AU yabaini dosari kubwa katika uchaguzi wa Tanzania
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema wazi kwamba uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia vinavyotakiwa na AU na kanuni za kimataifa.
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema wazi kwamba uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia vinavyotakiwa na AU na kanuni za kimataifa.
Shirika la kimataifa la kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International kwenye ripoti yake hii leo limeishutumu Tunisia kwa "ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu" dhidi ya wahamiaji, ikiwa ni pamoja…
Mapato ya kutoa huduma yalipanda hadi shilingi bilioni 199.9 katika muda wa miezi sita hadi mwisho wa mwezi wa Septemba, kutoka shilingi bilioni 179.9 katika kipindi kama hicho mwaka uliotangulia,…
Umoja wa Afrika imesema Tanzania inatakiwa kuyapa kipaumbele masuala ya mageuzi ya uchaguzi na siasa ili kushughulikia chanzo cha changamoto zake za kidemokrasia zilizoibuka katika mchakato wa uchaguzi
Mamlaka za Tanzania zinakabiliwa na shinikizo kubwa kuhusu ripoti za maafisa wa usalama kuwapiga risasi na kuwaua waandamamanji waliojitokeza mitaani kuupinga uchaguzi uliofanyika nchini humo wiki iliyopita.
Chini ya marufuku iliyowekwa hapo awali Benki kuu ya Sudan iliwajibisha wauzaji dhahabu nje ya nchi kuzingatia udhibiti uliotolewa na Wizara ya Viwanda, Wizara ya Madini, Shirika la Viwango na…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema nchi yake inahitaji msaada zaidi wa kimataifa ili kulinda usambazaji wake wa nishati kutokana na mashambulizi ya Urusi.
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia…
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia…
Marekani imesema itaondoa uungwaji wake mkono wa kurefusha ujumbe wa amani wa kimataifa katika eneo linalozozaniwa la Abyei kati ya Sudan na Sudan Kusini.
Nigeria imesema kuteuliwa kwa kama nchi inayokiuka uhuru wa kidini na Marekani kulikuwa na taarifa za upotoshaji.
Israel imepokea mabaki ya mwili wa mateka mwingine wa Israel aliyekuwa akishikiliwa huko Gaza tangu shambulizi la Hamas mnamo Oktoba 7 mwaka 2023.
Jumuiya ya kujihami ya NATO itapokea Tuzo ya Kimataifa ya Amani ya Westphalia ya mwaka 2026. Tuzo hiyo itatolewa katika mji wa Münster.
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wasema uchaguzi mkuu wa Tanzania ulikumbwa na mapungufu ya uadilifu. Marekani yatishia kutokuunga mkono ujumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa katika eneo…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mamlaka za Tanzania zinakabiliwa na shinikizo kubwa kuhusu ripoti za maafisa wa usalama kuwapiga risasi na kuwaua waandamamanji waliojitokeza mitaani kuupinga uchaguzi uliofanyika nchini humo…
Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika ulisema jana Jumatano kwamba uchaguzi wa Tanzania uliofanyika mnamo Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia+++Urusi imesema vikosi vyake vinaendelea kusonga mbele maeneo ya…
Gharama hiyo ni sawa na ile iliyokuwa ikitumika kwa kipindi cha kuishia Oktoba 31, 2025.
Hakikisho hilo linafuatia vurugu zilizoibuka wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 na kusabisha vifo vya watu, majeruhi na uharibu wa mali.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesema makamu mwenyekiti wake John Heche amefunguliwa mashtaka kwa makosa ya Ugaidi, ikiwa ni siku kadhaa baada ya ghasia za baada ya uchaguzi…
Je, unafahamu kwamba Meya mpya wa jiji maarufu zaidi nchini Marekani, New York, Zohran Mamdani, alizaliwa na kukulia nchini Uganda Mafanikio yake ya kisiasa yamewafanya raia wa Uganda kujivunia kwa…
Muuguzi mmoja amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani Kwa Kuwaua Wagonjwa 10 na Jaribio la Kuwaua Wengine 27 nchini Ujerumani. Ushahidi umeonesha kuwa alitekeleza hayo ili kupunguza wingi wa kazi.
Pakistan imeongeza ukandamizaji dhidi ya wahamiaji kutoka Afghanistan baada ya mapigano, waathirika wa visa vya unyanyasaji , wanasema serikali ya Pakistani inaongeza shinikizo la kuwataka kuondoka nchini humo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema makamu mwenyekiti wake John Heche amefunguliwa mashtaka ya ugaidi, siku chache baada ya ghasia za uchaguzi kuikumba nchi hiyo.
Waziri wa Israel anayehusika na maslahi ya Waisraeli wanaoishi ughaibuni Amichai Chikli, leo amemshtumu meya mteule wa New York Zohran Mamdani na kumtaja kuwa "mfuasi wa kundi la Hamas."
Urusi imeishutumu Ukraine kwa kuficha taarifa kuhusu kuzingirwa kwa wanajeshi wake katika miji ya mashariki ya Pokrovsk na Myrnohrad.
Watu 40 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kwenye shambulizi lililofanywa katika shughuli ya mazishi mjini El- Obeid, eneo la katikati mwa Sudan la Kordofan .
Mahakama moja mjini Aachen nchini Ujerumani, imemhukumu leo kifungo cha maisha jela muuguzi mmoja kwa mauaji ya wagonjwa 10 na jaribio la kuwaua wengine 27 kwa sindano za sumu.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo imesema watu 40 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya waombolezaji huko Kardofan nchini Sudan. RSF imeendelea kuteka maeneo kadhaa kutoka kwa jeshi la…
Vikosi vya Urusi vinasonga mbele ndani ya mji wa Pokrovsk mashariki mwa Ukraine na kuharibu mifumo ya kijeshi iliyoundwa na vikosi vya Ukraine pamoja na kuzuia juhudi za Ukraine kujitoa…
Israel imethibitisha hivi leo kupokea mabaki ya mwili wa mwanajeshi wake mwenye uraia pia wa Marekani kutoka kwa wanamgambo wa Hamas, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha…
Hali ikirejea kuwa shwari Tanzania, wataalamu na wanasiasa mbalimbali katika mataifa ya kusini mwa Afrika wametoa angalizo kuwa hali yoyote ya ukosefu wa uthabiti wa kisiasa Tanzania utaathiri uchumi wa…
Madai ya Trump kuhusu mauaji ya halaiki ya Wakristo nchini Nigeria na vitisho vya mashambulizi ya kijeshi ni muenendo waliyozowea Marekani kwa kisingizio cha misaada kwa watu.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, amefunguliwa mashtaka ya ugaidi — siku chache baada ya ghasia za uchaguzi mkuu.
Mienendo ya wafanyabiashara kufunga maduka yao jijini Kampala nchini Uganda kama njia ya kugoma imeanza kuwa chukizo kwa wateja. Wafanyabiashara wanasema hatua hiyo ni kupunguza mzigo wa kodi inayotozwa na…
Zohran Mamdani,mwenye umri wa miaka 34 na anayejitambulisha kama msoshalisti, amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa New York.
Zohran Mamdani, kutoka chama cha Demokrat alichaguliwa kuwa meya wa Jiji la New York siku ya Jumanne, akimaliza ushawishi wa muda mrefu wa gavana wa zamani Andrew Cuomo aliyesimama kama…
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA chadai kuwa vikosi vya usalama vilikuwa vikitupa miili ya mamia ya waliouawa katika ghasia za uchaguzi.
Mabaki ya mateka yaliokabidhiwa kwa Israeli na kundi la Hamas jana jioni yametambuliwa kuwa ya mwanajeshi aliyetakwa nyara mnamo Oktoba 7, 2023. Haya yamesemwa mapema leo na jeshi la Israel.
Iran lazima iimarishe ushirikiano wake na wakaguzi wa Umoja wa Mataifa ili kuepuka kuzidisha mvutano na nchi za Magharibi.Haya yameripotiwa na gazeti la Financial Times lililomnukuu mkuu wa Shirika la…
Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya bado hazijafikia makubaliano kuhusu malengo muhimu ya uzalishaji wa hewa chafuzi kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa wa COP30 utakaofanyika wiki…
Vikosi vya usalama nchini Uganda vimesema kuwa vimemuua mganga mmoja kwa jina Christian Asuman Muganzi, anayedaiwa kuongoza mashambulizi ya kuratibiwa wikendi iliyopita dhidi ya vituo vya polisi na jeshi .
John Okoth Ogutu, Mkenya mwenye umri wa miaka 33 aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi, ameripotiwa kuuawa kwa risasi wakati wa machafuko yaliyotokea Dar es Salaam baada ya uchaguzi.
Winga wa Bayern Munich Luis Diaz alifunga mabao mawili ya kipindi cha kwanza na kuisaidia timu yake kuwalaza mabingwa watetezi Paris Saint Germain 2-1.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametoa mwito kwa Rais Viktor Orban wa Hungary kuacha kupinga ombi la nchi yake kujiunga na Umoja wa Ulaya.
Watanzania jana wamesambaza video mitandaoni zilizoonesha ukatili uliofanyika wakati wa maandamano ya siku kadhaa nchini humo kufuatia uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.
Marekani inashirikiana na mataifa mengine kusitisha mapigano yanayoendelea nchini Sudan.
Mgombea wa chama cha Democratic Zohran Mamdani ameshinda kiti cha meya wa jiji la New York huko Marekani.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Watanzania jana wamesambaza video mitandaoni zilizoonesha ukatili uliofanyika wakati wa maandamano ya siku kadhaa nchini humo kufuatia uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita / Zohran Mamdani, kutoka…
Zohran Mamdani wa chama cha Democratic ashinda kura ya Meya wa New York huko Marekani//Marekani yasema iko katika majadiliano ya vita kusitishwa Sudan//Na Watanzania wasambaza video za ukatili uliofanyika nchini…
Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya kuapishwa wa Samia Suluhu Hassan kama rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia ushindi wake wa kiti hicho katika uchaguzi wa Oktoba…