Beimbaya: Malengo ni kuiweka B19 mbali na Play-Off
KOCHA Mkuu wa B19 FC, Twaha Beimbaya amesema mwenendo wa timu hiyo kwa sasa unaridhisha na unawaweka katika malengo ya kukipigania kikosi hicho kutoka nafasi za kucheza mechi ya mtoano…
KOCHA Mkuu wa B19 FC, Twaha Beimbaya amesema mwenendo wa timu hiyo kwa sasa unaridhisha na unawaweka katika malengo ya kukipigania kikosi hicho kutoka nafasi za kucheza mechi ya mtoano…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…

BINGWA mtetezi wa Kombe la Muungano, Yanga imefanikiwa kurudi kwenye fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Azam FC kwa mabao 2-1, huku sasa ikiisubiri Simba au Mlandege.
SINGIDA Black Stars imeshaanza maisha jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa mapema kwenye mashindano ya Kombe la Mashndano na wakati inalia na mwamuzi inayedai aliwaharibia, lakini wasi-isahau Azam FC.
AZAM jana ilikuwa uwanjani ikicheza dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Muungani, lakini kabla ya mechi hiyo, kuna msimamo ameutoa kocha wao, Florent Ibenge juu…
MASHINDANO ya Kombe la Muungano yanaendelea leo utakapopigwa mchezo wa nusu fainali ya pili ikiwakutanisha Mlandege ya Zanzibar dhidi ya Simba itakayoingia na hesabu mbili muhimu kuamua nani atinge fainali…
HATIMAYE mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake, jana ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudia baada ya kuweka nyavuni mabao 24 kwenye mechi 14…
HATIMAYE mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake, jana ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudia baada ya kuweka nyavuni mabao 24 kwenye mechi 14…
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Fred Felix 'Minziro' amesema ushindi walioupata kwenye mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, umeongeza morali kwa wachezaji wake, huku akisisitiza kuwa…
OFISA Michezo Wilaya ya Chakechake iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba, Issa Adam Hamza, amewataka wananchi kuvitumia viwanja vinavyojengwa kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
MABOSI wa ZED FC ya Misri, wanafuatilia uwezekano wa kumsajili nyota wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, kwa ajili ya msimu ujao, licha ya mshambuliaji huyo mkataba wake kikosini hapo…
MABOSI wa ZED FC ya Misri, wanafuatilia uwezekano wa kumsajili nyota wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, kwa ajili ya msimu ujao, licha ya mshambuliaji huyo mkataba wake kikosini hapo…
KOCHA Msaidizi wa Mlandege, Sabri China, amekiri kuvutiwa na kiwango kizuri cha mshambuliaji wa timu hiyo, Mussa Hassan 'Mbappe' huku akisema ameona kitu kikubwa kutoka kwake.
TANGU kiungo wa kati Jonas Mkude, alipoachana na Yanga msimu uliopita 2024-2025, amekuwa kimya kwa muda mrefu huku mwenyewe akisema anachokifanya hivi sasa ni kwa ajili ya kurejea kazini 2026-2027.
KUNA mchezo mmoja wenye hadhi ya fainali utakaopigwa leo Uwanja wa Amaan kuanzia saa 2:15 usiku na Azam FC itakutana na bingwa mtetezi wa Kombe la Muungano, Yanga, katika nusu…
KUNA mchezo mmoja wenye hadhi ya fainali utakaopigwa leo Uwanja wa Amaan kuanzia saa 2:15 usiku na Azam FC itakutana na bingwa mtetezi wa Kombe la Muungano, Yanga, katika nusu…
MASHABIKI wa Simba wamemuona kiungo wao Mkenya Mohammed Bajaber ambaye dakika zake 45 zimewafurahisha huku kocha wake Steve Barker akielez hesabu zake kwa staa huyo.
SINGIDA Black Stars imekuwa timu ya kwanza kutoka LIgi Kuu Bara kutolewa kwenye mashindano ya Muungano ikiishia hatua ya robo fainali baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya…
KOCHA mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza, amesema matokeo ya hivi karibuni ya Fountain Gate yameanza kumpa wakati mgumu kuelekea mchezo ujao akimtaja kocha Fredi Felix ‘Minziro’ kuwa amewafanya wapinzani…
BAADA ya kitendawili cha wapi mechi ya Kariakoo Derby itapigwa. Hatimaye majibu yamepatikana na Simba imetangaza itaikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mei 3.
UHONDO wa Ligi ya Championship unaendelea wikiendi hii kwa mechi tano kupigwa leo Jumamosi na nyingine pia tatu kesho Jumapili, kuhitimisha raundi ya 23, ikiwa ni lala salama kwa kila…
BAADA ya New Stone kutembezewa kichapo katika mechi tatu kati ya 10 zilizosalia Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), timu hiyo rasmi imeshuka daraja na msimu ujao itashiriki Ligi Daraja la Kwanza,…
Khatimu Naheka SIMBA leo Aprili 23, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar, huku ikijikatia tiketi ya kwenda…
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda kushiriki mbio za Boston Marathon, huku akisema siri ya kufanya vizuri inatokana na jitihada ambazo amekuwa akifanya kwa…
HATIMAYE Mlandege FC imefanikiwa kuivalisha nguo Ligi ya Zanzibar, baada ya kuitupa nje ya mashindano ya Kombe la Muungano, Singida Black Stars kwa ushindi wa mabao 2-1.
AZAM FC imekuwa timu ya pili kukata tiketi ya kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Muungano ikiifuata Yanga, lakini kocha wa kikosi hicho chenye maskani yake Chamazi jijini…
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wameanza harakati za kukisuka kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao na kwa sasa wanafuatilia kwa ukaribu uwezekano wa kumpata kiungo…
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema afya ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Aisha Mnunka iko vizuri na hakuna shida kubwa aliyoipata.
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamondi, yupo hapa Zanzibar akiwa na ratiba zingine, lakini alipoangalia mechi mbili tu za Kombe la Muungano akatoka na mambo…
BAKARI Shime ambaye ni Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queens, ameita kikosi cha wachezaji 27 kinachoingia kambini kujiandaa…
BEKI wa kati wa Tanzania Prisons, Mkongomani Heritier Lulihoshi amesema bado hajajua hatma yake katika kikosi hicho, huku mkataba wake wa mwaka mmoja aliousaini na timu hiyo ukifikia tamati mwishoni…
KIUNGO wa kimataifa wa Zambia, Larry Bwalya sasa yuko hatua za mwisho kujiunga na Pamba Jiji baada ya pande zote kufikia makubaliano kutokana na sakata la awali lililokuwa limekwamisha dili…
AZAM FC imefanya kweli ikiichapa KVZ kwa mabao 2-0 na kukata tiketi ya nusu fainali ya Kombe la Muungano, ikiimfuata Yanga.
MASHINDANO ya Kombe la Muungano yanaendelea tena leo Alhamisi ambapo kutakuwa na mechi mbili kubwa zikihusisha Simba na Singida Black Stars zitakazokuwa na hesabu zinazoweza kuwakutanisha baadaye.
MASHINDANO ya Kombe la Muungano yanaendelea tena leo Alhamisi ambapo kutakuwa na mechi mbili kubwa zikihusisha Simba na Singida Black Stars zitakazokuwa na hesabu zinazoweza kuwakutanisha baadaye.
YANGA inapiga kotekote. Imempiga nyingi Mbeya City kule kwenye Ligi Kuu Bara, yakazuka maneno kwamba ushindi huo una walakini, ikatua hapa Zanzibar nako kuna timu ya Muembe Makumbi City ika-pigwa…