Kocha Hausung FC ajifungia na mastaa
KOCHA Mkuu wa Hausung FC ya Njombe, Selemani Kitunda Simota ‘Guardiola’, amesema amekuwa na kipindi kirefu cha kukaa na kuzungumza na wachezaji wa timu hiyo, huku malengo makubwa yakiwa ni…
KOCHA Mkuu wa Hausung FC ya Njombe, Selemani Kitunda Simota ‘Guardiola’, amesema amekuwa na kipindi kirefu cha kukaa na kuzungumza na wachezaji wa timu hiyo, huku malengo makubwa yakiwa ni…
MSHAMBULIAJI wa Mbeya Kwanza, Lucas Sendama, amesema kwa sasa anafurahia maisha mapya na timu hiyo tangu ajiunge katika dirisha dogo la Januari 2026, akitokea Tanzania Prisons, ingawa, hatima ya mkataba…
KICHAPO cha bao 1-0 ilichopokea Sebleni kutoka kwa Black Sailors katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, bado kinamtia simanzi kocha wa timu hiyo, Yahaya Yussuf.
WAWAKILISHI wa Championship, TMA FC ya jijini, Arusha, itakuwa na kibarua kigumu leo kuisaka rekodi mpya ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la CRDB, itakapocheza dhidi ya mabingwa…
BAADA ya mzunguko wa 14 wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) kutamatika juzi, Alhamisi, ligi hiyo itasimama siku 11 kwa ajili ya mapumziko mafupi ya ratiba ya mechi za kimataifa.
AZAM imeendelea kuangusha pointi katika Ligi Kuu Bara msimu huu kupitia matokeo ya sare baada ya kumaliza dakika 90 zingine bila kufungana ugenini dhidi ya Mbeya City.
SIMBA imeshindwa kupunguza gepu la pointi dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga, baada ya kubanwa mbavu leo Alhamisi Aprili 9, 2026 na TRA United, mechi ikipigwa Uwanja wa…
KUNA mechi mbili za Kombe la Shirikisho la CRDB (FA) hatua ya 16 bora zinachezwa leo Ijumaa ambapo JKT Tanzania itaikaribisha Mbuni kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar,…
KABLA ya kuondoka KMC Desemba 2025, Kocha Mbrazili, Marcio Maximo amesema kupitia usajili wa dirisha dogo la Januari 2026, lazima kikosi hicho kifanye maboresho ya kusajili wachezaji watakaoipambania timu kukaa…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mbeya City, Habib Kyombo, amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Klabu ya Napsa Stars ya Ligi Kuu Zambia.
KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) zinachezwa leo Ijumaa huku ile ya KMKM dhidi ya Mafunzo kwenye Uwanja wa Mao A kisiwani Unguja, imekaa kimtego ikisubiri kutoa hukumu…
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi City, Sheha Khamis amesema amefurahishwa kuona kikosi chake kimeondoka ugenini kisiwani Pemba na alama nne katika mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
BAADA ya Mtanzania, Joseph Junior Michael Joseph kupata nafasi ya kusajiliwa Celta Vigo ya Hispania katika kikosi cha vijana chini ya miaka 19 (Juvenil B), amesema haikuwa rahisi kufika hapo.
IMEELEZWA Fountain Gate imemuweka kando kwa muda kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail 'Laizer' kutokana na mwenendo usioridhisha wa matokeo ya timu hiyo.
Kocha wa Mashujaa FC ya mkoani Kigoma, Jamhuri Kihwelo 'Julio', amesema mchezo wa kesho Ijumaa dhidi ya Geita Gold katika mashindano ya CRDB Federation Cup hatua ya 16 bora, itakuwa…
KATIKA misimu mitano ya Ligi Kuu Bara, wachezaji wa kimataifa ‘maproo’ wameonekana kutawala kuwa vinara wa asisti, huku mzawa Feisal Salum ‘Fei Toto’ akikataa unyonge.
YANGA imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu Bara ikiichapa Pamba Jiji mabao 3-0 yaliyofungwa na Mudathir Yahya mawili na Maxi Nzengeli moja na kutanua rekodi ya mabingwa hao huku ikiivunja ya…
LIGI Kuu Bara Alhamisi hii, Aprili 9, 2026, inaendelea na kama utafuatilia basi tambua kwamba macho yote yatakuwa kule Kaskazini katika mikoa ya Arusha na Manyara ambapo kutakuwa na dakika…
LIGI Kuu Bara Alhamisi hii, Aprili 9, 2026, inaendelea na kama utafuatilia basi tambua kwamba macho yote yatakuwa kule Kaskazini katika mikoa ya Arusha na Manyara ambapo kutakuwa na dakika…
WAKATI KMC hali ikiendelea kuwa tete kwenye Ligi Kuu Bara, straika wa timu hiyo, Adam Uledi amesema iwapo atashindwa kuipigania timu kubaki basi kazi kubwa itakuwa ni kujipagania mwenyewe kubaki…
PAMOJA na kukiri ugumu wa ligi, Namungo imesema kati ya mechi 12 ilizobakiza inasaka japo pointi 18 ili kujihakikishia usalama, huku ikihitaji kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (FA).
Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City itaanza maandalizi ya kuziwinda Dola 150,000 (Sh388.2m) na ubingwa wa Afrika (BAL) Aprili 17.
JAHAZI la Klabu ya KMC kubakia Ligi Kuu Bara, linaendelea kuzama siku baada ya siku, kufuatia kikosi hicho kuchapwa bao 1-0, dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali na…
JAHAZI la Klabu ya KMC kubakia Ligi Kuu Bara, linaendelea kuzama siku baada ya siku, kufuatia kikosi hicho kuchapwa bao 1-0, dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali na…
Kocha wa Simba SC, Steve Barker, amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26 baada ya kuiongoza timu yake kupata matokeo chanya.
Coastal Union imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, Mohammed Muya kuanzia leo Jumatano, Aprili 8, 2026.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi kuwa mchezo namba saba (7) wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 kati ya TRA United FC na Simba SC utafanyika…
APRILI 8, 2026, mzunguko wa 13 wa Ligi Kuu Soka Wanawake Tanzania Bara (WPL) utaendelea kwa mechi sita zitakazopigwa zikitarajiwa kuwa na ushindani wa aina yake kutokana na timu zinazowania…
BAADA ya Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), kufanya droo ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA, imeweka wazi ratiba na Aprili 13…
BAADA ya beki wa kulia wa TRA United, Isaack Mtengwa kupewa dakika 80 za kucheza dhidi ya Singida Black Stars, amesema hiyo inazidi kumpa ukomavu.
BAADA ya Kocha Abdallah Mohamed ‘Bares’ kufikia makubaliano ya kuachana na KMC, amesema anaamini mbadala wake atakuwa na jambo la kushauri ili kuhakikisha timu hiyo inasalia Ligi Kuu Bara kwa…
MAZOEZI ya viungo, michezo na elimu ya afya vilitawala uzinduzi wa programu ya Wellness Day ya Benki ya CRDB, hatua inayolenga kuimarisha utimamu wa mwili na akili kwa wafanyakazi wake…
SIMBA imepanga kurudi tena katika Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kuomba kufanyike marejeo ya shauri lao kumuhusu mchezaji Mohamed…
WAKATI watu watatu wakipitishwa kuchuana kuwania urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kamisheni ya uchaguzi huo imeeleza sababu za kutupilia mbali rufaa ya Anthony Mtaka.
AfroPari inaendelea kuboresha jukwaa lake ili kuongeza uwezekano wako wa kushinda. Ndiyo maana kampuni hii ya kubashiri imezindua kipengele kipya cha Cyber ndani ya aplikesheni ya simu kwa ajili ya…
WAKATI mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakiwa hawajapoteza mechi katika ligi hiyo msimu huu, Ofisa Habari wa Pamba Jiji, Moses William amesema kikosi chao kinajipanga kuondoka na ushindi…