Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: DRC yarejea kama mwanachama asiye wa kudumu
Mwanzoni mwa mwaka 2026, Somalia inachukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Kama ilivyo kawaida, baadhi ya viti visivyo vya kudumu katika chombo hiki cha…