Burundi: Umoja wa Mataifa watoa wito wa msaada kwa wakimbizi wanaokimbia mashariki mwa DRC
Tangu mwanzoni mwa mwezi Desemba, Burundi imekuwa ikikabiliwa na wimbi jipya kubwa la wakimbizi kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kulingana na ripoti ya mashirika mbalimbali iliyoratibiwa…