AFCON 2025: Nigeria yapata ushindi huku Senegal ikiambulia sare
Nigeria imeshinda Tunisia kwa 3-2 na kujipatia nafasi katika raundi ya 16.
Nigeria imeshinda Tunisia kwa 3-2 na kujipatia nafasi katika raundi ya 16.
Madaktari wa Sudan wanasema kuwa walionusurika waliripoti mauaji ya watu wengi Kaskazini na Magharibi mwa Darfur kufuatia mashambulizi ya Wanajeshi wa Rapid Support Forces.
Msikiti huo utahudumia jamii inayouzunguka, pamoja na wanafunzi wa Shule ya Upili ya SENA, ambayo inatazamiwa kuanza kutoa mafunzo kwa wanafunzi Februari mwaka ujao.
Hatimaye Benin inasherehekea ushindi katika shindano la bara katika jaribio la 16 kufuatia mechi yao ya kwanza mwaka wa 2004.
Ivory Coast imefanya uchaguzi wa wabunge, miezi miwili baada ya Alassane Ouattara mwenye umri wa miaka 83 kushinda uchaguzi wa urais na kuongeza muda wa utawala wake hadi miaka 14.
Mamlaka za Italia zimewakamata watu tisa wanaohusishwa na mashirika matatu ya misaada kwa tuhuma za kukusanya mamilioni ya euro ili kulifadhili kundi la wanamgambo wa Kipalestina, Hamas.
Mkuu wa Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amesema anatumai kwamba makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Thailand na Cambodia hatimaye yataleta amani na kuimarisha…
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea kurindima nchini Morocco, huku kila timu ikiendelea kujipambanua kutafuta tiketi ya raundi ya mtoano.
China imetangaza vikwazo siku ya Ijumaa, Desemba 26, dhidi ya kampuni 20 ya Marekani katika sekta ya ulinzi, ikiwa ni pamoja na kituo cha Boeing. Beijing inalipiza kisasi dhidi ya…
Makundi ya jihadi yaliyolengwa na mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Nigeria siku ya Alhamisi hayakujulikana siku ya Jumamosi, huku Washington na Abuja zikitoa maelezo tofauti kidogo kuhusu matukio hayo.…
Chad imelaani shambulio la Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa mpakani kati ya nchi hizo mbili, ambalo limesababisha vifo vya wanajeshi wawili wa Chad. Imechapishwa: 27/12/2025 –…
Kitengo cha Sudan cha Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kimetangaza siku ya Ijumaa, Desemba 26, 2025, kwamba kilizuru mji wa El-Fasher, ambao ulitekwa Oktoba…
Mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umelengwa na shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi na kombora lililomuua mtu mmoja usiku wa Ijumaa, Desemba 26 kuamkia Jumamosi, Desemba 27. Wimbi…
Mpango mpya wa kitaifa wa AFAD na Save the Children Uturuki unalenga kuwasaidia watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 8 kuelewa hatari za hali ya hewa na majanga kupitia…
Viongozi wa kanda wanasema utambuzi wowote wa eneo la nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa unakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa, kanuni ya AU ya umoja wa eneo na kanuni…
Misri wana alama sita na wamehakikishiwa kumaliza katika nafasi mbili za juu na kutinga katika hatua ya 16 bora.
Mbunge wa jimbo anakielezea kijiji cha Jabo kama 'jamii yenye amani' isiyo na 'historia inayojulikana ya Daesh, Lakurawa, au vikundi vingine vya kigaidi vinavyoendesha shughuli zao katika eneo hilo.'
Uturuki ilifanya maombi na dakika ya kimya mjini Ankara kwa ajili ya maafisa wa kijeshi wa Libya waliouawa katika ajali ya ndege ya kusikitisha.
Israel imetangaza kuitambua Somaliland kama taifa huru, na kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya hivyo.
Thailand na Cambodia zimekubaliana leo Jumamosi, Desemba 27, “kusitisha mapigano mara moja” katika mzozo wao wa mpaka, kulingana na taarifa iliyosainiwa na miji mikuu hii miwili na kupatikana na shirika…
Wataalamu wanasema tangazo la Israel linaashiria mipango ya "kupanua" uhusiano mara moja, na kupendekeza maslahi ya kimkakati katika rasilimali za Somaliland na uwezekano wa uhamisho wa Wapalestina.
Mtu mmoja ameuwawa na wengine zaidi ya ishirini wamejeruhiwa baada ya shambulio la droni na makombora ya Urusi kuulenga mji wa Kyiv na kuharibu miundombinu ya usambazaji umeme.
Siku ya Jumapili, Desemba 28, raia milioni 6.7 wa Guinea wameitwa kupiga kura kwa ajili ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais. Uchaguzi huu unaashiria hatua ya mwisho ya…
Saudi Arabia imeonya kuwa iko tayari kuingilia kijeshi na kuiunga mkono serikali ya Yemen endapo mapigano na vikosi vya waasi wanaotaka kujitenga yataendelea.
Israel imekuwa nchi ya kwanza duniani kulitambua eneo la Afrika Mashariki la Somaliland kama taifa huru na kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya hivyo.
Thailand na Cambodia zimesaini makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya wiki kadhaa za vita mpakani kutokana na mgogoro wa maeneo.
Zaidi ya miezi miwili baada ya uchaguzi wa rais, raia wa Côte d’Ivoire wameitwa kupiga kura leo Jumamosi, Desemba 27, kuwachagua wabunge 255 wa Bunge la taifa. Zaidi ya wagombea…
Timu ya taifa ya Morocco italazimika kusubiri hadi michezo ya mwisho ya Kundi A ili kujua kama itafuzu hatua ya mchujo ya AFCON, baada ya kutoka sare ya 1–1 dhidi…
Mvutano umeendelea kutanda na kuwa mkubwa siku ya Ijumaa, Desemba 26, huko Uvira, katika mkoa wa Kivu Kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Wakati wapiganaji wa AFC/M23…
Israel imetangaza siku ya Ijumaa, Desemba 26, kuitambua Somaliland, jamhuri iliyojitangaza kujitawala. Hadi sasa, jamhuri hii, ambayo ilijitenga na Somalia karibu miaka 35 iliyopita, haijawahi kutambuliwa kama taifa. Imechapishwa: 27/12/2025…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetoa tamko kali kulaani jaribio lolote la kudhoofisha uhalali, usalama na umoja wa Somalia
Uturuki imelaani vikali utambuzi wa Israel wa Somaliland kama taifa huru.
Jumuiya ya Afrika nzima inaonya hatua yoyote ya kutambua eneo lililojitenga la Somalia kuwa hatari ya kudhoofisha uhuru, na kuweka 'mfano hatari' katika bara zima.
Serikali ya kitaifa ya Somalia yathibitisha umoja wa kitaifa, na kuwataka wahusika wa kimataifa kuheshimu uadilifu wa eneo, inasema ofisi ya waziri mkuu
Hatua ya Israel ni kile ambacho Uturuki inaona kuwa sehemu ya sera zake za kukalia maeneo na kuzuia juhudi za kutambuliwa kimataifa kwa Taifa la Palestina, Msemaji wa Wizara ya…
Vikosi hivyo vinashtumu kundi hilo la wapiganaji wa RSF kwa kuchoma moto vijiji, kupora mali
Balozi Fathudin Ali Ospite anasema msaada wa Uturuki ulichangia “pakubwa” kuhakikisha mji mkuu Mogadishu uko salama, na kufanikisha upigaji kura.
Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Syria (SANA), mlipuko uliotokea ndani ya msikiti uliua watu sita na kujeruhi wengine 21. Iliongeza kuwa uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atakutana hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani, kama sehemu ya juhudi za kumaliza uvamizi wa Urusi.
Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, ameonesha kutoamini kuwa Umoja wa Ulaya unahitaji kujitenga kabisa na Marekani katika masuala ya ulinzi, licha ya mwelekeo wa sasa wa utawala wa Rais…
Waasi wa AFC/M23 wamejiondoa siku ya Alhamisi, Desemba 25, kutoka mji wa Makobola, ulioko kwenye mpaka kati ya maeneo ya Uvira na Fizi (Kivu Kusini). Eneo hili lilidhibitiwa na waasi…
Hospitali kubwa ya Gaza imesitisha huduma kadhaa kutokana na uhaba mkubwa wa mafuta katika eneo la Palestina lililoharibiwa, ambalo linaendelea kukabiliwa na mgogoro mkali wa kibinadamu.
Jimbo la Somalia la Banadir, ambalo linajumuisha mji mkuu wa Mogadishu, wakazi wake kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 56 wamepiga kura katika uchaguzi.
Mkuu wa idara ya sheria ya mkoa, amesema meli hiyo ilikuwa na takriban lita milioni 4, au mapipa 25,000 ya mafuta yaliyosafirishwa kwa magendo wakati vikosi vya majini vya Walinzi…
Mwanamume wa Kipalestina amewaua watu wawili, mwanamke na mwanamume, kaskazini mwa Israel leo Ijumaa, Desemba 26, kabla ya kujeruhiwa na risasi, idara ya huduma za dharura ya Israel na polisi…
Mnamo Oktoba 26, jiji la Sudan la El-Fasher, mji mkuu wa jimbo la Kaskazini mwa Darfur, lilianguka mikononi mwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) baada ya miezi kadhaa ya…
Kwa mujibu wa maafisa, idadi ya abiria iliongezeka kwa asilimia 31 katika miezi 11 ya mwaka 2025 ikilinganishwa na kipindi cha kabla ya njia ya pili ya ndege kuanza kutumika…
Mapigano mapya yamezuka Ijumaa karibu na Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kati ya kundi la M23 na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, kwa mujibu wa vyanzo vya usalama…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imethibitisha kuwa Marekani imefanya ‘mashambulizi ya uhakika dhidi ya maeneo lengwa ya kigaidi nchini Nigeria.