Singida Black Stars kutumia mbili Bara kujiweka sawa Afrika
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema mechi mbili za Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji na JKT Tanzania watazitumia kama njia ya kujiweka tayari kwa ajili…
Phiri akwama Ulaya aibukia zimbambwe
MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Hard Rock FC inayoshiriki Ligi Kuu Zimbabwe, baada ya dili lake kwenda Ureno kufanya majaribio kukwama.
Mukandayisenga avunja rekodi binafsi ya mabao
BAADA ya kufunga mabao matano katika mechi ya jana dhidi ya Fountain Gate Princess, mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga amevunja rekodi ya msimu uliopita ya kufunga mabao 13.
Ligi Kuu Bara kuaanza na viporo
LIGI Kuu Bara iliyosimama tangu Desemba 7, mwaka jana kupisha michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2025) na Kombe la Mapinduzi 2026, inarejea kesho Ijumaa kwa mechi mbili za…
Wanne wavuja jasho kwelikweli Mapinduzi Cup 2026
TAMATI ya Kombe la Mapinduzi 2026 ilikuwa jana Jumanne Januari 2026 ilipopigwa mechi ya fainali kati ya Azam dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba kuanzia saa 10:30 jioni.
Uwanja Gombani waipa jeuri ZFF
MAREKEBISHO yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gombani uliopo Pemba, yameipa jeuri Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kutokana na sasa kuwa na viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa baada ya…
Uwanja wa Gombani waipa jeuri ZFF
MAREKEBISHO yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gombani uliopo Pemba, yameipa jeuri Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kutokana na sasa kuwa na viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa baada ya…
Sababu timu za Zanzibar kufeli Mapinduzi Cup 2026
WAKATI Jumanne ya Januari 13, 2026 ikipigwa fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba, kilio kimeendelea kusikika kutokana na…
Yanga bingwa Mapinduzi Cup 2026
Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga iliyochezwa Jumanne ya Januari 13, 2026, haijawa nyepesi kwani kipute kimepigwa hadi dakika 120 ndipo mshindi akaja kupatikana,…
Rais Mwinyi auzindua rasmi Uwanja wa Gombani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi Zanzibar, leo Januari 13, 2026 amezindua rasmi viwanja vya michezo vya Gombani vilivyopo Wilaya ya Chake Chake…
Pipino akutana na staa wa ndoto zake
NDOTO ya kiungo mkabaji Ahmed Bakari ‘Pipino’, kutamani kucheza timu moja na supastaa raia wa Uganda, Khalid Aucho inakwenda kutimia baada ya kusajiliwa na Singida Black Stars.
Yule Messi wa Simba yupo tayari kuliamsha
KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba, Azam FC na TP Mazembe, Ramadhan Singano ‘Messi’ amezungumzia kilichokuwa nyuma ya ukimya wake na utayari wa kurejea tena uwanjani ili kuweza kuendeleza kipaji…
Kagera Sugar wana jambo lao Championship
BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limedai halitaki kufanya makosa yatakayowagharimu katika mechi zilizobaki za Ligi ya Championship na kukwamishwa kurejea Ligi Kuu Bara.
Mtanzania apewa mwaka na nusu Misri
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto amejiunga na Port Fouad inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea Makadi FC.
Simba yabeba kombe Mwanza, yaichapa Pamba 3-2
Mashabiki wa Simba wameifutia aibu timu yao na kuipatia kombe baada ya muda mrefu kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha…
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) na leo tena
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea leo kwa mechi nne ngumu zitakazopigwa kwenye viwanja tofauti ikiwa ni raundi ya nane.
Ni kisasi, rekodi na ubabe Gombani
KUNA vita nyingi zinakwenda kushuhudiwa leo Jumanne katika fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Dimba la Gombani kisiwani Pemba na Azam itacheza dhidi ya Yanga.
TRA United yapigwa bao kwa Kelvin Kijili
MBEYA City inaendelea na maboresho dirisha hili dogo la usajili na kikosi hicho kutoka jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa…
Simba yaachana na straika
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Queens, Magnifique Umutesiwase amerejea nchini kwao Rwanda kujiunga na Indahangarwa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake huko.
Wakenya waingilia dili la Awesu
WAKATI Klabu ya Mbeya City ikiwa katika mazungumzo ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Awesu Ally Awesu, uongozi wa Kenya Police ya Kenya, umeingilia kati dili hilo kwa…
Alliance Girls yajipanga kubakiza pointi nyumbani
KOCHA wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kikosi hicho kimeweka mikakati ya kuhakikisha kinabakiza pointi tatu katika michezo yote ya nyumbani watakaocheza Uwanja wa Nyamagana, Mwanza ikiwa ni sehemu ya…
Kali nne za Mapinduzi Cup 2026
KESHO Jumanne, ile safari ya takribani siku 17 katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inakwenda kuhitimishwa kwa kupigwa mechi ya fainali.
Aliyeitungua Simba, aibukia Singida Black Stars
KLABU ya Singida Black Stars, imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Fufuni ya Pemba, Mboni Stephen Kibamba ambaye aliitungua Simba katika mechi ya makundi katika Kombe la Mapinduzi 2026.
Straika Singida Black Stars atimkia Ureno
MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri, ameenda Ureno katika majaribio katika timu ya Clube Desportivo Nacional, baada ya uongozi wa kikosi hicho kumridhia kwa lengo la kwenda…
Express yarejea kwa Galiwango
MABOSI wa timu ya Express ya Uganda wamefungua mazungumzo ya kumrejesha aliyekuwa beki wa kushoto wa timu hiyo, Dissan Galiwango, baada ya nyota huyo kubakisha mkataba wa miezi sita na…
Kiungo kiraka ajipa kazi Geita Gold
KIUNGO mpya kiraka wa Geita Gold, Raymond Masota amesema ujio wake ndani ya timu hiyo unaiongezea nguvu katika mapambano ya kupanda daraja kwenda Ligi Kuu Bara, huku akiahidi kuisaidia ili…
Johola aanika mambo manne yanayombeba Bara
KIPA wa zamani wa Yanga anayekipiga kwa sasa Mashujaa akiwa ndiye kinara wa ‘cleansheet’ katika Ligi Kuu Bara, Erick Johola amesema ubora alionao unatokana na mambo manne ikiwamo kujiamini, kupambana,…
Trident yagoma kumuachia Sichone
MSHAMBULIAJI kinda wa Kitanzania, Mourice Sichone yupo kwenye mvutano baada ya klabu anayoitumikia Trident FC ya Zambia kukataa kumuachia, huku mchezaji huyo akionyesha nia ya kurejea nyumbani Tanzania.
Chomelo ataja sababu ya kutoonekana uwanjani
KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi ya Walemavu nchini Uturuki, Ramadhan Chomelo amesema sababu ya kutoonekana uwanjani ni kutokana na kuchelewa kupata kibali cha kazi.
Kassim Mbarouk aanza vyema Uturuki
WINGA wa Kitanzania anayekipiga Dispas SC ya Ligi ya Walemavu Uturuki, Kassim Mbarouk ameanza vyema ligi hiyo baada ya kufunga bao moja na kuasisti moja kwenye mechi tatu alizocheza.
Brighton & Hove Albion kuachana na Aisha Masaka
KLABU ya Brighton & Hove Albion inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini England haitaendelea na mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka, msimu ujao baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu…
Tanzania yamaliza nafasi ya 11, Australia ikitwaa dhahabu ‘mixed relay’
Tanzania imemaliza katika nafasi ya 11 kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika zinazoendelea Tallahassee, Florida nchini Marekani kwa upande wa relay mchanganyiko, huku Australia ikitwaa medali ya dhahabu…
Pamba yazindua jezi baada ya miezi mitano
HATIMAYE Klabu ya Pamba jiji ya Mwanza imezindua rasmi jezi za msimu wa 2025/2026 na uuzaji wake utaanza leo katika mkoa wa Mwanza, baada ya subira ya mashabiki ya takribani…
Suala la posho Stars lilivyomshtua Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa alishtushwa na taarifa za mgomo wa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya Fainali za AFCON 2025 kutokana na…