China yaziwekea ushuru baadhi ya bidhaa za maziwa za EU
China imeweka ushuru wa muda kwa baadhi ya bidhaa za maziwa kutoka Umoja wa Ulaya, katika hatua ya hivi karibuni ya mzozo wa kibiashara kati ya pande hizo.
China imeweka ushuru wa muda kwa baadhi ya bidhaa za maziwa kutoka Umoja wa Ulaya, katika hatua ya hivi karibuni ya mzozo wa kibiashara kati ya pande hizo.
Uchunguzi mpya uliofanywa nchini Ujerumani umeonyesha karibu nusu ya Wajerumani wana wasiwasi ikiwa muungano wa serikali unaoongozwa na wahafidhina utadumu hadi uchaguzi ujao.
Italia inataka kudumisha uwepo wake wa kijeshi nchini Lebanon baada ya kuondoka kwa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, ambao wamepangwa kuondoka nchini humo kuanzia Desemba 31, 2026,…
Ujerumani imerekodi zaidi ya droni 1,000 mwaka 2025 zinazotia mashaka zilizoonekana katika anga yake, hii ikiwa ni kulingana na Mkuu wa Ofisi ya Polisi ya Shirikisho ya Kupambana na Uhalifu…
Mali na Zambia wanamenyana Desemba 22 kwa mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya AFCON 2025 katika Uwanja wa Mohammed V huko Casablanca. Mechi imeanza saa mchana (UTC), na…
Jenerali mwandamizi wa jeshi la Urusi ameuawa katika shambulio la bomu la gari jijini Moscow, huku wachunguzi wakifuatilia nadharia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uwezekano wa kuhusika kwa idara za…
Wakati kundi la waasi la M23 likipanua udhibiti wake wa kimaneo katika mkoa wa Kivu Kusini na kutawala vyombo vya habari, tishio lingine linaendelea kuwakabili wakazi wa mashariki mwa Jamhuri…
Urusi imekanusha taarifa za intelijensia ya Marekani kwamba inalenga kuyatwaa maeneo zaidi ya Ukraine na kurejesha sehemu za ardhi ya Ulaya zilizokuwa himaya ya umoja wa Kisovieti.
Ushirikiano kati ya Uturuki na mataifa ya Afrika umeimarika sana katika miaka ya hivi karibuni, katika sekta mbalimbali ikiwemo ulinzi.
DRC ni miongoni mwa timu zilizoshiriki mara nyingi michuano hiyo, ikishiriki Kwa mara ya 20. Imewahi kubeba ubingwa wa kombe hilo mara mbili mnamo 1968 ikijulikana kama Kongo-Kinshasa, na 1974…
DRC ni miongoni mwa timu zilizoshiriki mara nyingi michuano hiyo, ikishiriki Kwa mara ya 20. Imewahi kubeba ubingwa wa kombe hilo mara mbili mnamo 1968 ikijulikana kama Kongo-Kinshasa, na 1974…
Wajumbe kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekubaliana kwamba mataifa ya Maziwa makuu yanapaswa kuhusishwa katika juhudi za kuutatua mgogoro huo ambao sasa unaihusisha Burundi moja kwa moja.
Mawaziri wa mambo ya nchi za nje, wa Kusini Mashariki mwa Asia, wamekutana mjini Malysia kwa mazungumzo yanayolenga kutatua mgogoro kati ya Cambodia na Thailand.
Maafisa wa ulinzi wa Thailand na Cambodia watakutana Desemba 24 kujadili uwezekano wa kurejesha makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya nchi hizo mbili, waziri wa mambo ya nje wa Thailand…
Mkuu wa Kurugenzi ya Mafunzo ya Uendeshaji kwenye Jeshi la Urusi Luteni Jenerali Fanil Sarvarov ameuawa kwa bomu lililotegwa chini ya gari lake, kusini mwa Moscow.
Thailand na Cambodia wamekubaliana kuwa na majadiliano zaidi ya kumaliza mzozo mbaya kabisa wa mpaka wiki hii, baada ya mazungumzo kuhusu mzozo huo kumalizika Malaysia.
China imeikosoa Marekani ikisema inakiuka sheria ya kimataifa kwa kukamata meli za mafuta za Venezuela
China imesema hatua ya Marekani ya kukamata kiholela meli za taifa jingine ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa.
Baraza la Mawaziri la Israel limeidhinisha mpango wa kuanzisha makazi mapya ya wayahudi yapatayo 10 katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, hatua inayofifisha uwezekano wa kuanzishwa kwa taifa la Palestina.
Pongezi za ufunguzi wa michuano ya mwanzo ya kandanda kwa mataifa ya Afrika, AFCON 2025 ilimwangukia Ayoub El Kaabi pale ambapo mwenyeji Morocco alifungua mashindano hayo ya 35 kwa ushindi…
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
Katika Afrika Magharibi na Kati, maendeleo ya hivi majuzi ya kisiasa yameibua wasiwasi kuhusu utaratibu wa kikatiba na kanuni za kidemokrasia. ECOWAS imetangaza hali ya hatari ya kikanda ili kukabiliana…
Familia za waathiriwa wa maandamano ya kupinga serikali zimetangaza nia yao ya kuandamana hadi ikulu ya rais leo Jumatatu, Desemba 22, kuomba mkutano na Rais William Ruto ili kukemea ucheleweshaji…
Washington inaendeleza kizuizi chake kwenye mafuta ya Venezuela. Baada ya kuizuia meli ya pili ya mafuta mwishoni mwa wiki hiii iliyopita huko Karibiani, Marekani imefuatilia meli ya tatu siku ya…
Wajumbe wa Marekani na Ukraine, katika taarifa ya pamoja siku ya Jumapili, Desemba 21, wamesifu majadiliano “yenye tija na yenye kujenga” yaliyofanyika wakati wa mazungumzo huko Miami. Muda mfupi kabla,…
Mamlaka ya Nigeria imetangaza siku ya Jumapili, Desemba 21, kuachiliwa kwa wanafunzi 130 waliotekwa nyara mnamo Novemba 21 na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki katika Jimbo la Niger,…
Mamlaka ya Nigeria imefanikiwa kuokoa watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mnamo Novemba 2025, msemaji wa rais alisema Jumapili, baada ya 100…
Somalia itapeleka zaidi ya maafisa 10,000 wa usalama katika mji mkuu, Mogadishu, kabla ya uchaguzi wa mitaa wiki ijayo - uchaguzi wa kwanza wa moja kwa moja katika karibu miaka…
Karibu mwezi mmoja baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Novemba 26, 2025, yaliyomwondoa Rais Umaro Sissoco Embaló nchini Guinea-Bissau, hali ya kisiasa inaendelea kupiga hatua. Ujumbe wa wakuu wa majeshi…
Zaidi ya wapiganaji 200 wenye silaha wamejisalimisha kwa vikosi vya serikali ya Ethiopia katika eneo la Oromia Magharibi, jeshi la nchi hiyo lilisema Jumapili.
Mkutano wa saa 48 unaowakutanisha wakuu wa tawala za kijeshi nchini Mali, Niger, na Burkina Faso unafunguliwa leo Jumatatu, Desemba 22 matikamji mkuu wa Mali, Bamako. Imechapishwa: 22/12/2025 – 05:49…
Miaka mitatu baada ya kukamatwa kwake, Luteni Jenerali Philémon Yav Irung, aliyepewa jina la utani “Tiger wa Katangese” katika jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, alikuwa akisikilizwa katika Mahakama…
Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika, AFCON 2025, imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waiiburuza timu ya taifa ya visiwa vya Commoro mabao…
Wawakilishi wa Marekani na Ukraine wamesema mazungumzo ya kujaribu kuvimaliza vita vya Ukraine yaliyofanyika mjini Miami nchini Marekani "yalikuwa na tija" lakini hawakuweka wazi makubaliano yoyote yaliyofikiwa.
Wenyeji Morocco walishinda Comoro 2-0 katika mechi yao ya ufunguzi ya AFCON 2025 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah katika mji mkuu Rabat Jumapili.
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Israel, Gideon Saar amewatolea mwito Wayahudi waishio kwenye mataifa ya magharibi kuhamia nchini Israel ili kuepuka chuki inayoongezeka dhidi ya jamii hiyo.
Mamlaka nchini Nigeria zimesema zimefanikisha kuachiwa huru kwa wanafunzi 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka shule moja ya kikatoliki kaskazini mwa nchi hiyo mnamo mwezi Novemba.
Marekani imetangaza kuwa inaifuatilia kwa lengo la kuimata meli nyingine ya mafuta inayodai kutumiwa na serikali ya Venezuela kukwepa vikwazo vya biashara ya mafuta vilivyowekwa na Washington.
Shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye soko lenye shughuli nyingi katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan liliua watu 10 mwishoni mwa juma, maafisa wa uokoaji walisema, bila kutaja…
Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika, AFCON 2025, imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waliibamiza timu ya taifa ya visiwa vya Commoro mabao…
Kumbukizi ya tukio la mauaji ya Bondi, yafanyika chini ya ulinzi mkali nchini Australia
Mawaziri wa mambo ya nje wa kanda ya Kusini Mashariki mwa Asia wanajiandaa kuutafutia ufumbuzi mgogoro kati ya majirani-Cambodia na Thailand
Mawaziri wa mambo ya nje wa kanda ya Kusini Mashariki mwa Asia wajiandaa kuutafutia ufumbuzi mgogoro kati ya majirani-Cambodia na Thailand
Rais Vladmir Putin anaamini kukaa mezani na Macron kunaweza kuwa na tija ikiwa kuna dhamira ya pamoja ya kisiasa
Mapema wiki hii, Musk alikua mtu wa kwanza kuvuka thamani ya dola bilioni 600 baada ya ripoti kwamba SpaceX inaweza kuanza kuuzwa kwa umma.
Trump alikuwa amesema kuwa Marekani iko tayari kuchukua hatua za kijeshi nchini Nigeria kukabiliana na "mauaji ya Wakristo".
Tamasha maarufu la kandanda barani Afrika la Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON linaanza kutifua vumbi nchini Morocco. Morocco ina kibarua kigumu kutokana na matumaini makubwa ya mashabiki wake…
Erdogan anasema ulinzi na usafirishaji wa anga wa Uturuki ulifikia $7.45B katika muda wa miezi 11, huku nchi ikishika nafasi ya 11 duniani kwa mauzo ya ulinzi.
Maandamano na upinzani wa wakulima Ulaya wakwamisha kusainiwa mkataba wa kibiashara kati ya EU na kanda ya Amerika ya Kusini