China yaanza mazoezi ya kijeshi kuizunguka Taiwan
China imeanza mazoezi ya kijeshi ikitumia silaha za moto karibu na Taiwan Jumatatu yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala.
China imeanza mazoezi ya kijeshi ikitumia silaha za moto karibu na Taiwan Jumatatu yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala.
Somalia imekosoa vikali uamuzi wa Israel wa wiki iliyopita wa kuitambua rasmi Somaliland kuwa taifa huru, ikisema hatua hiyo ni tishio kwa mamlaka ya taifa, umoja wa watu wa Somalia,…
Mapigano yameibuka kati ya waandamanaji kutoka madhehebu ya wachache ya Waalawi na wanaopinga maandamano hayo na kusababisha vifo vya karibu watu wanne na wengine kadhaa kujeruhiwa.
China imezindua luteka ya kijeshi karibu na kisiwa cha Taiwan, ikitumia silaha nzito za moto. Beijing imesema hayo ni mazoezi ya kijeshi yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala chenyewe.
Timu tatu tayari zimejikatia tiketi katika hatua ya 16 bora baada ya kushinda mechi zao mbili za mwanzo.
Takriban watu 4 wamepoteza maisha jana Jumapili baada ya kuzuka makabaliano wakati wa maandamano yaliofanywa na jamii ya walio wachache nchini Syria ya Waalawi.
Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania (TMA) imeonya kuwa mvua kubwa zitanyesha katika mikoa ya 20 ya nchini humo.
Abdel Fattah al-Burhan alisema kwamba wale ambao waliitaka serikali kusalimu amri wanapaswa badala yake kuwashauri wapiganaji wa wanamgambo kujisalimisha.
Eritrea imetaka kutolewa kwa tamko kutoka kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kutambuliwa kwa Somaliland na Israel, ikionya kwamba hatua hiyo inaweza kuchochea ukosefu wa usalama…
Gabon imechujwa nje Afrika 2025 baada ya kichapo cha 3-2 kutoka kwa Msumbiji katika mpambano wao wa Kundi F mjini Agadir, ambao ulijibu subira yao ya takriban miaka 40 ya…
Uingereza imeweka vizuizi vya viza kwa raia wa DR Congo kutokana na "ushirikiano duni" wa nchi hiyo kuwarudisha wahamiaji haramu, serikali ya Uingereza ilisema.
Watu sita, akiwemo msichana wa miaka miwili, wameuawa siku ya Jumapili, Desemba 28, karibu na ufuo wa watalii kusini-magharibi mwa Ecuador wakati wa shambulio la bunduki ambalo pia lilisababisha watu…
China imetangaza leo Jumatatu, Desemba 29, mazoezi makubwa ya kijeshi kuzunguka Taiwan, ikiwa ni pamoja na mazoezi ya kurusha makomora na risasi za moto yaliyopangwa kufanyika Desemba 30 katika maeneo…
Treni iliyokuwa imebeba watu 250 imeanguka Jumapili, Desemba 28, katika jimbo la Oaxaca kusini mwa Mexico, na kusababisha vifo vya angalau watu 13 na 98 kujeruhiwa, kulingana na mamlaka. Imechapishwa:…
Machafuko kwenye maeneo ya magharibi na kusini mwa Sudan yamesababisha watu zaidi ya elfu 10 kukimbia makazi yao katika muda wa siku tatu ndani ya wiki moja, hii ni kwa…
Mataifa hayo ambayo yana jumla ya mataji manane ya Kombe la Afcon kati yao sasa yanashikilia pamoja uongozi wa Kundi F wakiwa na pointi nne kila mmoja, wakifuatiwa na Msumbiji…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron metangaza leo Jumatatu, Desemba 29, mkutano wa washirika wa Kyiv huko Paris mapema mwezi Januari kujadili dhamana za usalama kwa Ukraine ndani ya mfumo wa…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumapili, Desemba 28, kwamba alikuwa “karibu sana” na makubaliano kuhusu mpango wa amani kwa Ukraine kufuatia mkutano na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr…
Mgombea wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, NUP, Robert Kyagulani maarufu kama Bobi Wine, sasa anamtaka mgombea wa NRM, rais Yoweri Museveni, kuwataka wafuasi wake kulinda kura zake, badala…
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Ukraine na Urusi ziko karibu kufikia makubaliano ya amani. Aliyasema hayo alipomkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kwenye makazi yake ya Florida.
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Côte d’Ivoire imechapisha matokeo makuu ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27. Uchaguzi huo ulioshuhudia uwepo mkubwa wa wagombea huru, mashindano kati ya chama tawala…
Kura zinaendelea kuhesabiwa nchini Guinea, kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika hapo jana, uchaguzi ambao kiongozi wa kijeshi, Mamady Doumbouya anatarajiwa kushinda. Imechapishwa: 29/12/2025 – 05:08 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Ukraine na Urusi ziko karibu kufikia makubaliano ya amani. Aliyasema hayo alipomkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kwenye makazi yake ya Florida.
Raia wa Guinea walipiga kura Jumapili katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kumpa ushindi mtawala wa kijeshi Mamady Doumbouya wa kuongoza kwa muhula wa miaka saba.
Bunge la Serikali kuu ya Somalia limepitisha azimio linalodai kwamba utambulisho wowote wa Somaliland na Israel au nchi nyingine yoyote ni kinyume cha sheria, batili, na bila athari ya kisheria…
Marekani na China zimewapongeza viongozi wa Thailand na Cambodia baada ya duru ya pili ya makubaliano kufikiwa ili kumaliza miezi kadhaa ya makabiliano ya mpakani ambayo yamewauwa watu kadhaa.
Algeria imekuwa nchi ya tatu baada ya Misri na Nigeria kutinga hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025. Iliifunga Burkina Faso bao moja kwa sifuri…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban watu 4 wamepoteza maisha jana Jumapili baada ya kuzuka makabaliano wakati wa maandamano yaliofanywa na jamii ya walio wachache nchini Syria ya Waalawi /…
Rais Trump asema Ukraine na Urusi zinakaribia kufikia makubaliano ya amani // Mtawala wa kijeshi nchini Guinea Mamady Doumbouya atarajiwa kushinda uchaguzi wa rais // Na Algeria yatinga hatua ya…
Rasimu ya mpango wa amani wenye vipengele 20 inatarajiwa kuwa kitovu cha mazungumzo kati ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy na mwenzake wa Marekani Donald Trump.
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema hatua ya Israel kulitambua jimbo lililojitenga la Somaliland kama taifa huru ni tishio kwa usalama na uthabiti wa dunia.
Wapiga kura nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wamejitokeza kumchagua rais mpya, wabunge na serikali za mitaa huku rais wa sasa, Faustin-Archange Touadéra, akitarajiwa kuibuka mshindi kwa muhula wa tatu.
Ghasia zimezuka nchini Syria kati ya wafuasi na wapinzani wa serikali ya Syria, na kusababisha majeruhi kadhaa katika mfululizo wa machafuko unaoendelea tangu kuondolewa madarakani kwa Bashar al‑Assad mwaka jana.
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea kutimua vumbi, Msumbiji imeicharaza Gabon mabao 3-2 katika mechi za Kundi F ndani ya Uwanja wa Adrar.
Mamia ya watu Jumapili waliomboleza mkuu wa jeshi la Libya na wengine saba waliouawa katika ajali ya ndege huko Uturuki.
Uingereza imetangaza masharti magumu ya visa kwa raia wa DRC baada ya kushindwa kwa mazungumzo na Kinshasa kuhusu kurejea kwa wahamiaji haramu na raia waliohukumiwa. Imechapishwa: 28/12/2025 – 14:57 Dakika…
Vikosi vya usalama vya Syria vimewaua watu wawili leo Jumapili, Desemba 28, huku vikitawanya maandamano ya Alawite katika eneo la pwani, kulingana na Shirika la Haki za Binadamu nchini Syria…
Israel kuitambuwa Somaliland, ambayo “inahimiza” harakati za kujitenga duniani kote, ni “tishio” kwa usalama na utulivu wa Pembe ya Afrika, Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ametangaza mnamo Desemba 28,…
Rais wa zamani wa Baraza la Seneti Richard nchini Madagascar, Ravalomanana anakabiliwa na utaratibu kisheria. Kiongozi huyu maarufu wa utawala wa Rajoelina, aliyetukanwa na waandamanaji wakati wa maandamano ya hivi…
Umoja wa Ulaya umesisitiza kuwa mamlaka ya Somalia inapaswa kuheshimiwa baada ya Israel kulitambua rasmi eneo lake la kaskazini la Somaliland kuwa taifa huru.
Wapiga kura nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameanza kupiga kura mnamo Desemba 28, 2025, katika uchaguzi wa urais ambapo Rais aliye madarakani Faustin-Archange Touadéra anawania muhula wa tatu mfululizo.…
Vyama vya siasa vimesitishwa, vyombo vya habari vimefungwa, maandamano yalipigwa marufuku mwaka wa 2022, na viongozi wa upinzani na wanaharakati wa mashirika ya kiraia kukamatwa au kutoweka, muktadha wa uchaguzi…
Wapiga kura milioni 6.7 wa Guinea wanapiga Jumapili hii, Desemba 28, kwa ajili ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais. Uchaguzi huu, ambao utaashiria kurudi kwa utaratibu wa kikatiba…
Recep Tayyip Erdogan anasema juhudi za ujenzi mpya zimevuka malengo, na kuzitaja kuwa miongoni mwa ahueni kubwa zaidi katika historia ya nchi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Ukraine haina haraka ya kutafuta amani, na kwamba ikiwa haitaki kumaliza mzozo wao kwa njia ya amani, Moscow itatimiza malengo yake yote kwa kutumia…
Baraza la Usalama linatarajiwa kukutana kwa kikao cha dharura kuhusiana na uamuzi tata wa Israel kulitambua jimbo la Somaliland kuwa taifa huru, uamuzi ambao umezusha ukosoaji mkubwa wa kikanda na…
Wapiga kura wamejitokeza katika awamu ya kwanza ya uchaguzi mkuu Myanmar, wa kwanza kufanyika baada ya miaka mitano chini ya usimamizi wa serikali ya kijeshi huku vita vya wenyewe kwa…
Jamhuri ya Afrika ya Kati yashiriki uchaguzi wa rais, huku rais aliye madarakani, Faustin-Archange Touadéra, akitarajiwa kushinda muhula mwingine katika nchi hiyo iliyoathiriwa na migogoro.
Matumaini ya Uganda kufuzu kwa hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika yamefifia baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania, katika mchezo uliochezwa Rabat.
Mikataba hiyo inaashiria mabadiliko makubwa ya kwanza chini ya mageuzi yaliyotangazwa mwezi uliopita, ambayo yanalenga kufanya hadhi ya ukimbizi kuwa ya muda.