Tanzania yapiga marufuku wageni kutoa baadhi ya huduma katika sekta ya madini, kulinda wazawa
Lengo ni kupanua wigo wa ushiriki wa wazawa na kuongeza manufaa ya moja kwa moja kwa taifa.
Lengo ni kupanua wigo wa ushiriki wa wazawa na kuongeza manufaa ya moja kwa moja kwa taifa.
Uchaguzi wa Disemba 28 ulifanyika chini ya katiba mpya ambayo iliruhusu viongozi wa jeshi kugombea na kuongeza muda wa utawala wa rais kutoka miaka mitano hadi miaka saba.
Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito.
Mamlaka ya Sudan kwa muda mrefu imekuwa ikiilaumu RSF kwa kufanya mashambulizi kwa kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya miundombinu ya wananchi.
Ameonekana kwa muda mrefu kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, Flores pia amekabiliwa na tuhuma za ufisadi na upendeleo wa kifamilia.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema operesheni ya kijeshi nchini Colombia “inaonekana kuwa wazo zuri,” akidai kuwa nchi hiyo inaendeshwa na “mtu mgonjwa.”
Rais Tinubu pia aliagiza uokozi wa haraka wa wote waliotekwa wakati wa shambulio hilo na kuagiza mashirika ya usalama kuimarisha ulinzi katika maeneo yanayokabiliwa na hatari.
Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake inaandaa sheria mpya itakayotoa adhabu ya kifo kwa makosa yanayohusiana na biashara ya dawa za kulevya.
Rais wa Marekani Donald Trump amesifia operesheni ya nchi yake ya kumteka Rais wa venezuela na mkewe, lakini hatua hii imepokelewa kwa shutuma na tahadhari kutoka jamii ya kimataifa kama…
Delcy Rodríguez, mshirika wa karibu wa kiongozi wa Venezuela aliyekamatwa, Nicolás Maduro, ameteuliwa kuwa rais wa mpito.
Nchini Sudan, madaktari wanaonya kuhusu janga la kibinadamu linalokaribia Kordofan Kusini,eneo lililozingirwa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), haswa katika mji wa Dilling, ambao umekumbwa na mashambulizi makali na…
Mamlaka za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, zinadai kuwa na ushahidi mpya unaothibitisha uwepo wa jeshi la Rwanda mashariki mwa nchi, hasa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini,…
Nini kilitokea usiku wa Jumamosi, Januari 3, kuamkia Jumapili, Januari 4, 2026, nchini Burkina Faso? Wafuasi wa utawala wa kijeshi wanabaini kwamba jaribio la mapinduzi lilishindwa. Hata hivyo, katika hatua…
Mahakama ya Juu nchini Guinea imeeidhinisha siku ya Jumapili jioni, Januari 5, ushindi wa Mamadi Doumbouya katika uchaguzi wa urais wa Desemba 28, kwa asilimia 86.72 ya kura. Jenerali Doumbouya…
Watu 114 wameuwa nchini Sudan, baada ya kushuhudiwa kwa makabiliano makali kati ya wanajeshi wa wanamgambo wa RSF, Magharibi mwa jimbo la Darfur kwa kipindi cha wiki moja iliyopita. Imechapishwa:…
Aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro aliyekamatwa pamoja mkewe Cilia Flores wakati wa operesheni maalum iliyotekelezwa na vikosi vya Marekani anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku ya Jumatatu, jijini New York, anakokabiliwa…
Trump anaonekana kuamini kwamba yeye ndiye anayetunga sheria, na wengine hawawezi kuwa na haki au upendeleo kama wake
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar umetangaza leo Jumapili, Januari 4, kwamba utawaachilia huru zaidi ya wafungwa 6,000 kama sehemu ya msamaha wa kila mwaka kwa kuadhimisha sikukuu ya kitaifa. Imechapishwa:…
Washauri wa masuala ya usalama kutoka nchi kumi na tano zinazoshirikiana na Ukraine wamekutana Kyiv siku ya Jumamosi, Januari 3, ili kukamilisha makubaliano ya mfumo unaolenga kukomesha vita na Urusi.…
Marekani imemteka nyara Rais wa Venezuela Nicolas Maduro siku ya Jumamosi, Januari 3, ikimtuhumu kwa miezi kadhaa ya kung’ang’ania madaraka kinyume cha sheria na kuwezesha biashara ya dawa za kulevya.…
Nchini Sudan Kusini, Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) lilitangaza wiki hii kuhamisha sehemu ya timu zake kutoka mji wa Lankien, katika Jimbo la Jonglei, kutokana…
Hisia zimekuwa nyingi tangu operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyosababisha mashambulizi dhidi ya Caracas na kutekwa nyara kwa Nicolas Maduro na mkewe. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres…
Hali bado ni tete katika maeneo kadhaa yaliyoko kilomita zaidi ya ishirini kusini mwa jiji la Uvira katika mkoa w Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).…
Chumba cha Katiba cha Mahakama Kuu ya Venezuela kimemuagiza Makamu wa Rais Delcy Rodriguez siku ya Jumamosi kuchukua majukumu ya rais wa mpito kutokana na kukosekana kwa Nicolas Maduro, ambaye…
Nchini Venezuela, usiku wa Januari 2 kuamkia Januari 3, vikosi vya Marekani vilimteka Rais Nicolas Maduro katika shambulio kubwa lililoitwa “Absolute Resolve,” lililofanywa kwa chini ya saa tano. Uingiliaji huu…
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, watu 15 wameuawa baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF wanaohusishwana kundi la Islamic State. Imechapishwa: 03/01/2026 – 16:57 Dakika 1 Wakati wa…
Wanajeshi wanaoungwa mkono na Saudi Arabia, siku ya Jumamosi, Januari 3, 2026, wamesonga mbele, kulingana na maafisa wa kijeshi, katika jimbo lenye utajiri wa rasilimali la Hadramaut kusini mwa Yemen.…
Nchini Iran, maandamano mapya yamefanyika siku ya Ijumaa, Januari 2, huko Tehran na miji ya majimbo, huku waandamanaji wakiimba nyimbo zinazoipinga serikali. Askari wa vikosi vya usalama aliuawa “kwa kisu…
Umoja wa Ulaya unasimama na raia wa Venezuela na unaunga mkono mpito wa amani na kidemokrasia nchini, amesema Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen siku ya Jumamosi,…
Milipuko ilisikika katika mji mkuu wa Caracas wakati Rais Nicolas Maduro alipokamatwa na jeshi la Marekani
Historia ya kisiasa ya Marekani imejaa visa vingi vya kuvamia nchi za kigeni ili kukamata viongozi. Tukio la sasa la kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, linadhihirisha mtindo huu.
Venezuela imelaani “uchokozi mkubwa wa kijeshi” leo Jumamosi baada ya milipuko kutikisa mji mkuu wa nchi hiyo usiku kucha, na Rais Nicolas Maduro kutangaza hali ya hatari. Imechapishwa: 03/01/2026 –…
Wiki za mwisho za mwaka 2025 ziliangaziwa na mvutano mpya kati ya Misri na Marshal Khalifa Haftar, mbabe wa zamani wa kivita mashariki mwa Libya, ambaye anadhibiti eneo hilo na…
Mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangaza operesheni kubwa ya usalama iliyofanywa wakati wa sherehe za mwisho wa mwaka huko Kinshasa ili kupambana na ukosefu wa usalama mijini.…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, siku ya Ijumaa, Januari 2, ameitaka Israel ibadilishe uamuzi wake wa kupiga marufuku mashirika mengi ya kimataifa ya kibinadamu kuingia Ukanda wa…
Milipuko mikubwa iliyoambatana na sauti zinazofanana na ndege zinazoruka juu ya ardhi imesikika yapata saa 2:00 asubuhi (7:00 asubuhi saa za Ufaransa) leo Jumamosi huko Caracas, mwandishi wa habari wa…
Karibu wiki moja baada ya uchaguzi mkuu wa Desemba 28, 2025, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,, kiongozi wa upinzani Anicet-Georges Dologuélé analaani kile anachokiita udanganyifu mkubwa, unaopangwa na serikali…
Nchini Sudan, mapigano makali yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika majimbo matatu ya Kordofan: Kordofan Kaskazini,…
Aliyekuwa rais wa Madagascar aliyeondolewa mamlakani, Andry Rajoelina, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu alipopinduliwa kama rais wa Madagascar katikati ya mwezi Oktoba. “Kutokana na vitisho, mivutano, na mgawanyiko, ni…
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wakati matokeo ya sehemu ya uchaguzi mkuu wa Desemba 28, 2025 yakianza kutangazwa, mapigano yamezuka kusini mashariki mwa nchi kati ya wanamgambo wa AAKG…
Nigeria imeanza kutekeleza mfumo mpya wa kukusanya kodi, ambao serikali inasema, itaongeza kiwango cha kodi na kupunguza ugumu wa kiuchumi kwa raia wa kawaida, hasa wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo.…
Visa vya unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto viliongezeka kwa kiasi kikubwa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 2025, kwa mujibu wa ripoti inayoshughulikia masuala ya watoto UNICEF. Imechapishwa:…
Mwaka huu Kenya ilimpoteza mmoja wa watu wake mashuhuri kwa jina la Raila Amolo Odinga, mmoja wa wanasiasa waliodumu nchini humo, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwenye mtandao wake wa Truth Social siku ya Ijumaa kwamba “ikiwa Iran itawapiga risasi waandamanaji wa amani na kuwaua kwa nkiholela, kama ilivyo kawaida…
Nchini Madagascar, wagonjwa watano wa Mpox, pia unaojulikana kama virusi vya homa ya nyani, wamethibitishwa na Wizara ya Afya ya Umma. Wagonjwa kumi na mmoja wanaoshukiwa kuambukizwa virusi hivyo pia…
Kinyozi mmoja nchini Kenya anaefahamika kwenye mitandao kama Chief Safro, ameendelea kujizolea umaarufu ndani na nje kwa kutumia zana za jadi kama beleshi na tindo kunyoa nywele, mtindo ambao umemsaidia…
Nchini Gambia, angalau wahamiaji saba wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti yao kuzama usiku wa Desemba 31, walipokuwa wakijaribu kuingia Ulaya kupitia njia ya baharini ya Atlantiki,…
Mvutano wa kidiplomasia katika Pembe ya Afrika unaendelea kufuatia tangazo la Israel la kuitambua uhuru wa Somaliland, eneo linalotaka kujitenga kaskazini mwa Somalia. Rais wa Somalia anaishutumu serikali ya Israel…
Nchini Gabon, Rais Brice Clotaire Oligui Nguema amesaini agizo tatu za kiraisi siku ya Alhamisi, Januari 1. La kwanza linamteua Hugues Alexandre Barro Chambrier kama Makamu wa Rais wa Jamhuri.…
Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini, unatarajiwa kuwa mgumu mwaka wa 2026. Sababu: Kurudi kwa Donald Trump katika Ikulu ya White House na kuthibitishwa, mnamo Desemba 19…