Bodaboda walioshtakiwa kwa kusafirisha bangi kilo 150 waachiwa
Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru waendesha...
Serikali: Tuitumie AFCON 2027 kukuza utalii
Amesema waongoza watalii ni wadau muhimu katika kukuza sekta hiyo, wakichangia ongezeko la...
Mwenge wa Uhuru watua Pwani, miradi ya Sh200 bilioni kukaguliwa
Pwani. Bagamoyo Mwenge wa Uhuru 2026 leo Jumamosi Aprili 18, 2026 umekabidhiwa rasmi kutoka...
CCM yashauri Serikali kuharakisha mradi wa barabara ya njia nne Mbeya
Mbeya. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimeishauri Serikali kuharakisha mchakato wa...
Wananchi 12,216 Maswa kunufaika na mradi wa maji wa Sh1.2 bilioni
Mradi huo unahusisha ujenzi wa tenki la kuhifadhi na kusambaza maji kwenye mnara wa urefu wa...
Madiwani Lindi walalamikia ubovu wa barabara
Ameendelea kusema kuwa wakiacha hali hiyo iendelee, wakulima wa ufuta watalazimika kupeleka...
Hizi hapa nauli mpya za mabasi, daladala
Tangazo hilo limetolewa jana Ijumaa Aprili 17, 2026 kupitia Gazeti la Serikali ambapo zitaanza...
Necta: Itakuwa aibu mwanafunzi wa darasa la nne kutojua kusoma na kuandika
Profesa Mohamed amesema hatua ya kuwapima wanafunzi wakiwa darasa la pili imeiwezesha Serikali...
Mradi wa kusafisha majichumvi kuwa majisafi wazinduliwa Kinondoni
Mbio za Mwenge wa Uhuru zimeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kisima cha maji pamoja na...
Ujenzi wa mwendokasi Gongo la Mboto wafikia asilimia 99
Mradi huo wa kimkakati wa Serikali unatekelezwa kwa awamu sita, huku Tanroads ikisimamia ujenzi...
CAG Zanzibar kutumia AI kuimarisha ukaguzi wa fedha za umma
Makubaliano hayo yanahusisha Taasisi za Juu za Ukaguzi (SAI) za Zanzibar na India na mafunzo...
Tanzania yawaita Wamarekani kuwekeza katika madini na kilimo
Balozi Omar ameeleza kuwa, Tanzania inaendelea kuimarika kiuchumi na kutoa mazingira rafiki kwa...
Ndani ya Boksi: Misi Tizii izi baki: Dadeki leo leo kazi ipo
1994. Siyo leo wala siyo jana. Ni zamani kinoma. Magogoni pale akiishi Ali Hassan Mwinyi (RIP).
Lampard aipaisha Coventry City EPL baada ya miaka 25
Matokeo hayo yameihakikishia Coventry kumaliza nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi hiyo...
Siku ya kifo cha Sokoine
Tarehe 12 April 1984, kundi zima la Orchestra Mambo Bado lilitua katika mji wa Shinyanga...
Diamond, Mr Flavour si kinyonge hata kidogo!
Mwanamuziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz (36), pamoja na mkali wa Afrobeats kutokea...
Wananchi walia na mikopo umiza, BOT yaendeleza elimu
Amesisitiza kuwa ni muhimu kukopa kwa ajili ya shughuli zinazozalisha kipato ili kuwezesha...
Maandalizi, harusi ya Taylor Swift yapamba moto
Mwimbaji wa Marekani, Taylor Swift (36), anatarajiwa kuvaa gauni la harusi ambalo mtindo wake...
Miaka 13 tangu Bi Kidude afariki dunia
Ni wazi kuwa Fatma Binti Baraka ‘Bi Kidude’ ni utambulisho wa muziki wa Zanzibar. Nyimbo zake...
Wavuvi watakiwa kukata leseni kupata mikopo ya Serikali
Wavuvi wanaovua maeneo ya Sudi ,Shuka na Mmongomongo wametakiwa kukata leseni ya uvuvi ili...
Madaktari bingwa bobezi wawasili nchini kutoa huduma, yumo wa tiba za asili
Hospitali ya Benjamin Mkapa imepokea madaktari bingwa bobezi watano kutoka China ili kuboresha...
Bugando yafanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando imefanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo tangu...
Ugonjwa uliokatisha uhai wa Kocha Bilo hadharani
Imetajwa kuwa Kifo cha aliyekuwa kocha wa Bilo Queens Athuman Bilali ‘Bilo’ kimesababishwa na...
Amana wakabidhiwa kituo cha kutoa huduma kwa Vijana kilichoboreshwaa kwa Sh38 milioni
Shirika la Baba Watoto kupitia mradi wake wa Ahadi, umekabidhi kituo kwa ajili ya kutolea...
Watanzania waaswa kuepuka siasa za chuki, waelekezwa kuhimiza maendeleo
Watanzania wametakiwa kuepuka matumizi mabaya ya siasa yanayochochea chuki, vurugu na...
Chaumma yaweka imani kwa tume ya Jaji Chande
Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimeeleza kuwa kina imani na tume ya uchunguzi...
Bilionea Laizer aipatia shule ya Makiba mashine ya kudurufu
Mchimbaji maafuru wa madini ya Tanzanite Saniniu Laizer ameipatia Shule ya Sekondari Makiba ya...
Upasuaji Aga Khan ulivyorudisha tabasamu kwa Watanzania 16 wenye majeraha
Upasuaji wa bure wa urekebishaji wa viungo uliofanywa kwa watu 16 waliokuwa na ulemavu pamoja...
Utalii kupaa, Tanzania ikijipanga kuwa mwenyeji Mkutano IPU
Wakati Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ukiendelea nchini Uturuki, banda la maonesho...
Sekta binafsi yaibeba Tanzania mapinduzi ya kidijitali
Mchango wa sekta binafsi katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano umeendelea kuwa nguzo...
Wawili wafariki kwa ajali Moshi, watatu wajeruhiwa
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa mkoani Kilimanjaro kutokana...
Wanawake wanne mbaroni na kilo 129 za mirungi Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia wanawake wanne kwa tuhuma za kusafirisha...
Mbunge Ado akutana na magumu bungeni, azua hoja ya utekaji na Takukuru
Hii ni mara ya pili kwa mbunge huyo kukumbana na hali hiyo, baada ya tukio kama hilo kujitokeza...
Watoto wanne wafariki dunia Bukoba kwa kuangukiwa na ukuta
Watoto wanne wa familia mbili tofauti wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa hoteli...
Wachimbaji wadogo Shinyanga wasitisha uzalishaji kisa tozo za halmashauri
Wachimbaji wadogo wa madini katika migodi midogo iliyopo Kata ya Mwakitolyo, Halmashauri ya...
Basi latumbukia mtoni Morogoro, 13 wajeruhiwa
Kufuatia ajali hiyo, dereva wa basi hilo anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano...
Serikali yatumia Sh65 bilioni kuimarisha uhifadhi wa misitu
Serikali kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) imetoa ruzuku ya zaidi ya Sh65 bilioni katika...
Ajira 45,000 zaja Utumishi na Utawala Bora ikiomba Sh1.6 trilioni
Huduma kwa wastaafu 10 na wajane 11 Kamati yaomba masharti ya ajira kuregezwa
Dk Mwigulu awaonya makandarasi wasiowalipa kwa wakati watoa huduma wao
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekemea tabia ya baadhi ya wakandarasi wanaolipwa fedha na...
JAB yatoa neno kwa wanahabari
Katika zama za utitiri wa taarifa zisizorasmi zinazosambaa kwa kasi kupitia ukuaji wa...
Dk Mwigulu: Hatukerwi na wanaotushambulia mitandaoni
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itamshikisha adabu yeyote atakayesababisha kero...
Benki ya Dunia yaridhishwa na miradi ya Boost Mbozi, Tunduma
Benki ya Dunia (WB) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya kuboresha elimu kupitia Mpango wa...
Kamati ya uchumi Zanzibar yaridhishwa na miradi ya gesi Mtwara kuchochea ajira
Wajumbe wa Kamati ya Uchumi na Uwekezaji ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na...
Iran yafungua Mlango wa Hormuz, yasema…
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Iran na Marekani yanatarajiwa kumalizika Aprili 22...
Wachimbaji madini Geita wahimizwa kuwekeza kwenye amana, hati fungani
Wachimbaji dhahabu mkoani Geita wameshauriwa kuwa na matumizi sahihi ya fedha kwa kufanya...
Mahakama ya Rufani yathibitisha hukumu ya kifo kwa aliyemuua mkewe
Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa aliyokuwa amehukumiwa Paulo...