Trump ausifu utawala wake aulaumu wa mwenzake Biden
Rais wa Marekani, Donald Trump, amelihutubia taifa na kujimiminia sifa, akiisifu serikali yake kwa kuleta maendeleo makubwa nchini Marekani. Trump amesema mwaka wake wa kwanza madarakani umekuwa wa mafanikio.