Ujerumani: Urusi inajiandaa kushambulia nchi ya NATO
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul anaamini kwamba Urusi inaweza kuutumia uwezekano wa usitishaji mapigano Ukraine ili kujiandaa kuishambulia nchi mwanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO.