Simba Queens yaendeleza moto WPL
SIMBA Queens imeendeleza ubabe wa Ligi Kuu ya Wanawake baada ya leo Aprili 22, 2026 kuitandika Fountain Gate Princess mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
SIMBA Queens imeendeleza ubabe wa Ligi Kuu ya Wanawake baada ya leo Aprili 22, 2026 kuitandika Fountain Gate Princess mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
HATIMAYE winga wa Yanga, Farid Mussa amecheza mechi kwa mara ya kwanza baada ya kuupiga dakika 16 za mwisho wakati Yanga ikiichapa Muembe Makumbi kwa mabao 4-0 katika Kombe la…
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za mzunguko wa 13 wa Ligi Kuu Wanawake Tanzania Bara (WPL), leo ligi hiyo itaendelea zikipigwa mechi mbili kwenye viwanja tofauti jijini Dar es…
KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Mrundi Elie Mokono ameanza mazoezi na timu hiyo baada ya kukosekana katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopita waliposhinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa…
SIMBA imewasili hapa Zanzibar leo Jumatano Aprili 22, 2026 tayari kwa ajili ya kushiriki Kombe la Muungano, huku katika msafara wao yupo staa wao mmoja amerejea lakini kuna hesabu maalum…
DUNIA ya soka kuna walinzi wagumu ambao hadi kuwapita unatakiwa ufanye kazi kubwa, la sivyo kama wewe ni mshambuliaji basi utaonekana huna maana yoyote.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Gabriel Makalla leo Jumanne Aprili 21, 2026 amekutana na kumpatia zawadi ya viatu winga wa TRA United, Ramadhan Salum "’Chobwedo’, akimsifu kwa kiwango kizuri…
NIDHAMU kwanza. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga akielezea mkakati wake wa kuisuka timu hiyo kuhakikisha inabaki salama Ligi Kuu Bara.
Baada ya kuachana na Mecky Maxime, Mbeya City imemrejesha kikosini Salumu Mayanga kuwa kocha mkuu.
YANGA imeanza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wake wa Kombe la Muungano, ikiichapa Muembe Makumbi City kwa mabao 4-0.
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeweka wazi mkakati wake maalumu wa kutumia fursa ya mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji, kwa kuzindua huduma na vifurushi…
YANGA inapiga hesabu mpya juu ya kuboresha ukuta wake na wakati wowote inaweza kumng’oa beki wa kazi pale TRA United. Dili la kifaa hicho kipya, linatishia nafasi ya beki Mghana,…
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amezichimba mkwara timu tatu kubwa Simba, Yanga na Singida Black Stars akisema hawezi kukubali timu hiyo kuendelea kugeuka ngazi ya mafanikio.
TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimepangwa kutolewa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo…
TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimepangwa kutolewa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo…
Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amosi amesema anapambania kuifikia rekodi ya msimu uliopita ambayo alimaliza akiwa na clean sheet 11, na anaamini hilo linawezekana katika mechi zilizosalia, hivyo anachokifanya ni…
BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi katika Ligi Kuu Zanzibar, sasa KVZ imebadilisha upepo na nguvu zote kuhamishia kwenye Kombe la Muungano.
Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahya, amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh milioni moja kufuatia kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Ibrahim Abraham, wakati…
Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahya, amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh milioni moja kufuatia kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Ibrahim Abraham, wakati…
KATIBU wa michezo ya Jadi Wilaya ya Temeke, Juma Kilima, amesema chama hicho kipo tayari kwa ajili ya mapokezi ya timu zinazotokea visiwani Zanzibar kwa maadhimisho ya miaka 62 ya…
BINGWA wa Kombe la Muungano 2026, atazawadiwa Sh150 milioni, zawadi ambayo ni mara tatu ya mashindano yaliyopita.
SIMBA imeshinda mchezo wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Bara ikiwa ugenini baada ya kuichapa Namungo mabao 3-0, ikizidi kuweka hai kiu yao ya kuutaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara…
BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi amesema licha ya kikosi hicho kutokuwa na mwenendo mzuri katika mechi za Ligi Kuu Bara, lakini malengo yao ni kuhakikisha timu…
UONGOZI wa timu ya Malindi, umethibitisha kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hababuu Ali ambapo nafasi yake imechukuliwa na Ally Ramadhani Kisaka, ikiwa ni miongoni mwa mikakati ya…
WAKATI Serikali ya Zanzibar ikiendelea kujenga viwanja vya michezo kisiwani hapa, wadau wa mpira wa kikapu wamelia na ukosefu wa viwanja.
Wanariadha wa Tanzania wamefanikiwa kupeta katika mashindano ya Tanfoam Marathon, baada ya kukata utepe kwa upande wa kilomita 42 na 21 mbele ya wanariadha kutoka Kenya na Uganda.
TIMU ya Muembe Makumbi inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, haiachi vituko kwenye ligi hiyo kuanzia mashabiki hadi wachezaji wake na mara nyingi imekuwa ikipokea adhabu kutoka Bodi ya Ligi Zanzibar kutokana…
CHAMA la Mtanzania Tarryn Allarakhia, Rochdale AFC inayoshiriki Ligi Daraja la tano England (National League) ina kibarua kigumu cha kusaka ubingwa dhidi ya York City, itakayopigwa Jumanne, Aprili 21.
KIUNGO mshambuliaji Mtanzania, Ramadhan Chomelo ameendelea kuonyesha ubora wake katika kikosi cha Despas Enerji inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu licha ya kujiunga na timu hiyo dirisha dogo.
BAADA ya Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi ya Wanawake Sierra Leone kutwaa ubingwa wa ligi mapema, kiungo Mbongo, Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesema ilikuwa lazima wanyakue taji kutokana na mwendelezo mzuri waliokuwa…
BAADA ya kutambulishwa rasmi katika kikosi cha Napsa Stars ya Zambia, mshambuliaji wa Kitanzania Habib Kyombo ameanza kwa kasi kwa kufunga bao lake la kwanza akiwa na timu hiyo, jambo…
KOCHA Msaidizi wa TMA FC ya jijini, Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico' amesema mazungumzo aliyofanya na Kocha Mkuu wa Yanga, Mreno Pedro Goncalves, yamemwongezea morali ya kupambana katika majukumu yake…
KIUNGO mshambuliaji wa Mbuni FC ya jijini Arusha, Joseph Mkele 'Jojo' amesema licha ya ushindani uliopo katika Ligi ya Championship ila mwenendo wake ni mzuri tangu alipojiunga na timu hiyo…
UONGOZI wa Gunners FC ya Dodoma umemwachia Henry Mkanwa kibarua cha kuiongoza timu hiyo hadi mwisho wa msimu huu, baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Mathias Wandiba kujiunga…
KOCHA Mkuu wa Bigman FC, Mohamed Kijuso amesema kutimiza malengo ya awali ya timu hiyo ya kumaliza nafasi nne za juu ni ngumu kwao kutokana na ushindani uliopo, ingawa kwa…
BAADA ya aliyekuwa Kocha wa African Sports 'Wanakimanumanu', Khalid Adam kuachana na timu hiyo, uongozi wa kikosi hicho umefikia makubaliano ya kumwajiri Kocha Ally Salimu Mdoe 'Bai', kuiongoza hadi mwisho…
UONGOZI wa TRA United kupitia mwenyekiti wake, Kamna Shomari umevunja ukimya na kuweka wazi kwamba hawana taarifa ya mchezaji wa timu hiyo, Ramadhan Salum ‘Chobwedo’ kusaini katika chama lingine kwani…