Hivi ndivyo funga inavyolinda afya
Waislamu na Wakristo duniani wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali azindua kliniki ya sheria bure Dar
Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani kujitokeza...
Kihongosi atoa maagizo ujenzi chuo cha Veta Nzega
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuharakisha utoaji...
Vifaa vya ujenzi Muheza vyaibwa, Waziri Mkuu afura
Amesema kilichofanyika ni kuzuia malipo ya Sh14 milioni ya kampuni hiyo ya ulinzi na...
Sh588 milioni zakamilisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari wilayani Ludewa
Zaidi ya Sh588 milioni zimetumika kukamilisha ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Chief Dastan...
Trafiki aliyegongwa na daladala kuzikwa Kilimanjaro
Kileo alifariki dunia kwa kugongwa na daladala iliyoacha njia wakati akitekeleza majukumu yake...
Serikali yaondoa dirisha la kusubiri wanufaika wa bima ya afya
Serikali imesema wananchi wasio na uwezo wanaosajiliwa katika mpango wa Bima ya Afya kwa Wote...
Waziri Mkuu aeleza manufaa na fursa za kijografia nchini
Hatua mojawapo aliyoitaja Dk Mwigulu, ni uboreshaji wa bandari ya Tanga uliofanyika kwa awamu...
Amani, usalama bado vyapasua vichwa vya marais Afrika
Wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wameangazia suala la amani na usalama katika...
EFTA yazindua Hatifungani ya kampuni kuongeza mtaji wa muda mrefu kwa uchumi wa uzalishaji
Wakati mjadala wa maendeleo barani Afrika mara nyingi umejikita katika swali la upatikanaji wa...
MUA Tanzania yasherehekea ubora katika usiku wa tuzo za mawakala wa bima
Katika sekta ambayo ukuaji wa kasi wakati mwingine huweza kuja kwa gharama ya nidhamu ya...
Wananchi 3,498 wa Kijiji cha Ghona wasogezewa huduma za afya
Wananchi wa kijiji cha Ghona, kata ya Kahe Mashariki, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro...
Kihongosi: Ahadi za Rais Samia wakati wa kampeni ni endelevu
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema utekelezaji wa ahadi mbalimbali zilizotolewa na Rais Samia...
Wafanyakazi wa majumbani wanavyoandaliwa Veta
Kuanza kutumika kwa mtaala wa kufundisha wafanyakazi wa majumbani kwenye vyuo vya ufundi stadi...
Hemed: Kiongozi lazima ajifunze mbinu mpya kukabili changamoto
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema kiongozi lazima awe na...
Wawili washikiliwa tuhuma mauaji kiongozi wa CCM, Polisi yamsaka kinara wa ‘TFF’
Imeeleza kuwa Sambala alifariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa Hospitali ya Wilaya ya...
SMZ yakiri kutokuwa na takwimu za ajira kwa wageni, yakusanya Sh12 bilioni za vibali na mikataba
Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira, Nambari 11 ya 2005 imeweka masharti ya ajira kwa wageni, ikiwa...
Matukio ya wizi, uvamizi yatia hofu Mbeya, Polisi yatoa tahadhari
Matukio hayo yanatajwa kushamiri katika mitaa ya Makunguru, Ilemi, Isanga, Soweto na Mwenge...
Vifaa saidizi, Sh342 milioni za mikopo yatolewa Mtwara Mikindani
Vifaa na fedha hizo zimekabidhiwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu...
Mke wa Zinchenko noma hadi Guardiola anaujua moto wake
Beki wa zamani wa Manchester City na Arsenal, Oleksandr Zinchenko (29) kwa sasa ni baba wa...
Kifusi chaua watano Tanga, Polisi watoa tahadhari
Ajali hiyo ilitokea saa 11:30 jioni Februari 15, 2026, wakati watu hao wakiwa katika shughuli...
Dk Mwigulu aonya wageni kuanzisha kampuni kwa kivuli cha wazawa
Kuhusu wageni kuanzisha kampuni kwa kivuli cha wazawa, Dk Mwigulu ameonya watu wanaoanzisha...
Mwingine aeleza ujumbe wa Lissu ulivyomhamasisha kuzuia uchaguzi
Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni...
Makonda aingilia kati sakata la Simba, atoa siku 12
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemtaka Msajili wa Vyama vya...
Country Wizzy naye yumo kwenye maisha ya S2kizzy
Kati ya wasanii wa Hip Hop Bongo wanaofisika kwa kuwa na mitindo mingi ya kuwasilisha muziki...
Queenie Masanja anavyotoa somo kwa wanawake wapambanaji
Kila mwaka ifikapo Machi 8, huadhimishwa Siku ya Wanawake Duniani, ikilenga zaidi kutambua...
Droo ya robo fainali CAF kupigwa kesho
Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26...
Kibu Denis na maisha ya kistaa Libya
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kibu Denis amejiunga na Al Nasr ya Libya baada ya timu...
Nchi za Afrika Mashariki zakemea uvuvi haramu wa meli Bahari ya Hindi
Nchi za Afrika Mashariki zimeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuendelea kwa uvuvi haramu unaofanywa...
Yanga yashindwa kutinga robo fainali CAFCL
Hesabu zimekaa. Ndicho kilichotokea jana kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAF...
Aliyemlawiti mtoto wa miaka mitano akwaa kisiki Mahakama Kuu
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imebariki adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa mkazi wa Arusha...
Ukosefu wa vyoo kuwang’oa wakurugenzi, ma-DAS
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amewabana mawaziri wanne na manaibu wao kujibu hoja zilizotolewa...
TRA yaanza kufanyia kazi maagizo ya Rais Samia
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Askofu Kasala ashauri jambo Bima ya Afya kwa Wote
Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kasala ameshauri utaratibu wa utoaji wa Bima ya Afya...
Kamati ya Bunge yatoa maagizo udhibiti wa bandari bubu nchini
Kushamiri kwa bandari bubu nchini, kumeiamsha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kutoa...
Chuo cha Bahari Dar es Salaam chalia ukosefu wa meli ya mafunzo
Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimeeleza kukabiliwa na changamoto ya uhaba wa miundombinu...
Kihongosi aagiza DC Igunga kumaliza mgogoro wachimbaji wadogo
Baadhi wachimbaji wadogo wa madini wamemuomba Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha...
CCM Moshi Vijijini yasisitiza umoja, mshikamano kwa viongozi wake
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro, kimesema hakitamvumilia...
Wagonjwa wa saratani waongezeka mara sita kwa miaka 17, watoto wafikia 400 Bugando
Idadi ya wagonjwa wa saratani wanaotibiwa katika idara ya saratani ya Hospitali ya Rufaa ya...
Fanya haya kudhibiti maudhui usiyoyapenda Instagram
Mtandao wa Instagram umekuja na mfumo mpya wa mtumiaji kudhibiti maudhui ikiwemo picha na video...
Kampuni ya utalii yatwaa tuzo ya muendeshaji bora safari za Puto Tanzania
Kampuni ya utalii wa puto angani, Miracle Experience Balloon Safaris, imetajwa kuwa Muendeshaji...
TADB yafungua masoko Qatar, yashiriki maonyesho
Ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa ushirikiano wa kimataifa, kuvutia uwekezaji na...
Ni dawa, sumu au biashara Mlipuko wa maduka ya tiba asili
Kuna jambo lisilo la kawaida linaloendelea katika miji mikuu ya Tanzania. Ongezeko la kasi la...