Orkeeswa yajifua Zanzibar kusaka uzoefu wa kimataifa
KOCHA Mkuu wa timu ya kikapu kwa wanawake ya Orkeeswa kutoka Arusha, Benjamin John amesema ushiriki wao katika mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation ni sehemu ya maandalizi ya kikosi…
KOCHA Mkuu wa timu ya kikapu kwa wanawake ya Orkeeswa kutoka Arusha, Benjamin John amesema ushiriki wao katika mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation ni sehemu ya maandalizi ya kikosi…
MENEJA Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar, Haji Haji, amesema Serikali ina mpango wa kujenga laini maalumu kutoka Mtoni hadi Mji wa Afcon (Afcon City) uliopo Fumba ili kuondosha changamoto…
LICHA ya KVZ kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mafunzo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Zanzibar, lakini ofisa habari wa timu hiyo, Abduljalil Mohamed amekiri kikosi chao hakikucheza vizuri…
BODI ya Ligi Zanzibar (ZLB) imesema imejipanga kuimarisha ulinzi kwa michezo yote iliyosalia ya Ligi Kuu Soka Zanzibar na Ligi Daraja la Kwanza ili kuhakikisha mashindano hayo yanaendeshwa kwa utulivu…
KOCHA Mkuu wa Mafunzo, Salum Ali Haji, amesema sababu ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) raundi ya 21 dhidi ya KVZ ni wachezaji wake kuumwa na tumbo la…
KITENDO cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kufungwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein, kimewaibua wadau ambao walikuwa na mitazamo tofauti ya nini kifanyike ili kupata matokeo mazuri.
KITENDO cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kufungwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein, kimewaibua wadau ambao walikuwa na mitazamo tofauti ya nini kifanyike ili kupata matokeo mazuri.
BAADA ya kukaa nje kwa takribani mwezi mzima, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Nassor Saadun, ameanza kufanya mazoezi na wenzake, ikiwa ni matumaini mapya pia kwa kikosi hicho kutokana na…
KIPA wa TRA United raia wa Gabon, Jean-Noel Amonome, amesema msimu huu umekuwa mzuri kwake na rahisi wa kusoma vizuri mazingira ya Ligi ya Tanzania, tofauti na mwanzo alipojiunga na…
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mkenya Yusuf Chippo, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Fredrick Magata, ndiye chaguo lake la kwanza kikosini hapo katika upigaji wa penalti msimu huu, labda…
INAWEZEKANA ulishawahi kusikia mchezo unaoitwa Kabaddi na unatamani kujua kiundani mchezo huo namna unavyochezwa au unaona unavyoochezwa lakini huelewi. Lakini unatakiwa ufahamu kwamba, ili kukusanya pointi, huko inabidi kazi kubwa…
WAKATI Dar City ikiichapa Johannesburg Giants ya Afrika Kusini katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika (BAL) juzi Ijumaa kwa pointi 100-70, Nisre Zouzoua alikuwa mwiba…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limesema lina mpango wa kuboresha maslahi ya waamuzi ili kuongeza ubora wa usimamizi wa michezo ya soka visiwani hapa. Maulid Mwita wakati akizungumza…
TIMU ya Uhamiaji, imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Black Sailors katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Ijumaa Machi 27, 2026 kwenye Uwanja wa Mao Zedong B, ikiwa…
TIMU 20 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, zinatarajiwa kushiriki michuano ya Afrika ya mchezo wa mpira wa kikapu kwa vijana yanayoanza kesho Jumamosi Machi 28, 2026.
DJIGUI Diarra jana alitangazwa kufungiwa michezo mitatu na Bodi ya Ligi baada ya kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar akiwa ni mchezaji…
Tanzania ambayo ilikuwa nafasi ya sita, sasa ipo nafasi ya tano huku Tunisia iliyokuwa nafasi ya tano ikishuka hadi ya sita.
WAKATI Ligi ya Championship ikisimama hadi Aprili 17, 2026 kwa ajili ya mzunguko wa 22, kocha wa timu ya B19 FC, Twaha Beimbaya amesema katika kipindi hiki anataka kukitumia vizuri…
KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya, amesema licha ya tofauti ndogo ya pointi na wapinzani wao msimu huu, wasitarajie kuwa rahisi kuikabili timu yake kutokana na mikakati imara waliyojiwekea…
Kipa wa Yanga, Djigui Diarra amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu na adhabu ya faini ya Sh4 milioni kutokana na makosa mawili tofauti ya utovu wa nidhamu aliyofanya katika mchezo…
Wakati mashabiki wa soka nchini Tanzania wakiendelea kutafuta majibu ya namna gani timu ya Taifa "Taifa Stars" imepoteza mchezo mbele ya Liechtenstein, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe,…
Taifa Stars imecheza mchezo wake wa kwanza wa Michuano ya Fifa Series na imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya nchi ndogo kisoka Liechtenstein.
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema miongoni mwa makocha bora na wa kisasa anaowatazama zaidi katika Ligi Kuu Bara na kuvutiwa na kazi wanazofanya, ni Mrundi Etienne Ndayiragije…
BEKI wa kati wa Mbeya City, David Mwasa amesema licha ya presha wanayopitia ya matokeo yasiyoridhisha, suala la timu hiyo kushuka daraja ni ndoto kwani mechi zilizobaki zinaweza kubadili upepo…
UTAMU wa Ligi Kuu Zanzibar unarudi kesho Jumamosi Machi 28, 2026, ambapo Mafunzo itatoana jasho na KVZ huku Kipanga ikivaana na Zimamoto, keshokutwa Jumapili Machi 29, 2026.
LICHA ya kutofanya vizuri msimu huu katika kikosi cha Namungo FC, ‘Wauaji wa Kusini’, mshambuliaji wa timu hiyo, Abdulaziz Shahame ‘Haaland’ amesema bado ana vitu vingi vya kujifunza, kutoka kwa…
WIZARA ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, imeingia mkataba wa miaka 15 na kampuni ya Bahari Leisure kwa ajili ya kuendesha Viwanja vya Wilaya na Mkoa vilivyopo Unguja na…
NDOTO za vijana wanaopenda soka kutoka mtaani zimepata fursa mpya kufuatia ushirikiano kati ya Yanga na kampuni ya Emwani ambao utawafanya kupata nafasi ya kujiunga na mradi wa Yanga Soccer…
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema kukosa balansi katika eneo la kujilinda na ushambuliaji ndio sababu kubwa ya kikosi hicho kutokuwa na mwenendo mzuri msimu huu, japo, anaridhishwa na…
INAELEZWA kwamba, mshambuliaji wa Coastal Union, Adam Salamba, ameamua kujiweka kando na timu hiyo kwa sasa, baada ya kudaiwa hajamaliziwa kiasi cha fedha za usajili walizokubaliana awali, tangu amejiunga na…
VIWANGO vizuri vinavyoonyeshwa na makipa watatu wa Azam, Aishi Manula, Zuberi Foba na Issa Fofana, vimempa matumaini makubwa ya kufanya vizuri kocha mkuu wa kikosi hicho, Mkongomani Florent Ibenge, katika…
KOCHA wa Singida Black Stars, Mkenya David Ouma amesema safu ya ushambuliaji ya timu hiyo inatakiwa kuongeza umakini wa kutumia vizuri nafasi zinazotengenezwa, huku washambuliaji, Elvis Rupia na Joseph Guede,…
TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’, leo itakabiliana na Liechtenstein katika mechi ya Fifa Series kwenye Uwanja wa Kigali Pele nchini Rwanda kuanzia saa 11:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
TIMU ya Mafunzo, imeanza kujinoa kwa ajili ya kumaliza vizuri msimu huu wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) katika mechi kumi zilizobaki ambapo itaanza na KVZ.
KIUNGO mshambuliaji wa Coastal Union, Cleophas Mkandala amesema licha ya kiwango bora alichonacho kwa sasa, lakini hafurahishwi na matokeo ya jumla ya timu hiyo akikiri kuwa inahitajika nguvu ya ziada…
KIUNGO wa Singida Black Stars, Khalid Aucho, ametoa wito kwa waumini wa Kiislamu kuendeleza mema waliyoyafanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan hata baada ya kumalizika kwa mfungo huo.
WAZIRI wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga, ametoa wito kwa sekta binafsi kudhamini ligi za soka kutoka madaraja ya chini.
BAADA ya kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya dunia ya Kabaddi Wanawake, timu ya taifa ya Zanzibar imesema inajipanga upya ili wakati ujao ifike mbali zaidi.
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Miguel Gamondi amesema kikosi chake kipo katika maandalizi mazuri kuelekea mashindano ya FIFA Series, akisisitiza lengo kuu ni kujenga timu yenye…