Stanbic yajikita kuimarisha huduma za malezi Zanzibar
Katika hatua ya kuunga mkono mpango huo, Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza kutoa Sh500...
SMZ: Mawakili wa Serikali wanahitaji uelewa wa mikataba ya mikopo mikubwa
Wakati kukiwa na ongezeko la mahitaji za kugharamia miradi ya kimkakati, imeelezwa kuwa...
Baba alivyoua mke mkubwa, mtoto kwa kuwanyonga
Ni ukatili, wivu au tatizo la afya ya akili? Ni swali ambalo unaweza kujiuliza pale mauaji ya...
Matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini yafikia asilimia 23.4
Hata hivyo, tayari Serikali imeweka mkakati wa kitaifa kuhakikisha hadi kufikia mwaka 2034...
Prisca Lyimo afunguka aliyokutana nayo kwa mkwe wa Jux
Mwanamitindo na muigizaji wa Tanzania, Prisca Lyimo amesema hakutarajia kupokelewa kwa upendo...
Waziri Mkuu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha
Amesema uwanja huo unatakiwa kukamilika mapema ili kuendana na muda wa maandalizi waliopewa na...
Mama lishe auawa usiku akitoka kazini, mwili watupwa shambani Moshi
Simanzi imetawala katika Mtaa wa Mnazi, Kata ya Ng’ambo mkoani Kilimanjaro, baada ya mwanamke...
Matumaini yarejea Mashariki ya Kati, Israel na Lebanon zikisitisha mapigano
Katika eneo la Qasmiyeh kusini mwa Lebanon, magari yalionekana yakivuka daraja la muda...
Lishe shuleni nguzo muhimu ya mafanikio ya kielimu
Kamishna wa Elimu Tanzania, Dk Lyabwene Mtahabwa amesema mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji...
Semu ateuliwa uenyekiti TCD, Wasira makamu
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha...
Bweni la Fidel Castrol lateketea, 29 walazwa kwa mshtuko
Bweni la wasichana 167 la Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini...
Kipyenga kuwarithi kina Kizigha, Millya ubunge EALA chapulizwa
Wakati Ofisi ya Bunge ikitangaza nafasi tatu za wajumbe watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge...
Mbunge atahadharisha ulemavu ajira za bodaboda
Mbunge wa Chemba (CCM), Kunti Majala, akiitaka Serikali kuchukua tahadhari juu ya mikopo...
Simba, Yanga wadondokea humu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CRDB
Katika droo hiyo, Simba imepangwa kukutana na TRA United, Singida Black Stars dhidi ya Coastal...
CCM yatoa ratiba mrithi wa Lukuvi Isimani
Amesema fomu zitatolewa kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni katika ofisi za chama...
Zahanati hii Mirerani ni mkombozi
Katika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kuna harakati za kiuchumi...
Justin Bieber kwenye ukurasa mpya
Mkali wa Pop na RnB kutokea Canada, Justin Bieber, 32, anaripotiwa kupokea malipo ya Dola 10...
Uelewa mdogo wa jamii unavyotishia janga la glaucoma
Katika jamii yetu, bado kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapati uzito unaostahili. Hali hii...
KONA YA MSTAAFU: Nchi inahitaji kuwa na tuzo ya wazee
Nina wazo. toka pale tulipopata uhuru wetu kutoka kwa waliokuwa wanatutawala, Desemba 9, 1961...
Jina lililojificha nyuma ya tukio la Diamond, Simba Day
Unakumbuka ile Simba Day ya mwaka 2020 ambayo msanii Diamond Platnumz, alishuka na helikopta...
Samia aeleza mapinduzi ya upasuaji ubongo
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika kuimarisha huduma za...
Mbeya City yaachana na Mecky Maxime usiku
Kichapo cha mabao 6-0 kutoka kwa Yanga, leo Alhamisi, Juni 16, 2026 kwenye Uwanja wa KMC...
Walimu waliowezesha ufaulu kuongezeka 2025 wakumbukwa kwa tuzo Kibaha
Uongozi wa Manispaa ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani umewapongeza walimu wa shule za msingi na...
Mgomo wa daladala Tanga waingia siku ya pili, usafiri bado wateteraka
Hali ya usafiri wa daladala katika Jiji la Tanga bado haijaimarika kutokana na mgomo unaoendelea.
Daladala zakatisha safari Arusha, abiria walalamika nauli kuongezeka
Wananchi wa Jiji la Arusha wameilalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa daladala kukatisha...
Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma kutua rasmi bungeni
Katika kuendelea kuimarisha uwekezaji wa umma, Serikali imepanga kukamilisha Muswada wa Sheria...
Watu 61 mbaroni kwa tuhuma ya kuvunja sheria
Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu 61 kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi na...
Wanaodaiwa kuiibia benki Sh5.7 bilioni majadiliano kumaliza kesi
Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa tisa, wanaokabiliwa na...
Imani mpya sokoni hatifungani EFTA ikivuka lengo
Soko la mitaji nchini limepata msukumo mpya baada ya hatifungani ya kampuni ya Equity for...
Rekodi tamu za Yanga ikiipa kichapo Mbeya City
Yanga imeendelea kuwa tishio katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Alhamisi, Aprili 16...
Kipa wa Arsenal na Liverpool afariki kwa ajali
Vilabu mbalimbali alivyowahi kuchezea tayari vimetoa salamu za pole, ikiwemo Salzburg, ambayo...
Unataka kwenda China, ujumbe huu unakuhusu
Baada ya madai ya baadhi ya wananchi kuwa Ubalozi wa China nchini Tanzania hauna utaratibu...
IGP Wambura aeleza maboresho vituo vya afya vya polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amesema vituo vya afya vya polisi...
Aliyekutwa na kucha, meno ya Simba akwaa kisiki mahakamani
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Sumbawanga, imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Zahoro Masala...
CCM yaikaribisha Chadema ulingoni, kushindana kwa hoja na sera
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefurahishwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Rufaa kukirudisha...
Wananchi wataka nembo ya BoT kwenye fomu za mikopo kudhibiti ‘mikopo umiza’
Wakati malalamiko ya wananchi kuumizwa na mikopo isiyo rasmi yakiongezeka, wakazi wa Wilaya ya...
Chakwera ahitimisha ziara yake nchini, akibeba matumaini ya wadau
Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Lazarus Chakwera amehitimisha ziara yake ya...
Tuzo za ATI Bima kuchochea ushindani, fursa sekta ya bima
Sekta ya bima nchini inatarajiwa kunufaika na ongezeko la ushindani, ubunifu na uaminifu wa...
Maswa yapata majiko banifu 1,247
Wakati gharama za nishati ya kupikia zikiendelea kuwa mzigo kwa wananchi wengi vijijini, ujio...
Madeleka: Wananchi waache kujichukulia sheria mkononi
Wakati Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha likiendelea kuwasaka wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya...
Sh430 milioni zilivyosaidia elimu Bugurula
Zaidi ya wanafunzi 470 wa Shule ya Msingi Bugurula wilayani Geita Mkoa wa Geita waliokuwa...
Masharti ya Lissu akikutana na Chakwera gerezani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekutana na mwakilishi...
Safari ya Rama Ngozi kupambana na uhalifu mtandaoni
Katika zama za sasa ambazo matumizi ya mitandao ya kidijitali yanazidi kukuwa kwa kasi...
Samia atwaa tuzo, aeleza mapinduzi ya upasuaji ubongo
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika kuimarisha huduma za...
Wajasiriamali Mbarali waiomba Serikali kuboresha barabara Igawa–Rujewa
Wajasiriamali wa Soko la Rujewa wilayani Mbarali wameiomba Serikali kuharakisha maboresho ya...
Serikali yakabidhi vitendea kazi Lindi, kuboresha huduma za umeme
Wananchi wa Mkoa wa Lindi wanatarajiwa kunufaika na huduma bora na ya haraka ya umeme kufuatia...