Manyerere aanika siri ya mafanikio kimataifa
ALIYEKUWA kamishna wa makocha wa Shirikisho la Mpira Kikapu nchini (TBF), Robert Manyerere amesema bila uwekezaji, ni ngumu kwa timu za Tanzania kufanya vizuri kimataifa.
ALIYEKUWA kamishna wa makocha wa Shirikisho la Mpira Kikapu nchini (TBF), Robert Manyerere amesema bila uwekezaji, ni ngumu kwa timu za Tanzania kufanya vizuri kimataifa.
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya michezo ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa viwango vinavyokubalika kimataifa.
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah, amevunja ukimya na kuamua kuweka wazi kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo kumuhusu yeye ikiwa imepita takribani mwezi mmoja na siku 20 tangu asimamishwe klabuni…
JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar imesema hivi sasa kila mechi kwao ni mapambano ya kusaka pointi tatu, huku ikikolezwa na ongezeko la bonasi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga…
KOCHA wa Kipanga, Khamis Makame ‘Kocha Meki’ amesema bado timu hiyo ina kazi ya kurekebisha upungufu uliojitokeza kwenye mechi dhidi ya New King iliyomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
TANZANIA inatarajiwa kupokea ugeni mzito siku chache zijazo baada ya kuthibitishwa ujio wa zaidi ya maskauti 10 kutoka Ulaya wakiwemo wawili kutoka Sweden huku nyota wa zamani wa Manchester United,…
Polisi visiwani Zanzibar limezungumzia kifo cha mwanaharakati wa mitandao ya kijamii kutoka Miami, nchini Marekani, Ashly Robinson (31), maarufu mtandaoni Ashlee Jenae.
KUTOKA hatua za mwanzoni hadi sasa tunapoizungumzia robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, zimebaki timu nane huku tukitarajia kushuhudia vita ya wakubwa pekee.
Mbwana Samatta jana Jumapili, Aprili 12, 2026 amefunga bao la kwanza akiwa na jezi ya Le Havre katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’ uliomalizika kwa sare ya…
USHINDI wa bao 1-0, ilioupata Yanga, Novemba 22, 2025, dhidi ya AS FAR Rabat, katika mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, imeiachia turufu muhimu timu…
BAADA ya Mashujaa FC, kumkosa aliyekuwa beki wa kati wa kikosi cha Coastal Union, Mzenji Haroub Mohamed, katika dirisha dogo la Januari 2026, inaelezwa mabosi wa maafande hao wanapambana naye…
Simba imetoka nyuma na kuichapa Dodoma Jiji kwa mabao 3-1, ikijihakikishia kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, huku Singida BS ikiitupa nje Mbeya City.
KOCHA wa maafande wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema licha ya mwenendo mzuri wa timu hiyo kwa sasa ila anataka kufikia rekodi ya msimu uliopita na kuandika nyingine mpya, baada…
KUNA taarifa za Azam FC kufanya mazungumzo ya kumsajili beki wa kulia wa Al-Hilal Omdurman, Steven Ebuela aliyezaliwa Machi 07, 2001 (umri wa miaka 25) ili kuongeza nguvu msimu ujao…
WADAU wa michezo Zanzibar, wamesema viwanja vinavyoendelea kujengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) vinapaswa kuwa mali ya umma na sio makundi machache yenye uwezo wa kifedha.
HATIMAYE mzunguko wa 22 wa Ligi Kuu Zanzibar umemalizika kwa timu ya KVZ kurejea kileleni mwa msimamo ikiiondoa Fufuni iliyodumu kwa wiki moja katika nafasi hiyo.
ILE vita ya Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, sasa inahamia kwenye Kombe la Shirikisho (FA Cup) kwa Black Sailors kupambana na Kundemba.
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Morice Sichone anayekipiga Gulf United inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Falme za Kiarabu amesema amekuwa na wakati mzuri tangu ajiunge na timu hiyo.
MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Husna Mpaja, anayekipiga She Corporate FC ya Uganda amesema hajafunga bao hadi sasa akiamini bado ana muda wa kutia mpira wavuni.
USAJILI wa mshambuliaji wa Kitanzania, Habib Kyombo kwenda Napsa Stars ya Zambia unatajwa kama moja ya sajili zitakazokwenda kuisaidia kumaliza ukata wa mabao kwenye eneo la ushambuliaji.
Beki wa kulia wa Salford City, Haji Mnoga amefunguka kwa nini aliamua kuichagua timu ya Taifa, Taifa Stars badala ya England alikozaliwa.
TIMU mbili zilizopanda daraja msimu huu katika Ligi ya Wanawake, Ruangwa Queens na Bilo FC, ziko kwenye hatari ya kushuka daraja kutokana na mwenendo wao msimu huu.
MRATIBU wa Yanga Princess, Kibwana Matokeo amewataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuwa na subira baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, kwani bado wana nafasi kubwa ya kuwania ubingwa wa…
TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeingia rasmi kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa FIFA Series dhidi ya Morocco.
KOCHA wa JKT Queens, Kessy Abdallah amesema kukosekana kwa mshambuliaji wake tegemeo, Winifrida Gerald kumewaathiri kwa kiasi kikubwa kutokana na umuhimu wake katika safu ya ushambuliaji.
Klabu ya michezo ya Dar es Salaam Gymkhana Club, kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imepiga hatua muhimu katika uhifadhi wa mazingira kwa kupanda miti 600, ikiwa…
YANGA imeijibu Simba kuhusu Mohamed Damaro anayeichezea kwa mkopo akitokea Singida Black Stars, huku rais wa klabu hiyo, Hersi Said akisema kuiingiza kwenye suala hilo ni kuikosea.
ALIYEKUWA Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema licha ya kuachana nayo hana kinyongo na jambo lolote, huku akisifia uhusiano mzuri aliokuwa nao kuanzia kwa wachezaji wa kikosi hicho…
RIPOTI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ya ukaguzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali…
KLABU ya Al Ittihad ya Misri imefikia makubaliano ya kumwajiri kocha wa zamani wa Yanga, Miloud Hamdi, mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ikiwa ni miezi miwili tangu alipojiuzulu…
ALIYEKUWA Kocha wa KenGold ya mkoani Mbeya, Fikiri Elias amefikia makubaliano ya kujiunga na kikosi cha Coastal Union hadi mwishoni mwa msimu huu akichukua nafasi ya Mohamed Muya, aliyeondoka Aprili…
BEKI na nahodha wa zamani wa Tanzania Prisons, Jumanne Elfadhil, amesema katika mechi 12 za Ligi Kuu Bara zilizobaki kwa timu hiyo, lolote linaweza kutokea, hivyo wachezaji wa kikosi hicho…
MAFUNZO imeendelea kuwa na wakati mgumu katika msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa KMKM.
KIPA wa zamani wa Fufuni, Idrissa Zungu, amemtaja mshambuliaji wa KVZ, Michael Joseph kama mchezaji aliyemsumbua zaidi kwenye Ligi Kuu Zanzibar wakati walipokutana.
SINGIDA Black Stars imemtangaza kocha mpya wa kikosi hicho, Papy Kimoto, akiwa na msaidizi wake Kapiten Ngoyi Dora ambao wote wamesaini mkataba wa mwaka mmoja na miezi mitatu.
MZUKA umeanza kupanda. Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Mbeya City kukusanya pointi nne katika michezo miwili, huku ikitoa matumaini kuwa kazi iliyobaki ni mchezo wa kesho dhidi ya Singida Black…
LIGI Kuu Bara imesimama kidogo na utamu unahamia Kombe la Shirikisho la CRDB na bingwa mtetezi Yanga inarudi uwanjani kutafuta hesabu za kulinda taji lake itakapokuwa mwenyeji wa wabishi wa…
WAKATI Fountain Gate ikithibitisha kuachana na Kocha wake Mohamed Laizer, uongozi wa timu hiyo umetangaza kumvuta kikosini Fredi Felix ‘Minziro’ kuiongoza timu hiyo kwa mechi zilizobaki Ligi Kuu.
BAADA ya kushuka daraja msimu wa 2024-2025, Mwenge SC ya kisiwani Pemba sasa mipango ni kuvunja ukuta ili kurejea Ligi Kuu Zanzibar.
WAKATI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiboresha miundombinu ya michezo kisiwani hapa, wadau wa michezo wameanza kuwajenga watoto kukuza vipaji vyao.