Lukashenko ataka hatua za haraka kukomesha vita vya Ukraine
Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ametowa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha vita nchini Ukraine wakati huu Marekani ikiendelea na juhudi za kidiplomasia kuhusu mzozo huo uliodumu kwa miaka…