Poland yatangaza utayari kupokea wanajeshi wa Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland, Radosław Sikorski, amesema Warsaw iko tayari kwa uwezekano wa kupokea wanajeshi wa Ujerumani nchini Poland kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha usitishaji wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland, Radosław Sikorski, amesema Warsaw iko tayari kwa uwezekano wa kupokea wanajeshi wa Ujerumani nchini Poland kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha usitishaji wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump, amechukua hatua kubwa katika sera ya kimataifa kwa kuamuru Marekani ijiondoe kwenye mashirika 66 ya kimataifa+++Zimesalia siku sita kwa uchaguzi mkuu kufanyika Uganda
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano.
Hakan Fidan ameeleza kuwa Uturuki "itachukua jukumu la kuimarisha ulinzi wa eneo la baharini pale amani itakapopatikana".
Iran inazidi kukabiliwa na shinikizo la kimataifa huku maandamano yakiongezeka. Kauli kali za Trump zatishia nguvu za kijeshi na kuongeza mvutano.
Waendesha mashtaka wanasema Abubakar Malami alitakatisha fedha za umma kati ya 2015 na 2023 kupitia washirika wake.
Hifadhi ya Taifa ya Virunga imetangaza kwamba Sokwe wa milimani anayeitwa Mafuko amezaa mapacha wawili wa kiume katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, eneo ambalo limekumbwa…
Papa Leo anaongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la maaskofu tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo mwaka jana kufuatia kifo cha mtangulizi wake Papa Francis
Mataifa ya Umoja wa Ulaya yamekuwa yakihangaika kuisadia Ukraine kusimama imara dhidi ya Urusi,huku juhudi za kusaka usitishaji vita zikikabiliwa na vigingi
Denmark na Greenland zazidi kuingiwa na wasiwasi baada ya rais Trump kurudia tena kauli yake ya kutaka kuichukuwa Greenland akidai ni kwa faida za kiusalama
Mashambulizi ya Saudi ni baada ya Kiongozi wa baraza la mpito kukataa kushiriki mazungumzo ya nchini Saudi Arabia na hivyo kufukuzwa kwenye wadhifa wake na kukabiliwa na tuhuma za uhaini
Umoja wa Mataifa umesema kuwa miongo kadhaa ya vitendo vya ubaguzi dhidi ya Wapalestina vinavyofanywa na Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, vinazidi kuongezeka.
Serikali ya Burkina Faso imejieleza kuhusu jaribio la mapinduzi la hivi karibuni, ambalo lilishindwa Jumamosi, Januari 3. Katika mahojiano yaliyorushwa kwenye televisheni ya umma, Waziri wa Usalama ameeleza kwamba wahusika…
Cyprus, Ugiriki na Israel zinatarajia kutanua luteka na mafunzo ya pamoja ya kijeshi. Hata hivyo, Uturuki inaonekana kuwa na wasiwasi zaidi kutokana na nchi mbili wanachana wa Umoja wa Ulaya…
Bei ya mafuta yashuka kidogo leo Jumatano baada ya Donald Trump kutangaza siku ya Jumanne kwamba Venezuela “itakabidhi” hadi mapipa milioni 50 ya mafuta kwa Marekani. Hii inakuja huku mvutano…
Waziri wa mambo ya nje wa Uchina, Wang Yi, ameanza ziara rasmi barani Afrika ambapo atatembelea nchi kadhaa katika kile ofisi yake imesema ni kumarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaweza kuwa imetolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa njia ya kuhuzunisha, lakini shabiki wake mmoja ameacha hisia ya kudumu kwenye mashindano…
Wataalamu wanaonya kuwa hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela inaweza kufungua njia ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine ambayo yamewahi kuwa katika mvutano na utawala wa…
China imelaani kitendo cha Marekani kumteka nyara rais wa Venezuela kama ukiukaji wa uhuru na sheria za kimataifa. Wachambuzi wanasema kuwa hatua hiyo inaakisi juhudi pana za Marekani za kutaka…
Denmark na Greenland wanatafuta mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, baada ya Marekani kusisitiza kwa mara nyingine nia yake ya kutaka kuidhibiti Greenland — kisiwa…
Maandamano yaliyosababishwa na ugumu wa maisha nchini Iran yanafuatiliwa kwa karibu na jamii ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na viongozi mahasimu wa taifa hilo, Israel na Marekani.
Mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya Saudi Arabia dhidi ya silaha za Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen yameweka wazi tofauti kubwa za sera za kigeni kati ya…
Wang Yi atazitembelea Ethiopia,Somalia,Tanzania na Lesotho, wakati nchi yake ikitafuta kutanuwa zaidi ushawishi wake kwenye bara hilo na hasa kiuchumi
Uganda itafanya uchaguzi mkuu, Januari 15 huku rais wa muda mrefu Yoweri Museveni akiwa tayari kukabiliana na wagombea wengine saba kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Jamhuri ya kiislamu ya Iran imeonya dhidi ya vitisho vya mataifa ya kigeni, ikisema haitokaa kimya kuacha iendelee kuchokozwa,baada ya Israel na Marekani kuunga mkono maandamano ya wananchi Iran
Venezuela imetangaza wiki moja ya kuwaomboleza wanajeshi waliouawa katika shambulio la Marekani. Cuba pia yatangaza siku mbili za kuwaomboleza wanajeshi waliouawa nchini Venezuela.
Makadinali wadaiwa kutaka kupewa fursa ya kuwa sehemu ya maamuzi katika masuala ya kanisa kwenye ngazi ya kimataifa
Timu ya mwisho iliyokuwa ikiwakilisha eneo la la Afrika Mashariki na Kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeyaaga mashindano ya AFCON baada ya kufungwa na Algeria bao 1-0 katika…
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu za mazungumzo.
Rais Donald Trump alimueleze mtangazaji wa kipindi cha MS NOW, Joe Scarborough, kwamba Marekani inapanga “kuchukua mafuta,” kufuatia mashambulizi yaliyofanyika nchini Venezuela na kukamatwa kwa Nicolás Maduro.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedokeza kuwa anazifikiria nchi nyingine baada ya kumteka Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro.
Marekani imeongeza mara tatu idadi ya nchi zinazotakiwa raia wake kulipa dhamana ya hadi $15,000 ili kutuma maombi ya visa.
Wale waliokuwa na matumaini kwamba mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Maria Corina Machado, angeiongoza Venezuela walikatishwa tamaa: Marekani na Donald Trump wanaendelea na aliyekuwa makamu wa rais, Rodríguez.
Angalau watu wanne wameuawa leo Jumatano, Januari 7, kusini magharibi mwa Yemen, kulingana na vyanzo vya hospitali. Zaidi ya mashambulizi 15 ya anga ya Saudi Arabia yamelenga jimbo la kiongozi…
Tangu mashambulizi ya Marekani usiku wa Ijumaa, Januari 2 kuamkia Jumamosi, Januari 3, na kutekwa nyara kwa Nicolas Maduro, mvutano umekuwa ukiongezeka nchini Venezuela, hasa kutokana na kupelekwa kwa makundi…
Greenland na Denmark zimeomba mkutano wa dharura na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ili kujadili kauli za hivi karibuni za Donald Trump kuhusu nia yake ya…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Wizara ya madini imefuta kwa muda, marufuku iliyokuwa inatekelezwa baada ya kusitishwa kwa shughuli za usafishaji wa madini ya Shaba na Cobalt huko Kolwezi.Kabla…
Afrika Kusini, ambayo tayari ina uhusiano mbaya na Washington, ni miongoni mwa sauti zilizojitokeza kulaani vikali operesheni haramu ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela. Wakati Rais Maduro na mkewe, waliotekwa…
Nchini Guinea, ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma imetangaza siku ya Jumanne jioni, Januari 6, 2026, kifo cha Kanali Claude Pivi, aliyekuwa msaidizi na mshirika wa karibu wa Kapteni Moussa…
Chama cha TPLF kwenye eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia, kimeituhumu serikali kuu kwa kujaribu kuficha kile imesema muendelezo wa mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu, huku pia kikidai…
Mauritius inakabiliwa na uchunguzi wa kimataifa kuhusu fedha zinazohusishwa na rais wa Venezuela anayeshikiliwa na Marekani, Nicolas Maduro. Imechapishwa: 07/01/2026 – 05:59Imehaririwa: 07/01/2026 – 06:02 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Shirikisho la vyombo vya habari vya kimataifa limeikosoa serikali ya Israel kwa kuendelea kutekeleza makataa ya kivizuia vyombo vya Habari kufika kwenye eneo la Gaza, shirikisho hilo likiitaja hatua hiyo…
Mamlaka ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (ANE) imetangaza ushindi wa rais Touadéra katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais uliofanyika Desemba 28. Wapinzani wanasema watakata rufaa.…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Sa’ar amekamilisha ziara yake ya kwanza rasmi ya kidiplomasia huko Hargeisa, mji mkuu wa Somaliland, siku ya Jumanne, akiashiria hatua muhimu ya…
Shirika la Wananchi la Amani na Uwiano wa Jamii (CPCC), limesema hivi majuzi kwamba takriban raia 105 kutoka DRC wamefariki dunia katika kipindi cha wiki mbili zilizopita wakiwa kambini huko…
Hatua ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar kuzuru jimbo la Somaliland siku 10 baada ya kulitambua jimbo hilo kama nchi huru, imeshtumiwa vikali na Somalia ambayo…
Rais Donald Trump, anathmini njia za namna Marekani inavyoweza kuchukua na kudhibiti kisiwa cha Greenland, kinachomilikiwa na Denmark. Imechapishwa: 07/01/2026 – 04:46Imehaririwa: 07/01/2026 – 05:24 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na kidiplomasia.
Waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar ameahidi kwamba nchi yake itakuza uhusiano wenye mafanikio na Somaliland baada ya kuwa nchi ya kwanza kutambua uhuru wa eneo hilo…
Serikali ya Somalia imekasirishwa na ziara ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar, ikiitaja ziara hiyo kama "uvamizi haramu" na "usioidinishwa."