AFCON 2025 kutifua vumbi nchini Morocco Jumapili hii
Mashabiki wa soka barani Afrika kukodolea macho ufunguzi wa michuano ya AFCON 2025 kati ya Morocco na Comoros mjini Rabat
Mashabiki wa soka barani Afrika kukodolea macho ufunguzi wa michuano ya AFCON 2025 kati ya Morocco na Comoros mjini Rabat
Marekani imetia saini mpango wa dola zaidi ya bilioni 2 wa kuisadia Nigeria kuimarisha mfumo wake wa Afya
Makaazi mapya 19 ya walowezi wakiyahudi yaidhinishwa rasmi kujengwa katika ardhi ya wapalestina ya Ukingo wa Magharibi (Judea na Samaria)
Juhudi za kidiplomasia za rais Donald Trump zakabiliwa na ugumu kufuatia matakwa yanayokinzana kati ya Kiev na Moscow
Azimio la Ankara, lililotiwa saini mwezi Disemba 2024, lilipongezwa na viongozi wa dunia kwa kutuliza hofu ya mzozo mkubwa wa kikanda katika Pembe ya Afrika.
Rasimu ya sheria inalenga kuainisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini Algeria kati ya 1830 na 1962 kama uhalifu.
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) alisema mabadiliko hayo ni sehemu ya marekebisho muhimu ili kupatana vyema na michuano hiyo katika kalenda ya kimataifa iliyojaa.
Mabalozi wa Uturuki barani Afrika walikusanyika mjini Ankara kwa ajili ya Kongamano la Mabalozi, na kutembelea Jumba la Sanaa za Mikono na Utamaduni la Kiafrika, ambalo lilianzishwa chini ya uangalizi…
Rais Vladmir Putin amesema yuko tayari kukaa kwenye meza ya mazungumzo na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron kujadili mgogoro wa Ukraine // Watu 10 wameuwawa Kaskazini mwa jimbo la Darfur,nchini…
Urusi imesema hakuna uhakika wa kupatikana makubaliano ya amani katika mgogoro wa Ukraine // Israel imeidhinisha ujenzi wa makaazi mapya ya walowezi wa kiyahudi katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitaka Rwanda kuondoa vikosi vyake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Duru nyingine ya mazungumzo ya kujaribu kuutafutia suluhu mzozo kati ya Urusi na Ukraine imeanza Jumamosi katika mji wa Miami, nchini Marekani baada ya mkutano kama huo kufanyika Jumapili iliyopita…
Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi ya anga nchini Syria usiku wa kuamkia Jumamosi na kuwaua wanachama watano wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu - IS.
Waziri Mkuu wa Sudan Kamil Idris ameelekea Jumamosi mjini New York, kukutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na maafisa wengine ili kujadili namna ya kumaliza mzozo…
Meli iliyobeba mahema 10,000 ya kwanza kati ya 30,000 yaliyotolewa kwa Sudan na Mamlaka ya Usimamizi wa Maafa na Dharura ya Uturuki (AFAD) kwa ushirikiano na Shirika la Kimataifa la…
Mahakama moja nchini Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan na mkewe Bushra Bibi, kifungo cha miaka 17 jela baada ya kupatikana na hatia ya kujitwalia na kuziuza zawadi…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimiol akuongezea ujumbe wa kulinda amani nchini DRC MONUSCO mwaka mmoja zaidi
Rais wa Taiwan Lai Ching-te ameahidi siku ya Jumamosi, Desemba 20, uchunguzi wa kina kuhusu shambulio hilo lililogharimu maisha ya watu watatu siku kwenye kituo ha treni cha Taipei. Mshambuliaji…
Angalau wakimbizi 40 wa Kongo wamefariki kutokana na kipindupindu na utapiamlo katika kambi ya mpito ya Gatumba nchini Burundi katika muda wa siku 10 pekee. Kifara Kapenda, naibu meya wa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imejibu tangazo la Jumanne, Desemba 16, la kufunguliwa kwa uchunguzi wa kimahakama nchini Mali unaomlenga Yann Vezilier, ikielezea kukamatwa kwake kama hatua “isiyokubalika…
Maafisa wa Zambia wanatarajia kutatua tatizo hilo kwa kubadilisha cheo cha kocha mkuu na kuwa kocha msaidizi anapokidhi masharti ya kustahiki nafasi hiyo.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kurefusha muda wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, MONUSCO.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kurefusha muda wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, MONUSCO.
Takriban watu wanane wameuawa na wengine 27 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la kombora la Urusi usiku wa kuamkia leo katika mji wa bandari wa Odessa nchini Ukraine.
Bodi ya utendaji ya Shirika la Fedha la Kimataifa siku ya Ijumaa, Desemba 19, imeidhinisha kitita kingine cha dola milioni 445 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Imechapishwa: 20/12/2025 –…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la kuongeza muda wa kuhudumu kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia…
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema jamii ya Wayahudi nchini humo "iko imara na haiwezi kusambaratishwa".
Urusi itakuwa na mkutano mkubwa leo Jumamosi, Desemba 20, pamoja na washirika wake wa Afrika, unaolenga kuharakisha uhusiano wa kiuchumi na kupanua uhusiano wake barani Afrika. Hii inakuja licha ya…
Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR), akichukua nafasi ya Filippo Grandi, raia wa Italia aliyeshikilia…
Mamia ya wahamiaji wamewasili katika kisiwa cha Ugiriki cha Crete kwa kutumia mashua.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kwa kauli moja sikuya Ijumaa kuongeza muda wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Ijumaa, Desemba 19, kwamba kundi la Islamic State lililengwa kwa mashambulizi ya “kulipiza kisasi kikali” nchini Syria. Angalau wanachama watano wa ISIS…
AU imethibitisha tena msaada wake kwa umoja na utawala wa Sudan wakati ikiwaonya RSF kwamba vurugu dhidi ya wananchi hazitapita bila adhabu.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rubio asema "lengo la haraka ni kusitisha mapigano" katika mzozo wa Sudan
Duru za kimatibabu zinasema kuwa silaha za Israel zashambulia makazi ya shule mashariki mwa Jiji la Gaza wakati wa sherehe ya harusi.
Hanna Tetteh ametoa wito 'kwa wadau wote kufanya kazi pamoja kwa lengo la kutekeleza masuala ya usalama, mabadiliko muhimu ili kupata uthabiti'
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa linaripoti kuwa vifo zaidi ya 1,800 kutokana na mashambulizi kwa sekta ya afya tangu 2023
Kesi za kufilisika kwa biashara Ujerumani zimefikia kiwango cha juu katika miaka 11. Biashara ndogo zimeathirika zaidi kutokana na ukuaji dhaifu wa uchumi, wachumi wakionya kuhusu hatari ya kupotea kwa…
Tukio hilo linajiri baada ya Uturuki kuidungua ndege isiyokuwa na rubani siku ya Jumatatu ambayo "ilipoteza muelekeo" wakati ikikaribia anga yake kutoka Bahari Nyeusi.
Shirika la Umoja wa Mataifa linasema raia wanakimbia wakiwa na hofu huku mapigano yakienea kote katika miji muhimu katika maeneo ya Kordofan ya Sudan
Umoja wa Mataifa umeomba ufadhili wa dharura kusaidia zaidi ya raia 80,000 waliokimbilia Burundi kufuatia mashambulizi mapya yaliyofanywa na kundi la waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Umoja wa Mataifa umeomba dola milioni 33 kusaidia maelfu ya wakimbizi waliokimbia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenda Burundi, kufuatia mashambulizi mapya ya waasi wa M23 karibu na…
Waziri Mkuu wa Misri Mustafa Madbouly amesema kuwa nchi yake inafanya kila iwezalo kuzuia kuongezeka kwa mvutano kati ya Lebanon na Israel, hususan kuhusu mchakato wa kuwapokonya silaha wanamgambo wa…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hajaondoa uwezekano wa kuingia vitani na Venezuela. Kauli hiyo ameitoa katika mahojiano aliyoyafanya na shirika la Habari la NBC News yaliyochapishwa leo Ijumaa.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ataandaa mkutano wa kipekee wa mawaziri kuhusu hali ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), afisa mkuu ametangaza siku ya Alhamisi. Imechapishwa: 19/12/2025…
Wizara ya mambo ya nje ya Syria imeukaribisha uamuzi wa kuondolewa kabisa kile kilichoitwa "vikwazo vya Caesar" vilivyowekwa na Marekani - hatua inayofungua njia ya kurejea kwa uwekezaji katika taifa…
Rais wa Urusi amesema kwamba wanajeshi wa nchi hiyo wanaendelea kusonga mbele katika uwanja wa vita, akieleza matumaini kwamba malengo ya kijeshi ya Kremlin yatatimizwa karibu miaka minne baada ya…
Njaa Gaza imeisha, lakini idadi kubwa ya watu wa Ukanda wa Gaza wanaendelea kukabiliwa na viwango vya juu vya ukosefu wa usalama wa chakula, Umoja wa Mataifa umesema leo Ijumaa,…
Nchini Israel, utata unaongezeka kuhusu uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 7. Je, mtu anaweza kuwa jaji na mtuhumiwa? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ataongoza tume itakayofafanua mamlaka ya uchunguzi…
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema malengo yake nchini Ukraine yatatimia na kwamba mpira sasa uko mikononi mwa mataifa ya Magharibi na Kyiv kwenye mazungumzo ya kuvisitisha vita.