Allan Okello afungukia bato lake na Chama, amtaja Messi
Azam FC, Simba katika vita nyingine kwa Chilambo UKIACHANA na vita iliyopo ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara, imeibuka nyingine ikizihusu Azam na Simba juu ya kuipata saini ya…
Azam FC, Simba katika vita nyingine kwa Chilambo UKIACHANA na vita iliyopo ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara, imeibuka nyingine ikizihusu Azam na Simba juu ya kuipata saini ya…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Mbio za kuwania nafasi ya nne imezidi kuwa wazi baada ya JKT Tanzania na TRA United kushindwa kupata ushindi katika michezo yao ya leo dhidi ya Mtibwa Sugar na Fountain…
Magwiji wa soka nchini wamesifu kikosi alichookitwa kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Miguel Gamondi kuwa kinatengeneza wachezaji watakaotumika kwa muda mrefu Taifa Stars.
KUNA nafasi ndogo kwa Ruangwa Queens na Bilo Queens zilizopo mkiani kusalia Ligi Kuu ya Wanawake msimu ujao kutokana na muendelezo mbaya wa ligi hiyo.e mechi zote. Changamoto kubwa kwa…
DAKIKA 360 zilizosalia sawa na mechi nne za Ligi Kuu Zanzibar(ZPL), ndiyo itakayoamua hatma ya mabingwa wa zamani ZPL, Malindi kubaki katika ligi hiyo au kushuka daraja.
KOCHA Mkuu wa KVZ, Hababuu Ali ameendeleza pale walipoishia watangulizi wake kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mechi mbili na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
KOCHA wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema makosa binafsi wanayoyafanya katika mechi mbalimbali ndiyo yanayochangia mwenendo usioridhisha kwa kikosi hicho cha maafande msimu huu, japo wataendelea kuonyesha ushindani kwa wapinzani…
BEKI wa kati wa Mbeya Kwanza, Vintani Mtega amesema bado hajajua hatima yake katika kikosi hicho baada ya mkataba wake wa sasa kufikia ukomo mwisho wa msimu huu wa 2025-2026,…
BAADA ya beki wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh kufikisha mabao matano msimu huu, nyota huyo amebakisha bao moja ili aweke rekodi mpya ya kufunga mengi zaidi katika timu…
BEKI wa kimataifa wa Tanzania, Haji Mnoga leo atakuwa na kibarua kizito England wakati chama lake Salford City itakaposhuka dimbani kucheza fainali ya playoff ya ligi daraja la nne 'League…
HUENDA kiungo wa Kitanzania, Diana Msewa anayekipiga Trabzonspor ya Ligi ya Wanawake Uturuki akatimkia Ulaya, baada ya Kampuni yaTMJ inayowasimamia wachezaji kimataifa kuonyesha nia ya kuingia makubaliano na nyota huyo.
LEO saa 10 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, timu ya Taifa ya Wavulana chini ya miaka 17, Serengeti Boys itaminyana na Algeria katika mechi ya robo fainali ya Kombe…
ZIMEBAKI sita! Ndivyo wanavyosema mashabiki wa Simba Queens wakimaanisha wanahitaji kushinda mechi mbili kati ya nne zilizobaki ili kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu huu.
MIONGONI mwa kitu kilichobarikiwa kisiwa cha Pemba ni kuwa na utajiri wa michezo mbalimbali ya utamaduni yenye asili na maana kubwa, kitu cha kufurahisha zaidi wanarithishana vizazi kwa vizazi.
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello, ameendelea kuonyesha umwamba wake kufuatia kufunga katika mchezo wa nne mfululizo wa Ligi Kuu Bara wakati timu hiyo ikirejea kileleni mwa msimamo baada ya…
MABAO matano aliyofunga straika wa Mbeya City, Eliud Ambokile, yameonekana kumwongezea morali, huku akiahidi kuipambania timu hiyo kuhakikisha inabaki salama Ligi Kuu Bara.
NYOTA wa timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls, wamesema wana matumaini makubwa ya kufanya vizuri mbele ya mashabiki wao kuelekea mzunguko wa kwanza wa raundi…
UNAWEZA kushangaa bao kali alilofunga straika wa JKT Tanzania, Paul Peter dhidi ya Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa Mei 21, 2026 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali…
RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) itaendelea Jumamosi hii Mei 23, 2026 kwa mechi sita kupigwa, lakini macho ya wengi yataelekezwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo,…
UONGOZI wa Junguni United yenye maskani yake Wete kisiwani Pemba, umetangaza kumvua madaraka Suleiman Mwidani Asaa nafasi ya katibu mkuu wa klabu hiyo kwa tuhuma za kutumia fedha za timu…
BODI ya Ligi Zanzibar (ZLB), imefuta matokeo ya mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) kati ya Kipanga na Chipukizi United na kuzipiga faini ya Sh5 milioni baada ya kuibuka…
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMS) imesema itaweka bei elekezi juu ya matumizi ya viwanja vya Wilaya na Mkoa vinavyoendelea kujengwa kisiwani hapa ili kuwaondolea usumbufu na kuwapunguzia gharama wananchi.
NUSU fainali ya kwanza ya Kombe la FA Ukanda wa Unguja, inatarajia kupingwa Mei 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa Gombani kati ya Wawi Star dhidi ya Chakechake.
LEO utashuhudiwa utamu wa Ligi ya Championship ukiendelea katika viwanja mbalimbali, ila moja ya mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi ni ya vinara Geita Gold itakayokuwa ugenini dhidi…
MARA nyingi matukio makubwa katika soka huacha kivuli ambacho huendelea kuishi kwa miaka mingi. Alhamisi ya Mei 20, 2026 jijini Dodoma, kivuli hicho kilijitokeza upya wakati ambapo Mrisho Ngassa alipokutana…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
BRAZIL ‘SELECAO’; Kutoka Pele mpaka Neymar KUREJEA kwa Neymar ndani ya kikosi cha Brazil kumeamsha matumaini mapya ya taifa hilo kubwa la soka huku historia yao ya Kombe la Dunia…
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya Namungo dhidi ya Mbeya City, imeshindwa kutoa mshindi, baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 zikifungana bao 1-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani…
UNAPOTAJA miongoni mwa wachezaji hatari wa Simba kwa sasa, hutoacha kulitaja jina la nyota wa kikosi hicho, Clatous Chota Chama 'Triple C', baada ya kuirejesha tena timu hiyo kileleni katika…
FOUNTAIN Gate imewazuia JKT Tanzania kukaa nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuwalazimisha sare ya mabao 2-2 kwenye mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Meja…
KUNA mechi mbili za kibingwa zinachezwa leo ndani ya Ligi Kuu Bara zikihusisha timu zinazoshika nafasi nne za juu kwenye msimamo, huku moja ikiwa inapambana isishuke daraja.
Fufuni imeanza kupoteza uelekeo wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada kushindwa kupata ushindi katika mechi mbili zilizopita ikiambulia pointi moja.
MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Edgar William ameandika rekodi mpya katika kikosi cha ‘Walima Zabibu’, baada ya kufikisha mabao saba ya Ligi Kuu Bara na kuivuka ya msimu uliopita wa 2024-2025,…
MWENYEKITI wa mashindano ya Yamle Yamle Cup, Sadiq Ali (Flash) amesema mshindi wa kwanza wa mashindano hayo yatakayoanza Juni 2026, ataondoka na zawadi ya Sh20 milioni, kombe na medali za…
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga ameendelea kukiwasha Saudi Arabia baada ya kuiongoza Al Nassr ya Wanawake kutwaa ubingwa wa Kombe la SAFF Women’s Cup kwa ushindi wa mabao…
BEKI wa Yanga, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amevunja ukimya katika ya timu hiyo, akitamka maneno mazito yatakayowaamsha wachezaji wenzake ndani ya kikosi hicho, akitaka washtuke haraka kama wanautaka ubingwa.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Edward Christopher ambaye kwa sasa anaichezea Stand United ‘Chama la Wana’ iliyopo Ligi ya Championship, amesema kila anapowaamgalia Wanamsimbazi wakicheza mechi anavutiwa na ufundi wa…
BAO la dakika ya 90 la mshambuliaji wa TRA United, Shaaban Idd Chilunda, limetosha kuipa ushindi timu hiyo wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mechi kali na ya…
AZAM FC imeendelea kusuka kikosi chake kuelekea msimu ujao, ambapo sasa iko hatua za mwisho kumnasa winga wa FC Saint-Éloi Lupopo, Henoc Molia, baada ya mapendekezo ya kocha Florent Ibenge.
SINGIDA Black Stars imeanza mchakato wa kusuka upya safu ya ushambuliaji ambapo kwa sasa inafanya mazungumzo na mshambuliaji Candidat Mapendo wa AS Dauphins Noirs ya DR Congo.
WAKATI Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), ikielekea ukingoni, maji na mafuta vianza kujitenga kutokana na ushindani wa kila eneo kutoka wasaka ubingwa hadi wale wanapigana kubaki katika ligi hiyo msimu huu.