Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, ahukumiwa
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amehukumiwa tena Ijumaa kwa makosa ya ufisadi yanayohusiana na uporaji wa mabilioni ya dola kutoka mfuko wa uwekezaji wa taifa, 1MDB.
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amehukumiwa tena Ijumaa kwa makosa ya ufisadi yanayohusiana na uporaji wa mabilioni ya dola kutoka mfuko wa uwekezaji wa taifa, 1MDB.
Upigaji kura utafanyika katika sehemu mbalimbali kwa awamu tatu, ambapo awamu ya pili itakuwa Januari 11 na ya tatu Januari 25.Wakosoaji wanatia shaka kuhusu uwezekano wa mabadiliko halisi kuelekea utawala…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesema taifa hilo haliitashiriki katika kikosi cha kimataifa cha kuimarisha utulivu ISF kwa ajili ya kutekeleza mpango wa amani wa Gaza…
Rais wa Marekani amesema nchi yake ilifanya mashambulizi mengi yaliyolenga shabaha dhidi ya Daesh nchini Nigeria.
Kongozi wa taifa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ameagiza ‘kuongeza' na kuboresha uzalishaji wa makombora ya nchi hiyo mwaka ujao, pamoja na ujenzi wa viwanda zaidi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka.
Angalau watu 99 waliofungwa baada ya uchaguzi wa urais wa 2024 uliokuwa na utata nchini Venezuela wameachiliwa, mamlaka ya nchi hiyo imetangaza leo Ijumaa. Imechapishwa: 26/12/2025 – 06:56 Dakika 1…
Wakazi wa Mogadishu Kuu wamepiga kura mnamo Desemba 25 katika uchaguzi wao wa kwanza wa serikali za mitaa kwa kupiga kura moja kwa moja tangu miaka 56 iliyopita. Uchaguzi huo…
Kampeni za uchaguzi wa urais uliyopangwa kufanyika siku ya Jumapili, Desemba 28, zimemalizika siku ya Alhamisi jioni, Desemba 25. Siku mbili za kutokuwa na harakati zozote za kisiasa lazima sasa…
Mashariki mwa DRC, hali ya kibinadamu inaendelea kuzorota katika mkoa Kivu Kusini. Wiki mbili baada ya kuanguka kwa mji wa Uvira mikononi mwa waasi wa AFC/M23, mapigano yanaendelea katika maeneo…
Nchini Côte d’Ivoire, wagombea wa uchaguzi wa wabunge wana chini ya saa 24 kuwashawishi wapiga kura waweze kuwapigia kura. Usiku wa kuamkia uchaguzi wa Desemba 27, chama cha Ivory Coast-African…
Watu watano walifariki katika ajali ya helikopta kwenye Mlima Kilimanjaro, mlima mkuwa zaidi barani Afrika, nchini Tanzania, mamlaka zimetangaza. Imechapishwa: 26/12/2025 – 05:39 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Nchini Senegal, boti iliyokuwa imebeba watu 200 kwenda Visiwa vya Canary ilizama usiku wa Desemba 22 kuamkia Desemba 23 kutoka pwani ya Ngazobil, karibu na Joal. Idadi ya muda ya…
Mechi ya awali kabisa hii leo ni kati ya Angola dhidi ya Zimbabwe, timu hizi za kundi zinakutana baada ya kila mmoja kuchapwa katika mechi zao za mzunguko wa kwanza.…
Marekani imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wapiganaji wa Islamic State (ISIS) kaskazini magharibi mwa Nigeria, Rais Donald Trump ametangaza kwenye jukwaa lake la mtandao wa kijamii, Truth Social, siku…
Zelenskyy ameyasema hayo katika chapisho lake kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram akiongeza kwamba wameweka wazi mawazo na mbinu mpya zenye lengo la kusaidia namna ya kupatikana kwa amani na…
Jumla ya watu milioni 6.8 katika taifa hilo la Afrika Magharibi wanatarajiwa kujitokeza siku ya Jumapili majira ya 7:00 asubuhi hadi saa 6:00 jioni kuwapigia kura wagombea tisa wa nafasi…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi makali dhidi ya kundi linalojiita dola la kiislam IS kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump ametishia kwamba watafanya mashambulizi zaidi.
Katika mtandao wa kijamii wa Truth Social, Trump ameandika " "Marekani imeanzisha mashambulizi makali dhidi ya ISIS Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria, ambao wamekuwa wakiwalenga na kuwaua kikatili Wakristo wasio na hatia.
Rais wa Ukraine, Zelensky, asema atakutana na Trump karibuni // Mapigano mapya yamezuka karibu na Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo // Na Uhaba wa mafuta unasababisha hospitali…
Wizara ya mambo ya nje ya Nigeria imethibitisha mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo ya kigaidi // Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim, ameagiza uzalishaji zaidi wa makombora mwaka 2026 //…
Guinea inaelekea kwenye uchaguzi wake wa kwanza wa rais tangu mapinduzi ya kijeshi ya 2021, huku wachambuzi wakitabiri ushindi wa kiongozi wa kijeshi Jenerali Mamadi Doumbouya, licha ya mashaka kuhusu…
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza polisi wa kike aliyekataa rushwa ya dola $50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji fedha katika uwanja wa ndege mji mkuu wa…
Mkuu wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ya Libya na ujumbe wake, walitembelea Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Ankara Alhamisi, huku uchunguzi wa pamoja wa ajali ya Jumanne…
Uturuki pia itaangazia hali ya rubani, ubora wa kiufundi, rekodi za ndege, ikiwemo vipuri.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, katika hotuba yake ya kwanza ya Krismasi maarufu kama "Urbi et Orbi" amelaani hadharani hali wanayoishi Wapalestina huko Gaza.
Mashambulizi ya anga ya Urusi yamesababisha vifo na uharibifu katika maeneo mbalimbali ya Ukraine, mamlaka za Ukraine zimeripoti huku Urusi ikisema pia imelengwa na mashambulizi ya Ukraine.
Israel imekasirishwa na ukosoaji wa mataifa 14, yakiwemo Ufaransa na Uingereza, juu ya uamuzi wake wa kuidhinisha ujenzi wa makazi mapya ya Walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa…
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha BNP, Tarique Rahman anayeterajiwa kuwa na nafasi ya juu kushinda uchaguzi amerejea nchini Bangladesh.
Papa Leo XIV alitoa mfano wa moja kwa moja kuhusu simulizi za Krimasi na familia za watu wa Palestina zinazoishi kwenye mahema huku kukiwa na vita na wengine kuondoka katika…
Hatua ya kihistoria ya Somalia kuelekea mfumo wa kura ya moja kwa moja inategemea iwapo uchaguzi huu wa kihistoria utaweza kuimarisha demokrasia bila kuvunja makubaliano yanayohitajika ili kuilinda.
Wanaiweka katika ratiba (AFCON) wakati mbaya, lakini kusema kuwa siyo mashindano yanayostahili au makubwa haikubaliki, anasema mshambuliaji wa Nigeria Samuel Chukwueze.
Waandaaji wa Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Morocco wameanza kuruhusu mashabiki kuingia viwanjani bila kulipa baada ya mechi kuanza, kufuatia idadi ndogo ya watazamaji katika mechi kadhaa za awali…
Papa Leo XIV almelaani "magofu na majeraha ya wazi" yaliyoachwa na vita, akitaja hasa hali mbaya ya kibinadamu huko Gaza, katika mahubiri yake ya kwanza ya Krismasi mbele ya maelfu…
Mashambulizi ya usiku ya droni za Ukraine yamesababisha matenki ya kuhifadhia bidhaa za mafuta kushika moto katika mji wa bandari wa Temryuk, kusini mwa Urusi.
Kiongozi wa Kamati ya Sera za Kigeni ya Bunge la Ujerumani, Armin Laschet, amesema Ulaya inapaswa kuzindua mpango wa pamoja wa Ujerumani na Ufaransa wa kuratibu juhudi za kusitisha mapigano…
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, unaendesha zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa Alhamisi ukiwa wa kwanza wa upigaji kura ya moja kwa moja kwa wananchi wote katika muda wa…
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, Tarique Rahman, mgombea wa nafasi ya Waziri Mkuu wa Bangladesh, aewasili Dhaka, mji mkuu wa nchi hiyo, siku ya Alhamisi, Desemba 25, 2025, baada…
Angalau watu kumi na wawili wamefariki wakati boti yao ilipozama siku ya Jumatano, Desemba 24, nje ya pwani ya Senegal, katika janga lingine linalohusisha uhamiaji wa siri kwenda Ulaya. Taarifa…
Wizara ya Sheria ya Marekani imetangaza siku ya Jumatano, Desemba 24, 2025, ugunduzi wa “nyaraka zaidi ya milioni moja” zinazoweza kuhusiana na kesi ya Epstein, kwa uwezekano wa kuchapishwa. Hii…
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani alitumia fursa hiyo kukemea ubatili.
Libya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya makamanda wake wakuu wa jeshi katika ajali ya ndege iliokuwa inasafiri kutoka mji mkuu wa Uturuki, Ankara siku ya…
Cécile Kohler na Jacques Paris wanasherehekea Krismasi na Mwaka Mpya katika Ubalozi wa Ufaransa mjini Tehran, bila uhakika ni lini hatimaye wataweza kurudi nyumbani. Raia hao wawili wa Ufaransa waliachiliwa…
Utawala wa Trump unapanga kununua maghala ya kuwahifadhi wahamiaji wasio na vibali. Mpango unaojadiliwa unalenga kuharakisha kukamatwa na kufukuzwa kwa wahamiaji nchini, ambao umeongezeka tangu Donald Trump arejee madarakani. Imechapishwa:…
Baada ya siku kadhaa za uhesabuji na uchunguzi wa kura huku kukiwa na mvutano, tuhuma za udanganyifu, na uingiliaji kati wa Donald Trump, mshindi wa uchaguzi wa rais nchini Honduras…
Mlipuko ulitokea msikitini wakati wa sala ya jioni Jumatano katika eneo la Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno nchini Nigeria, kwa mujibu wa shahidi aliyeongea na Reuters.
Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea kubadilisha diplomasia ya Marekani. Tangu arudi Ikulu ya White House, rais amewaweka washirika wake katika nafasi za kimkakati ili kutetea vyema maono yake nje…
Shamrashamra za Krismasi zinaendelea kote duniani leo Jumatano, siku ambayo Wakiristo wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo wakati dunia ikielekeza macho yake katika vita vinavyoendelea kati ya…
Dunia inaadhimisha sikukuu ya Krismasi Alhamisi Desemba 25, siku ambayo Wakiristo wanakumbuka kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu Kristo, ambapo ibada zinafanyika Makanisani, huku wengine wakisherehekea majumbani na katika maeneo mengine ya…
Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ameongoza sherehe ya Ekaristi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Kristo. Krismasi hii inaambatana na mwisho wa Mwaka…
Rais wa Ukraine amesema yuko tayari kuondoa wanajeshi wake katika mji wa Donbas ambao ni kitovu cha viwanda kama sehemu ya mpango wa kumaliza vita vyake na Urusi lakini kwa…