa kupinga kufunguliwa mashtaka. Imechapishwa:…
Nchi ya Senegal, ni miongoni mwa mataifa 20 ambayo yamekataa jina la rais wa zamani Macky Sall, kuwa mwakilishi wa Afrika kwenye kinyanganyiro cha kuwania nafasi ya Katibu Mkuu wa…
Wakati vita vikiingia wiki ya nne mashariki ya Kati, waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen wamesema wameishambulia Israel kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita dhidi…
Waasi wa Houthi kutoka Yemen ni miongoni mwa washirika wakuu wa Iran katika ukanda wa Mashariki ya Kati, na kwa muda mrefu wamekuwa wakijihusisha na mashambulizi ya hapa na pale…
Wakati vita vya Iran vikiingia katika wiki yake ya nne, Umoja wa Falme za Kiarabu umeibuka kama shabaha ya wazi ya Tehran.