Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Mainoo, Micky van de Ven, Jesus, Trossard,
Real Madrid ina nia ya kumsajili beki wa Tottenham Micky van de Ven, 24, lakini Spurs watafikiria kumuuza beki huyo wa Uholanzi kwa takriban £70m. (Fichajes – kwa Kihispania,) Kiungo…