Papa Leo ahimiza amani katika misa ya kwanza ya Krismasi
Katika misa hiyo, Papa huyo mzaliwa wa Marekani ameombea kupatikana kwa amani katika mizozo yote inayoendelea duniani ikiwemo vita vya Urusi nchini Ukraine na pia ameelezea kuhusu hali huko mashariki…