Artemis II: Safari hatari na kihistoria, binadamu wanarejea Mwezini baada ya miaka 50
Wanaanga wanne watafanya safari ya zaidi ya maili nusu milioni na kurudi nyumbani katika misheni iliyojaa mshangao, lakini pia hatari.
Wanaanga wanne watafanya safari ya zaidi ya maili nusu milioni na kurudi nyumbani katika misheni iliyojaa mshangao, lakini pia hatari.
Huu ni uamuzi wa kihistiria wa Mahakama ya Utawala ya Paris siku ya Ijumaa, Machi 27. Zaidi ya miaka 80 baada ya mauaji ya Thiaroye, Mahakama ya Ufaransa imeihukumu Ufaransa…
Kuendelea kwa Iran kuzuia meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz kumevuruga usambazaji wa mafuta, na akiba ya nchi nyingi za Afrika iko hatarini kuisha ifikapo katikati ya Aprili.
Janga hilo, lililotokea usiku wa Jumanne, Machi 24, kuamkai Jumatano, Machi 25, limesababisha vifo vya watu wasiopungua tisa na 45 hawajulikani walipo, kulingana na ripoti kutoka Shirika la Kimataifa la…
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kuwa wanajeshi hao walijeruhiwa katika shambulio la Iran lililohusisha angalau kombora moja pamoja na ndege zisizo na rubani (drones).
Kadri uwezekano wa mageuzi ya katiba unavyojitokeza mara kwa mara katika mjadala nchini DRC, Baraza Kuu la Maaskofu nchini DRC (CENCO) linarudia onyo lake kuhusu mada hiyo. “Kuelekea upande huo,…
Katika siku ya 28 ya vita katika Mashariki ya Kati, mashambulizi yanaendelea katika eneo lote. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ambaye yuko nchini Ufaransa kwa mkutano…
Mafuriko katika maeneo mengi nchini Kenya yamesababisha vifo vya watu wengine 15, na kusababisha vifo vya watu 103, Idara ya Polisi nchini Kenya (NPS) imeripoti Ijumaa. Imechapishwa: 28/03/2026 – 05:51…
Arsenal wanachunguza uwezekano wa kumsajili Elliot Anderson, vilabu kadhaa vya Ligi Kuu vinawania saini ya Aurelien Tchouameni, Manchester United wanamwania Adam Wharton.
Rais wa Jamhuri ya Burundi ambae pia ni mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika, Evariste Ndayishimiye, alifanya mkutano wake wa kwanza kwa njia ya video na wajumbe wa Mkutano…
Umoja wa Mataifa unaonya kuwa hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, katika majimbo ya Kivu Kusini na Kaskazini, inaendelea kuwa mbaya. Imechapishwa: 27/03/2026 – 15:56Imehaririwa: 27/03/2026…
Chama kikuu cha upinzani nchini Kenya Orange Democratic Movement-ODM kimeendelea kushuhudia mgawanyiko mkubwa baada ya pande mbili zinazopambania uongozi wa chama hicho kilichoanzishwa na Marehemu Raila Odinga, Waziri Mkuu wa…
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini Tanzania, imesababisha vifo vya zaidi ya watu 20 na kuwaacha wengine bila makaazi, huku hali ikitarajiwa kuwa mbaya. Imechapishwa: 27/03/2026 – 15:23Imehaririwa: 27/03/2026 – 16:11…
Kutoelewana kuko wazi. Washington inazungumzia maendeleo katika mazungumzo; Tehran inakataa kabisa. Lakini hili halihusu tu kutokubaliana; pia inaonyesha kutoaminiana.
Petroli tayari imepanda na bili za mafuta, gesi na umeme ndani ya Uingereza zinakaribia kuongezeka. Bidhaa zipi nyingine zitaathirika
Wakati wa mkutano mbele ya Baraza la Usalama, Vivian van de Perre, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC ambaye pia anahudumu kama kaimu Mkuu wa…
Kulingana na ripoti zilizochapishwa katika vyombo vya habari vya Mauritania na kuthibitishwa kwa RFI na vyanzo vya usalama vya Mauritania na Mali, doria ya jeshi la Mali iliingia katika vijiji…
NAIROBI – Rais wa Djibouti, Ismaïl Omar Guelleh, amezindua ujenzi wa nyumba za kisasa za bei nafuu zipatazo 7,000 katika jiji la Salaam, huu ukiwa mradi mkubwa wa nyumba kuanzishwa…
Uchunguzi wa Gazeti la The Guardian, uliochapishwa Machi 25, unaangazia ukosefu wa mashtaka kufuatia mamia ya vifo katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa, ambapo mashambulizi dhidi ya vijiji vya Wapalestina yanaendelea.…
Miaka mitatu baada ya kuchapishwa kwa ripoti inayofichua kiwango cha unyanyasaji wa kingono kwa watoto ndani ya Kanisa la Ureno, Mkutano wa Maaskofu wa Ureno umetangaza fidia kwa waathiriwa 57…
Hatima ya mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifui (ICC), Karim Khan, bado haijulikani. Katika ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa nchi wanachama wa ICC mnamo Machi 9, majaji watatu…
Jeshi la Israel limekiri kushindwa mara kwa mara katika mfumo wake wa kuzuia makombora, licha ya kudai kiwango cha juu cha mafanikio. Makombora ya Iran yalifanikiwa kupenya ulinzi wa Israel…
Rais wa Marekani Donald Trump ameahirisha makataa yake dhidi ya Iran kabla ya mashambulizi yanayowezekana kwenye mitambo ya umeme hadi Aprili 6 Imechapishwa: 27/03/2026 – 06:18 Dakika 1 Wakati wa…
Rais wa Marekani amekuwa akisema kwa siku kadhaa kwamba mazungumzo kati ya Marekani na Iran yanaendelea, lakini Iran imekanusha kuendelea kwa hatua hiyo.
Upinzani nchini Israel umetangaza kuvunjika kwa makubaliano ya kisiasa kuhusu vita dhidi ya Iran—mzozo ambao, kulingana na jeshi, sasa unahitaji kupelekwa kwa wanajeshi wengi zaidi, hasa upande wa Lebanon. Imechapishwa:…
Bunge la Israel, Knesset, litapiga kura, kuhusu usomaji wa awali wa mswada uliowasilishwa na kiongozi wa upinzani Yair Lapid, wenye mada: "Kuitangaza Qatar kuwa taifa adui."
Kaimu Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC ameonya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi kwamba mzozo mashariki mwa Kongo, eneo lenye utajiri wa…
Maafisa wa Iran wamekuwa wakisema mara kwa mara wanataka kukomeshwa kabisa kwa vita, na sio tu kusitishwa kwa mapigano.
Watu ishirini wamefariki kusini mwa Tanzania katika maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa, mamlaka imetangaza siku ya Alhamisi Machi 26, huku mvua zaidi ikitarajiwa. Mvua imekuwa ikinyesha Afrika Mashariki…
Katika saa 48 za mwanzo, mashambulizi hayo yalitekelezwa kwa nguvu kubwa ya anga, yakihusisha ndege za kivita, makombora ya masafa marefu pamoja na mifumo ya kisasa ya kijasusi.
Bayern Munich wanataka kumbakiza Michael Olise licha ya kuvutiwa na Liverpool ambao wanaweza kutoa dau la zaidi ya pauni milioni 170. Wakati huo huo, Manchester United wanajiandaa kuwasilisha ofa rasmi…
Zimbabwe inasema raia wake kumi na watano, wameuawa, baada ya kusajiliwa katika jeshi la Urusi kwenda kupigana nchini Ukraine, huku wengine zaidi ya 60 wamekwama katika mstari wa mbele kwenye…
Nchini Sudan Kusini, imepita mwaka mmoja kamili tangu kukamatwa na kuzuiwa nyumbani kwa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa rais , Riek Machar. Imechapishwa: 26/03/2026 – 16:43 Dakika 1 Wakati wa…
Israel inasema imemuua Alireza Tangsiri, Kamanda wa kikosi cha majini cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya Iran, katika mashambulizi mazito yaliyofanyika usiku wa kuamkia Alhamisi. Imechapishwa: 26/03/2026 – 16:07Imehaririwa:…
Kuna mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja kati ya pande hizo mbili, lakini makubaliano bado yanaweza kuwa mbali kufikiwa.
Mkutano wa Alhamisi utakuwa wa kiufundi, kati ya wanajeshi. Dhana ya kwanza ya kazi: je, muungano huu unaweza kuigwa na Operesheni Agenor, ambayo, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2024, ilikusudiwa…
Jeshi la Israel, leo Alhamisi, Machi 26, limesema kwamba limekuwa likijibu mashambulizi ya makombora ya Iran yaliyorushwa kuelekea Israel. Falme za Kiarabu pia zinakabiliwa na mashambulizi ya ndege zisizo na…
Umoja wa Mataifa umependekeza mpango wa misaada ya dharura kwa Cuba, ikiwa ni pamoja na uwasilishaji wa mafuta, kama sehemu ya majadiliano na Marekani kuhusu idhini ya uagizaji wa bidhaa…
Tukio la kushangaza lilitokea kati ya wajumbe wa Rwanda na Kongo siku Jumanne, Machi 24, katika hoteli huko Washington, D.C., ambapo Mke wa rais wa Kongo, Denise Nyakeru Tshisekedi, alifikia.…
Nchini Sudan, wanamgambo wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) wametangaza mnamo Machi 24 kwamba wameuteka mji wa al-Kurmuk katika Jimbo la Blue Nile, kusini mashariki mwa nchi, kwenye mpaka…
Je, MINUSCA inafunga shughuli zake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, au huu ni mpangilio mpya wa kimkakati wa shughuli zake nchini humo? Swali hili limechochea mjadala na wasiwasi miongoni…
Wakazi wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wana wasiwasi wakati bwawa lililoko kusini-magharibi mwa jiji liko katika hali ya hatari ya kuporomoka. Katika taarifa iliyotolewa wiki hii, Mamlaka ya Rasilimali…
Mamlaka ya gereza nchini Guinea imetangaza kifo cha Aboubacar Diakité, anayejulikana kama Toumba, msaidizi wa zamani wa kambi ya Kapteni Moussa Dadis Camara. Alifariki usiku wa Jumanne, Machi 24, kuamkia…
Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa umetangaza siku ya Jumatano, Machi 25, biashara ya utumwa wa Waafrika kama uhalifu mbaya zaidi dhidi ya ubinadamu, vita vinavyoongozwa na Ghana, ambayo inatumaini…
Katika miongo kadhaa ya makabiliano kati ya Israel na Hezbollah, Israel imewahi kufanya operesheni kubwa za kijeshi ndani ya Lebanon kwa angalau mara sita.
Sera mpya iliyopanuliwa na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, huenda ikawafanya wasafiri kutoka nchi tano za Afrika zilizofuzu Kombe la Dunia la mwaka huu kuweka dhamana ya hadi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asema "hawana nia ya kufanya mazungumzo kwa sasa", huku Marekani ikisisitiza kuwa malengo yake ya vita yamekaribia kufikiwa.
Ripoti ya Umoja wa mataifa inasema familia nyingi zilizokimbia makazi yao kwenye majimbo matatu ya Kordofan nchini Sudan hazijapokea msaada wowote wa kibinadamu katika miezi mitatu iliyopita. Imechapishwa: 26/03/2026 –…
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
Al-Ittihad wamefufua upya juhudi zao za kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, mshambuliaji wa Everton Iliman Ndiaye yuko miongoni mwa wanaotazamwa na Manchester United, na Barcelona wanapanga kumsajili beki wa…