Chipukizi, New Kings bado zina nafasi ZPL
USHINDI wa bao 1-0 wa Polisi dhidi ya Chipukizi katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar uliochezwa Uwanja wa Gombani, Pemba, umeongeza presha kwa Chipukizi na New Kings katika vita vya…
USHINDI wa bao 1-0 wa Polisi dhidi ya Chipukizi katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar uliochezwa Uwanja wa Gombani, Pemba, umeongeza presha kwa Chipukizi na New Kings katika vita vya…
ILIPOISHIA Baada ya maelezo yangu polisi hao walimkamata Dastan na yule msichana wakawapakia kwenye gari la polisi. Vile vitu vyote walivyoniibia vikachukuliwa. Mimi nilibaki na mfuko wangu wa pesa. Nikaambiwa…
AZAM FC imeanza mchakato wa kumuwania mshambuliaji wa Serengeti Boys na Kagera Sugar, Luqman Ali, kwa ajili ya msimu ujao.
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiendelea kupamba moto, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya ratiba ya mchezo wa Mbeya City dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kuchezwa Juni…
WAKATI presha ya kukwepa kushuka daraja ikizidi kuongezeka, Namungo imeanza kufanya hesabu za kujinusuru baada ya kuweka lengo la kukusanya angalau pointi tisa katika mechi tano zilizobaki.
NI kawaida bendera kushusha usiku, lakini leo, Jumanne itakuwa tofauti wakati bendera ya Tanzania itapepea usiku timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys itashuka dimbani kuivaa…
WAKATI Tanzania ikijiandaa kwa mechi kubwa zaidi katika historia ya soka lake la vijana, kuna jina moja ambalo limekuwa nguzo muhimu katika safari ya ajabu ya Serengeti Boys kufika fainali…
BINGWA mtetezi wa Kombe la FA Kanda ya Pemba, Chipukizi United, itakutana na Wawi Stars katika fainali ya michuano hiyo mwaka huu.
WAKATI Uhamiaji ikipitia kipindi kigumu cha matokeo baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila ushindi, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdul Saleh, amesema amepata suluhu ya changamoto zilizokuwa zikiikabili timu…
MSEMO wa kuwa adui yako muombee njaa unaonekana bado unaishi, huku mshambuliaji wa JKU, Feisal Hilali maarufu kama ‘Feymar’, akiamini mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) bado hazijaisha.
ILIPOISHIA “Subiri,” akaniambia huku akishuka. Alikwenda kwenye mlango ambao ulikuwa wazi, akapiga hodi. Hakukuwa na jibu lakini aliingia hivyo hivyo. Nilipomuona anaingia na mimi nilifungua mlango wa teksi nikashuka na…
WACHEZAJI wa timu ya Tanzania wameonyesha matumaini makubwa ya kikosi hicho katika fainali za Mataifa ya Afrika AFCON, itakayofanyika mwaka 2027, ikihusisha mataifa matatu wenyeji ambao ni Tanzania, Kenya na…
KIUNGO mshambuliaji wa Taifa Stars, Feisal Salum 'Fei Toto' ameondolewa katika kikosi cha timu hiyo kinachojiandaa na mechi mbili za kirafiki za kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA),…
HATIMAYE Simba Queens imeipokonya JKT Queens ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake leo baada ya kuitandika Mashujaa Queens mabao 5-2 kwenye mechi ya raundi ya 20 iliyopigwa Uwanja wa KMC…
KOCHA wa Serengeti Boys, Elieneza Nsanganzelu, anaamini kikosi chake kina uwezo wa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, watakapomenyana na…
KUNA taarifa za ndani za Simba kufanya mazungumzo na winga anayecheza JKT Tanzania kwa mkopo, Salehe Karabaka baada ya kuonyesha kiwango cha juu kulichoivutia klabu hiyo na kuhitaji huduma yake…
LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imesogezwa mbele ili kupisha kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwenye michuano ya kimataifa ya Three Nations Tournament itakayofanyika kuanzia Juni 1 hadi…
JKT Queens imeanza mipango ya kufanya maboresho makubwa ya kikosi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo msimu…
KOCHA mkuu wa Tausi FC, Martin Hammel amesema bado ana matumaini makubwa ya timu hiyo kubaki kwenye Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu licha ya changamoto walizokutana nazo tangu mwanzoni…
KOCHA mkuu wa Cesiaa FC, Sultan Juma amesema timu hiyo bado haijawa salama kwenye mbio za kusalia Ligi Kuu ya Wanawake na italazimika kupambana katika mechi mbili zilizobaki ili kujihakikishia…
TIMU za wanawake za Arsenal na Manchester United zimeanza kufuatilia huduma ya kiungo mshambuliaji wa RB Leipzig ya Ujerumani, Lisa Baum ambaye ana asili ya Tanzania na Ujerumani.
KAMA kuna jambo ambalo limekuwa likivutia macho ya mashabiki wa soka kila wakati wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wanapoingia kambini, basi ni namna kiungo wa Shamakhi FC ya…
LICHA ya ndoto ya beki wa Kitanzania, Haji Mnoga ya kuipandisha Salford City kucheza League One kugonga mwamba, bado ameendelea kupata sapoti kutoka kwa nyota mwenzake wa Tanzania anayekipiga England,…
Kiungo mshambuliaji wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya She Corporate FC ya Uganda, Husna Mpanja, amesema anaamini muda wake wa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini humo utafika…
MAKAMU Mwenyekiti wa Barberian FC, Robert Munis amesema hatoondoka katika timu hiyo hata kama itashuka daraja na kwenda kushiriki Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao, licha ya presha kubwa iliyopo…
KOCHA wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema makosa binafsi wanayoyafanya katika mechi mbalimbali ndiyo yanayochangia mwenendo usioridhisha kwa kikosi hicho cha maafande msimu huu, japo wataendelea kuonyesha ushindani kwa wapinzani…
KOCHA Mkuu wa Hausung FC ya Njombe, Selemani Kitunda Simota 'Guardiola' amesema sababu ya timu hiyo kufanya vibaya hadi sasa katika Ligi ya Championship ni kutokana na kukosa wachezaji wazoefu,…
KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng'ondya amesema licha ya ushindani mkubwa wa wapinzani wao hadi sasa, ila timu hiyo ina nafasi ya kurejea Ligi Kuu, kutokana na ushirikiano wa…
KOCHA Mkuu wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema mechi tatu za mwisho ndizo zitakazoamua hatima ya kikosi hicho msimu huu, japo kuna mikakati mizuri aliyoweka na wachezaji wa timu hiyo…
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Charles Mususa amefariki dunia leo Jumamosi, Mei 30, 2026.
TAYARI kocha wa Simba, Steve Barker ameanza kuona vitu vya kiufundi katika miguu ya beki chipukizi Vedastus Masinde, jambo linalomshawishi kuendelea kumpa nafasi zaidi ya kuonyesha kiwango alichonacho.
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls kupoteza mechi ya kwanza ya raundi ya pili katika kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini,…
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea Mei 31, 2026 kwa mechi sita, lakini macho ya wengi yataelekezwa Uwanja wa KMC Complex na vinara Simba Queens watakuwa na kibarua dhidi ya…
Nikaona nimtafute Dastan Lazaro ili nimueleza matatizo yaliyonitokea ili aweze kunipa msaada wake.Nilitegemea nikimpata Dastan anaweza kujua yule msichana aliyeniibia anapatikana wapi.Na Dastan pia anaweza kunisaidia kuzipata pesa zangu hata…
KITENDO cha Ligi Kuu Bara kumalizika Juni 30, 2026 badala ya Mei 2026 kama ilivyopangwa awali, kimeibua mjadala mkubwa kwa wadau wa soka nchini.
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis amesema ushindani wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu 2025-2026 umekuwa mgumu zaidi ikilinganishwa na misimu iliyopita na hiyo inatokana na kila timu…
UONGOZI wa Singida Black Stars umeanza rasmi mazungumzo ya kumpata mshambuliaji wa Mlandege FC ya Zanzibar, Mussa Hassan Simba ‘Mbappe’ kwa ajili ya kuongeza nguvu eneo hilo, japo itapaswa kutoa…
UONGOZI wa Fountain Gate FC umepokea barua kutoka timu mbalimbali Ulaya ili kumpata kiungo mshambuliaji nyota wa kikosi hicho, Juma Issa Abushiri ‘Messi wa Chuga’ kwa lengo la kwenda kufanya…
Wakati Mbeya City ikifuta likizo kwa wachezaji ili kuendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano zilizobaki, vigogo wa juu wa timu hiyo wamefika mazoezini kuongeza hamasa, morali na nguvu kwa…
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetangaza kufanya mabadiliko ya muda kwa mechi tatu za Ligi Kuu Bara msimu huu ili kutoingiliana na zile za Fainali za Kombe la Dunia…