Kamati ya Bunge yaeleza OSHA itakavyopunguza mzigo wa fidia kwa wafanyakazi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imesema utekelezaji madhubuti wa...
Sangu ateta na Pinda, apatiwa mbinu kuimarisha uhusiano
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, leo Ijumaa...
Zuio la Chadema kutumia mali lawaibua mawakili wa walalamikaji
Chadema kinakabiliwa na kesi ya madai inayohusiana na mgogoro wa madai ya mgawanyo wa...
Wadau wataka sheria mpya ya elimu
Kwa sasa, sekta hiyo inasimamiwa na Sheria ya Elimu ya mwaka 1978, ambayo inaelezwa kuwa...
NMB yadhamini maonyesho ya mifugo
Tanzania inatarajia kufanya maonyesho ya tatu ya kimataifa ya mifugo Julai mwaka huu, hatua...
Dk Mwigulu aagiza watumishi elimu kukatwa fedha
Kwa mujibu wa Dk Mwigulu, watumishi hao ni wale waliopewa jukumu la kusimamia ujenzi wa Veta...
Sh7 bilioni kuweka changarawe barabara za Moshi
Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) imeanza utekelezaji wa...
Motsepe alitamani fainali ya Simba, Berkane ichezwe kwa Mkapa
Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo uliochezwa Berkane, Morocco, wenyeji RS Berkane waliibuka...
Madiwani wakumbushwa kutambua kaya maskini, bima ya afya
Katika juhudi za kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya bila vikwazo vya...
Mwigulu ataka wanaovunja sheria wasionewe huruma
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba ameziagiza kamati za ulinzi na usalama nchini kudumisha maelewano...
Afrika Mashariki uhakika AFCON 2027, Motsepe atuliza hali ya hewa
Motsepe amesema hakuna kitakachobadilika na jambo la msingi ni nchi hizo kuhakikisha zinafanya...
ACT yapoteza tena mahakamani, maombi yao yatupiliwa mbali
Wagombea hao walipeleka ombi la zuio kwa hati ya dharura kufuatia tangazo la Tume ya Uchaguzi...
Rayvanny naye miaka imeenda!
Imesalia takribani miezi miwili kabla ya kutimia miaka 10 tangu staa wa Bongofleva, Rayvanny...
Shule zapewa madawati 2,939, RC aagiza ujenzi wa karakana
Shule za awali na msingi zenye uhaba mkubwa wa madawati jijini Mwanza zimepokea mgawo wa...
RC Malisa atoa somo kwa kampuni za bima
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa amezitaka kampuni za bima kutoa huduma zinazozingatia hali...
Shahidi bodaboda adai hotuba ya Lissu ilimshawishi kuvuruga uchaguzi
Shahidi wa tano wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha...
Chusi, mkewe kula bata la Valentine Zanzibar
Mkazi wa Kigamboni, Abdul Chusi na mkewe Mwanaidi Omary, mwishoni mwa wiki hii watakuwa...
TLS yampa mchungaji Malisa mawakili watano
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimempa Mchungaji Godfrey Malisa anayekabiliwa na kesi...
Wanne wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa ‘Ambulance’
Washtakiwa hao wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Hadija Masala leo...
European Super League imekufa rasmi
Real Madrid na UEFA zimetangaza kuwa zimefikia rasmi hatma ya mgogoro wao wa kisheria kuhusu...
Tahadhari unapokumbatia, kubusu wanyama
Unajua kuwa kuna madhara ya kiafya yanayoweza kumpata binadamu anayekumbatia paka au mbwa...
KONA YA MSTAAFU: Wastaafu mpaka tuanzishe chama ndio tutasikilizwa
Wiki iliyopita mstaafu alimalizia makala yake kwa kuandika, tufupishe; akiwa na maana ya...
Ni mtafutano Ligi Kuu Bara ikiendelea
Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo maafande wa JKT Tanzania...
Makosa yanayofanywa na wafungaji Swaumu
Kujifunza Sharia za Swaumu na hukumu zake ni wajibu kwa Muislamu, ili afunge kwa namna...
Exim yaongeza nguvu utalii Zanzibar
Exim imeendelea kuonesha suluhisho za kifedha na kidijitali zinazolenga kuongeza ufanisi wa...
Hatari ya saratani kwa wapenda nyamachoma
Utafiti uliofanywa mwaka 2005 na Taasisi ya Taifa ya Saratani ya Marekani uliowahusisha zaidi...
RC Chalamila: Wanafunzi kukaa chini si kukosa fedha bali mipango, lazima tukabane
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema tatizo la wanafunzi kukosa madawati na...
Profesa Msoffe ataka taka zitumike kuzalisha ajira
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula...
Dk Mwigulu atoa maelekezo kulinda bidhaa, uwekezaji wa ndani
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kuondolewa kwa misamaha ya kodi kwa bidhaa...
Makada waliokimbilia Chaumma mbioni kurejea tena Chadema
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Patrick Assenga, amesema yupo kwenye maandalizi...
Go Green na Imbeju kuchagiza utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema programu za...
Maaskofu Katoliki watoa ujumbe wa Kwaresma
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewaasa waumini wake na jamii kwa jumla...
Mbunge Dk Makame ataja uchelewaji uchangiaji bajeti Jumuiya Afrika Mashariki unavyokwamisha maendeleo
Kufuatia kusuasua kwa utekelezaji wa mipango ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Polisi Songwe yamwachia kiongozi wa madereva aliyekuwa akitafutwa
Jeshi la Polisi limemuachia huru kiongozi wa madereva wa malori, mabasi na IT–Tanzania...
Suala la chakula cha Lissu lakwamisha kesi, vilio vyatawala
Lissu, Mwenyekiti wa Chadema anakabiliwa na kesi ya uhaini inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala...
ACT Pemba watoa baraka mazungumzo kujiunga SUK
Wakati Mwenyekiti wa Chama cha ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman akisema kuwa mazungumzo...
Lissu, shahidi fiche walivyochuana
Shahidi wa nne wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
Wazazi wapigwa msasa mapambano ya utapiamlo, udumavu
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Likwati iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam...
Ndoa za wahamiaji, wazawa zaishtua Idara ya Uhamiaji
Idara ya Uhamiaji wilayani Kishapu mkoani Shinyanga imetoa elimu kwa walimu na wanafunzi wa...
Mapinduzi ya utafiti yaliyookoa maisha ya mamilioni
Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) imeeleza mafanikio makubwa ya kisayansi yaliyochangia kuokoa...
Sh38.2 bilioni kufikisha umeme katika vitongoji 371 Mara
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kutumia zaidi ya Sh38.2 bilioni kujenga miundombinu...
Dk Mwigulu atoa maelekezo kudhibiti wagonjwa wapya wa saratani
Kufuatia tahadhari ya wataalamu wa afya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuonya ongezeko la...
Tumieni mifumo ya kiteknolojia kudhibiti upotevu wa maji – Kundo
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Mathew Kundo, amewataka watendaji wa sekta ya maji nchini...