Maelfu waandamana Venezuela wakitaka kurejeshwa kwa Maduro
Maelfu ya wafuasi wanayoiunga mkono serikali ya Venezuela wameandamana katikati mwa mji mkuu Caracas wakitaka kurejeshwa rais aliyeondolewa madarakani Nicolás Maduro na mke wake Cilia Flores.