Baada ya Rostam Aziz kununua NMG: je uhuru wa habari upo shakani?
Rostam Aziz kununua NMG kumeibua maswali lukuki kuhusu uhuru wa habari katika eneo la ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na ukaribu wake na wanasiasa wa eneo hilo.
Rostam Aziz kununua NMG kumeibua maswali lukuki kuhusu uhuru wa habari katika eneo la ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na ukaribu wake na wanasiasa wa eneo hilo.
Hatua hiyo inakuja wakati Iran imeanzisha mashambulizi katika maeneo mbalimbali ya Mashariki ya Kati, ikilenga watu na rasilimali zingine zinazohusishwa na Marekani
Raia nchini Jamhuri ya Congo wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa urais siku ya Jumapili, katika uchaguzi ambao rais Denis Sassou nguesso mwenye umri wa miaka 82 anapewa nafasi kubwa ya…
Rais wa Marekani Donald Trump anazisihi nchi zinazotegemea mafuta za Ghuba kushiriki katika kuulinda Mlango-Bahari wa Hormuz, ambao sasa uko katikati ya mzozo kati ya Washington na Tehran. Imechapishwa: 15/03/2026…
Kwa sasa, Arsenal sasa ubingwa uko mikononi mwao kama watashinda mechi 5 zijazo ikiwemo dhidi ya City, itawafanya kufikisha alama 85. City hata akishinda michezo yake yote mingine (7) ukiondoa…
Wakati wa mkutano wa Baraza la Mawaziri, ambao kumbukumbu zake zilitolewa siku ya Ijumaa, Rais wa DRC Félix Tshisekedi alionya kuhusu athari zinazoweza kuwa na madhara kwa uchumi. Alitoa wito…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameiambia CNN, katika sehemu ya mahojiano yaliyorushwa siku ya Jumamosi, kwamba Urusi inaipa Iran ndege zisizo na rubani za Shahed zinazokusudiwa kutumika dhidi ya Marekani…
Walinzi wa Mapinduzi wanadai kulenga Israel na kambi tatu za Marekani nchini Iraq na Kuwait. “Milio isiyokoma ya ving’ora vya ambulensi” nchini Israeli na kukiri kwa mamlaka ya Israel kuhusu…
Katika siku ya 15 ya vita vya Mashariki ya Kati, Donald Trump ametoa wito kwa nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Ufaransa, kutuma meli kusaidia kulinda Mlango-Bahari wa Hormuz. Moto…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema siku ya Jumamosi, Machi 14, kwamba “njia za kidiplomasia zinawezekana” kukomesha vita kati ya Israel na wanamgambo wa Hezbollah wanaounga mkono…
Nchini Ethiopia, angalau watu 102 wamefariki kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa ambayo imekuwa ikikumba eneo la Gamo kusini mwa nchi tangu mwanzoni mwa wiki. Hii ni idadi…
Huko Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hofu inaenea miongoni mwa watu kutokana na ongezeko la arifa za utekaji nyara, haswa kwenye teksi na njia zingine za…
Kiongozi wa upinzani Bobi Wine ametangaza katika video kwamba ameondoka Uganda siku ya Jumamosi, Machi 14. Bobi Wine amekuwa mafichoni tangu uchaguzi wa urais wa mwezi Januari, ambao Yoweri Museveni…
Wahudumu saba wa afya wamefariki siku ya Ijumaa, Machi 13, wakati boti yao ilipozama kutokana na upepo mkali katika Ziwa Tanganyika magharibi mwa Tanzania, ikulu ya rais imesema katika taarifa.…
Vilabu vya Ligi Kuu England (EPL) vimefunguliwa milango ya kumsajili kiungo wa Eduardo Camavinga, huku Arsenal wakianza mazungumzo ya kumsajili beki wa RB Leipzig Castello Lukeba, na kiungo wa Crystal…
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Kiongozi mpya wa Iran anaonekana tayari kufanya maji kuwa silaha ya vita katika eneo hilo.
Trump ametoa wito kwa Iran kuweka chini silaha zake na "kuokoa kile kilichobaki cha nchi yao, ambacho si kikubwa".
Ndege zisizo na rubani, makombora na ndege za kivita zimekuwa jambo la kawaida kwa mabaharia wengi waliokwama kwenye meli eneo la Ghuba.
Kuanzia endometriosis na saratani ya shingo ya kizazi, hadi kisukari na matatizo ya tezi dume, wanasayansi wanagundua kuwa damu ya hedhi inatoa fursa ya kujua ustawi wa wanawake.
Marcus Rashford anaweza kurudi Manchester United msimu huu wa joto, Tottenham wanatafuta mchezaji wa kuchukua nafasi ya Igor Tudor na Arsenal wanaandaa mkataba na Leon Goretzka.
Raia wa Iran wanasema wanajificha nyumbani na ni mara chache wao kutoka nje kwenye mitaa isiyo na watu huku milipuko ya mabomu ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ikiendelea.
Raia nchini Jamhuri ya Congo wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa urais siku ya Jumapili, katika uchaguzi ambao rais Denis Sassou nguesso mwenye umri wa miaka 82 anapewa nafasi kubwa ya…
Kiongozi wa mashtaka wa Ufaransa, anayeshughulika na kesi za ugaidi, ameanzisha uchunguzi kuhusu tukio la ndege isiyokuwa na rubani, iliyotekeleza shambulio jijini Goma, Mashariki mwa DRC Machi tarehe 11 na…
Wakati wa uongozi wake, Ali Khamenei aliwapa nafasi za uongozi na kazi wengi wa wanafamilia wake.
Ripoti ya hivi majuzi, Ripoti ya Hali ya Akili Duniani, imefichua kwamba vijana wa Kiafrika wanaonyesha viwango vya juu vya afya ya akili, tahadhari, na ustahimilivu.
Trump amesema kupanda kwa bei ya bidhaa ni kwa muda tu, na hali itakuwa imerejea kuwa kawaida kabla ya uchaguzi mdogo wa mwezi Novemba.
Msitu wa Karura ambao unapatikana katikati ya mji mkuu, Nairobi, hekta zake 1,000 zinawakilisha msitu wa pili kwa ukubwa wa mijini duniani. Karura ilianzishwa miaka ya 1990 baada ya mapambano…
Mwandishi maalum wa Umoja wa Mataifa amesema siku ya Alhamisi huko Geneva kwamba dunia imeingia katika “enzi mpya ya unyanyasaji” kwa jina la mapambano dhidi ya ugaidi, ambayo amesema Marekani…
Tukio hilo "halikutokana na mapigano ya uadui au ya kirafiki", Kamandi Kuu ya Marekani inasema
Licha ya kuwa mshirika wa kiitikadi wa Donald Trump barani Ulaya, Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni haogopi kukemea kupuuzwa kwa sheria za kimataifa katika mashambulizi dhidi ya Iran, anaripoti…
Iwapo Iran itazidi kushambuliwa, basi mataifa ya ghuba yatahitaji ulinzi zaidi kutoka mataifa ya magharibi.
Marekani imeidhinisha kwa muda uuzaji wa mafuta ya Urusi yaliyohifadhiwa kwenye meli, huku bei zikipanda tangu kuanza kwa vita vya Iran, Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza siku ya Alhamisi.…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia, siku ya Alhamisi jioni, ameagiza wafanyakazi wa serikali wasio wa muhimu kuondoka Israel na Falme za Kiarabu kutokana na “hali ya usalama inayozorota”…
Mwanajeshi wa Ufaransa ameuawa “wakati wa shambulio” huko Kurdistan ya Iraq, Rais Emmanuel Macron ametangaza siku ya Alhamisi usiku, Machi 12. “Afisa Arnaud Frion wa Kikosi cha 7 cha Wapiganaji…
Makundi ya upinzani ya Iraq na washirika wa Iran wamedai kudungua ndege ya Jeshi la Anga la Marekani KC-135 Stratotanker ya kubeba mafuta ya ndege , ishara ya kuingilia kati…
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran tayari vimeonyesha gharama kubwa kwa watu duniani kote huku mzozo wa mafuta na ugavi unapoanza kuonekana wazi.
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amesema siku ya Alhamisi “ameshtushwa” na ripoti kwamba zaidi ya raia 200 wameuawa kwa mashambulizi ya ndege zisizo…
Ndege ya kijeshi ya Marekani ya kubeba mafuta ya ndege iliyoshiriki katika operesheni dhidi ya Iran imeanguka nchini Iraq. Shughuli za uokoaji zinaendelea, kamandi kuu ya Marekani (CENTCOM) imetangaza siku…
Kupitia matumizi ya bajeti ya ulinzi, mifumo ya kuzuia silaha za nyuklia, na silaha za kisasa, mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani ni Marekani, Urusi na China.
Manchester City na Barcelona wafanya mazungumzo juu ya mshambuliaji Erling Haaland, kiungo wa kati wa West Ham Mateus Fernandes anafuatliwa na Manchester United, Newcastle wanammezea kiungo wa Monaco Lamine Camara.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa, imebaini kuwa wanajeshi wa Uganda waliopo nchini Sudan Kusini, wamekuwa wakiwalenga raia wa kawaida katika taifa hilo linaloendelea kushuhudia changamoto za kiusalama na kisiasa. Imechapishwa:…
Wanajihadi wanaoshirikiana na magaidi Al-Qaeda wamewauwa watu 38 na kuwateka wanawake tisa nchini Burkina Faso kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita. Imechapishwa: 12/03/2026 – 16:43 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Jijini Goma,mashariki mwa DRC, kumefanyika maandamano baada ya shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani siku ya Jumatano na kusababisha vifo vya watu watatu, akiwemo raia wa Ufaransa mfanyakazi wa Shirika…
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi cha Iran (RPC) kimetangaza leo Alhamisi kwamba kimelenga maeneo ya Israel na Marekani katika Falme za Kiarabu, Iraq, na Kuwait. Imechapishwa: 12/03/2026 – 13:25Imehaririwa: 12/03/2026…
Takriban Wairani milioni 3.2 wametoroka makazi yao na kukimbilia katika maeneo salama ndani ya Iran tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hiyo na Israel na Marekani, Shirika la Umoja…
Kremlin inataka kudumisha uhusiano mzuri wa kikazi na Trump. Inaamini kuwa uhusiano wake na utawala wa Trump unafaidi malengo ya kijeshi ya Moscow nchini Ukraine.
Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imetangaza leo Alhamisi, Machi 12, kwamba imedungua ndege isiyo na rubani ya Iran iliyokuwa ikijaribu kukaribia eneo kunakopatikana balozi mbalimbali huko Riyadh. Katika siku…
Mashambulizi ya anga yame haribu takribani vituo vinne vya mafuta tangu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yalipoanza mwezi uliopita.