Kenya kujadili suala la Wakenya kadhaa walioajiriwa kwa nguvu katika jeshi la Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi ametangaza siku ya Jumanne, Februari 10, kwamba atasafiri kwenda Moscow mwezi Machi kujadili suala la Wakenya kadhaa walioajiriwa kwa nguvu katika…