Straika Mkenya Pamba Jiji apata ahueni
MSHAMBULIAJI nyota wa Pamba Jiji, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi, anaendelea vizuri kwa sasa baada ya kushindwa kuendelea na mechi ya Ligi Kuu dhidi ya timu ya TRA United, iliyopigwa juzi…
MSHAMBULIAJI nyota wa Pamba Jiji, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi, anaendelea vizuri kwa sasa baada ya kushindwa kuendelea na mechi ya Ligi Kuu dhidi ya timu ya TRA United, iliyopigwa juzi…
KIPA wa TRA United raia wa Gabon, Jean-Noel Amonome, amesema licha ya kutoruhusu bao katika mechi tisa za Ligi Kuu Bara msimu huu kwa maana ya kufikisha (Clean Sheets tisa),…
MABOSI wa Singida Black Stars, wameanza mchakato wa kumfuatilia beki wa kati wa Police FC ya Rwanda, Mghana Issah Yakubu ‘Varane’, ili kuipata saini yake mapema, baada ya menejimenti ya…
BAADA ya Dodoma Jiji kupoteza mechi mbili mfululizo, kocha wa timu hiyo, Amani Josiah, amesema wachezaji wa kikosi hicho hawatakuwa na mapumziko, licha ya Ligi Kuu Bara kusimama ili kupisha…
MZUNGUKO wa 23 wa Ligi Kuu Zanzibar umeanza kuchezwa Aprili 18, 2026 kwa michezo miwili kati ya Mlandege na Muembe Makumbi wakati Fufuni ikisaka alama tatu kwa Junguni kisiwani Pemba.
WAKATI Mbeya City ikirejea jijini Mbeya kichovu baada ya kukutana na kipigo kizito dhidi ya Yanga, vikao vimeanza kwa mabosi wa timu hiyo kujadili ishu ya kocha mpya huku majina…
BAADA ya kuwasha moto katika mechi mbili mfululizo, Kocha Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema licha ya kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, lakini nguvu na…
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk Ashatu Kijaji, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi jijini Arusha mnamo Aprili 18, 2026, ambapo atazungumza na mamia ya waongoza watalii (Tour Guides) wanaoshiriki…
MECHI sita mfululizo ilizocheza Mtibwa Sugar bila kuonja ushindi, imewaamsha nyota wa timu hiyo na kutangaza mkakati mpya wa kumaliza michezo 12 ya Ligi Kuu Bara iliyobaki.
MAMBO manne yanaupa uwanja wa AFCON 2027 unaojengwa Arusha utofauti na viwanja vingine vinavyotumika kwa mechi za soka na michezo mingine hapa nchini.
DROO ya Robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB inazikutanisha Simba na TRA United ikiwa ni mara ya tatu msimu huu kukutana katika mashindano makubwa mawili, ikiwamo Ligi Kuu…
BAADA ya mapumziko ya mwezi mmoja, raundi ya 22 ya Ligi ya Championship, inaendelea tena leo Jumamosi kwa mechi mbili na nyingine tano kupigwa kesho Jumapili na moja kuhitimishwa keshokutwa…
TIMU nane zimetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la FA Kanda ya Unguja, zikiwemo klabu mbili kutoka Ligi Daraja la Kwanza ambazo ni Raskazone na Black Sailor, huku sita…
LICHA ya Malindi kuwa katika hatari ya kushuka daraja msimu huu, uongozi wa klabu hiyo umeweka wazi bado wana imani kubwa ya kubaki salama kwenye Ligi Kuu Zanzibar.
MABINGWA watetezi wa Kombe la Muungano kwa mchezo wa Nage, Fighters Nage Queens wamesema wako tayari kutetea ubingwa wao katika mashindano yatakayofanyika Aprili 23 hadi 27 mwaka huu.
MLANDEGE imeweka wazi dhamira yake ya kutwaa ubingwa wa Kombe la FA Unguja baada ya kufuzu robo fainali kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Inter Zanzibar.
WIZARA ya Maliasili na Utalii, imewahakikishia wawekezaji na wadau wa michezo ushirikiano wa kutosha kuwezesha ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya kisasa ili kuongeza thamani ya vivutio vya utalii vilivyopo…
UONGOZI wa Klabu ya Mbeya City, umetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Nizar Khalfa (Kocha Msaidizi)…
YANGA imeendelea kuwa tishio katika Ligi Kuu Bara ikishusha kipigo kingine kikali msimu huu, ikiichapa Mbeya City kwa mabao 6-0, huku ikiandika rekodi mbili.
MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Waziri Junior, amehitimisha ukame wa siku 560 ambazo ni sawa na mwaka mmoja, miezi sita na siku 13, za kufunga bao la Ligi Kuu Bara, tangu…
KOCHA mpya wa Coastal Union, Fikiri Elias, ameanza vyema maisha yake ndani ya kikosi hicho cha ‘Wagosi wa Kaya’, baada ya kushinda mechi mbili mfululizo za mashindano, tangu alipoteuliwa kuiongoza…
VURUGU kubwa zilizotokea katika dakika za nyongeza kwenye mechi ya hatua ya 16 bora ya Kombe la FA Unguja kati ya Muembe Makumbi na JKU, zimefanya mchezo huo kuvunjika, huku…
KAMISHENI ya Usimamizi wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, imezindua rasmi tovuti yake leo Alhamisi, Aprili 16, 2026, ambayo ina mfumo maalum wa kuratibu na kudhibiti masuala yote ya ngumi za…
ALIYEWAHI kuwa Kocha wa timu za soka hapa nchini ikiwamo Stand United 'Chama la Wana', Pamba (kwa sasa Pamba Jiji), Athuman Bilali 'Bilo', amefariki dunia huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.
KOCHA Fikiri Elias, ameanza na mguu mzuri ndani ya Coastal Union akifanikiwa kuweka rekodi ambayo watangulizi wake wameishindwa.
KUNA presha imeshushwa pale Yanga baada ya kurejea kwa mastaa muhimu wawili ambao walikuwa nje kwa sababu mbalimbali, huku kocha wa timu hiyo, Pedro Goncalves akifichua kwamba kutachangamka muda si…
MAANDALIZI ya mashindano yanayosubiriwa kwa hamu ya Kombe la Muungano yamezidi kushika kasi kufuatia kuthibitishwa kwa timu zote nane zitakazoshiriki.
KATIKA mechi mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu baina ya Simba dhidi ya Fountain Gate, yamezalishwa mabao sita ambayo yote yamefungwa na Wekundu wa Msimbazi.
BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 0-3 nyumbani kutoka kwa Yanga, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza, amekiri kwamba mechi hiyo imemuachia vidonda vingi.
KOCHA wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, amefikisha mechi tano za Ligi Kuu Bara bila ya ushindi tangu alipoteuliwa kukiongoza kikosi hicho, huku akikiri wazi ana kazi kubwa ya kukinasua…
KOCHA Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh, amekiri kusikitishwa na matokeo ya kufungwa 3-0 na Raskazone katika mechi ya Kombe la FA Kanda ya Unguja hatua ya 16 bora, huku lawama…
WABURUZA mkia katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, KMC, hali yao sio nzuri huku wakiendelea kupambana kuepuka kushuka daraja.
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka, amemwomba Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuisaidia Simba SC ili nayo ipate uwanja kama ilivyokuwa kwa watani wao wa jadi, Yanga.
WAKATI Dodoma Jiji ikiwa ugenini Jumatano hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga kucheza dhidi wenyeji wao, Coastal Union, Walima Zabibu hao ndio timu yenye kiwango bora zaidi kwa sasa…
WAKATI Singida Black Stars ikifuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, benchi la ufundi limesema hesabu zao msimu huu ni kupata tena tiketi ya kushiriki michuano ya CAF,…
BAADA ya kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza Fountain Gate, Fred Felix ‘Minziro’ na benchi lake la ufundi wanatarajia kuanza mtihani wao Jumatano hii watakapoikabili Simba katika mchezo wa Ligi Kuu.
NYOTA wa kikapu, Abdul Kakwaya amesema kwa sasa anasikilizia timu itakayohitaji huduma yake huku akiendelea kujifua kwa ajili ya ligi ya DBL.
ZAIDI zaidi ya 50 wenye umri chini ya miaka 18, wameshiriki katika mafunzo ya siku moja ya kikapu ya Mambo Youth Challenge, kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Zanaki,…