Mzunguko wa pili Ligi Kuu Wanawake kuanza leo
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) unarejea leo baada ya mapumziko ya mwezi mmoja wa kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) na lile la Afrika (CAF)…
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) unarejea leo baada ya mapumziko ya mwezi mmoja wa kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) na lile la Afrika (CAF)…
KIUNGO wa zamani wa Azam, Masoud Abdallah ‘Cabaye’ amesema kuwa kocha waliyenaye kwa sasa ni mtu sahihi sana, ila anahitaji muda ili kukijenga zaidi kikosi hicho.
KIUNGO wa kati wa Singida Black Stars, Ahmed Bakari ‘Pipino’ amesema siyo kitu rahisi kupata nafasi ya kucheza katikati ya mapro anaoshindana nao namba, kinachombeba ni nidhamu, bidii na kutokata…
MICHUANO ya mpira wa kikapu ya Asma Mwinyi Next Generation imefikia tamati kwa timu tatu kung’ara zikitwaa ubingwa katika rika tofauti.
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itaendelea kuimarisha viwanja vya michezo visiwani humo kwa lengo la kuibua vipaji…
WAKATI mzunguko wa 21 wa Ligi Kuu Zanzibar ukiendelea jana Alhamisi Aprili 2, 2026 baada ya kusimama kwa siku tatu, timu ya Junguni bado haijapata kocha mkuu wa kumalizia mechi…
KIUNGO mkabaji wa timu ya KMKM, Imran Mohammed Abdalla ‘Jaba’ amesema kati ya msimu ambao hawezi kuusahau ni huu wa 2025-2026 kwa jinsi timu hiyo ilivyopitia kwenye nyakati ngumu za…
DAR City na Petro de Luanda ya Angola zinatarajiwa kuonyeshana kazi katika mechi ya Ligi ya Kikapu ya Afrika (BAL) inayotazamiwa kutoa mwelekeo wa mabingwa wa Ligi ya Kikapu Dar…
Simba imefanikiwa kusogea hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na uahindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union.
Baada ya misimu mitatu yenye mafanikio ndani ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, kiungo mkabaji Salum Abubakar “Sure Boy” ameamua kuondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
SIMBA inarudi uwanjani ikiwa mwenyeji wa Coastal Union kwenye mchezo wa 16 baina ya timu hizo, lakini Wagosi wa Tanga, hesabu zinaonyesha, inaweza kuwa mechi ngumu kwao.
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amesema bao lake la kwanza katika timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ limempa faraja na sasa anarejea kwa waajiri wake akiwa na lengo la kufunga…
Timu ya kikapu ya Al Ahly Ly kutoka Libya juzi usiku iliipunguza kasi Dar City kwa kuifunga pointi 118-97 katika Ligi ya Kikapu Afrika (BAL), mchezo uliofanyika katika uwanja wa…
Mbeya City imetenga Sh10 milioni kwa wachezaji ili kuwahamasisha waibuke na ushindi katika mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya KMC kesho, Ijumaa, katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati, Manyara.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Zanzibar (ZFF) linahitaji jumla ya Sh1.2 billioni kwa ajili ya mashindano ya ligi ya Muungano yanayaotarajiwa kuanza Aprili 21 hadi 27 katika Uwanja wa…
SAFARI ya kupambania kukata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokea Unguja, imepamba moto huku vinara wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors wakitoka uwanjani na…
WAKATI Tanzania Prisons ikiendelea kujifua kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga, kipa wa timu hiyo, Edward Mwakyusa, amesema mechi hiyo ni ya kufa au kupona…
PALE Uwanja wa Airtel, Singida, kuna patashika ya ubora ambapo wenyeji, Singida Black Stars, wataikaribisha Azam FC katika mchezo utakaobeba vita ya ubora wa wachezaji na ufundi wa makocha wa…
YANGA ilianza mazoezi juzi kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, na kocha Pedro Goncalves wala hana presha ya kumkosa kipa namba moja Djigui Diarra, huku akiridhishwa na…
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imesema imejipanga kutumia fursa ya mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027), kutangaza vivutio vya utalii na historia ya kipekee ya eneo hilo,…
TIMU ya Taifa ya Wanaume ya Kriketi imetawazwa kuwa mabingwa wa mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia la T20, Kanda ya Afrika B, ICC Men’s T20 World Cup Sub Regional…
MCHEZA gofu, Gervas Wilbroad, ameibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya saba ya kimataifa ya Diplomatic Golf mjini hapa baada ya kujikusanyia pointi 43 kwa siku mbili.
WAKATI mashabiki wa mpira wa kikapu barani Afrika wakielekeza macho yao huko Afrika Kusini kwenye michuano ya Basketball Africa League (BAL), timu ya Dar City iko katika nafasi nzuri ya…
WAKATI mashabiki wa mpira wa kikapu barani Afrika wakielekeza macho yao huko Afrika Kusini kwenye michuano ya Basketball Africa League (BAL), timu ya Dar City iko katika nafasi nzuri ya…
Ligi ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kurejea Aprili 03 kwa mechi za mzunguko wa pili, huku Simba Queens ikianza kampeni yao kwa kuvaana na Bilo Queens.
Ligi ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kurejea Aprili 03 kwa mechi za mzunguko wa pili, huku Simba Queens ikianza kampeni yao kwa kuvaana na Bilo Queens.
Kichere amesema kuwa kiwango cha fedha kilichotarajiwa kutumika katika ujenzi wa Uwanja huo ni kidogo kulinganisha na kile kilichosainiwa katika mkataba wa ujenzi huo.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu.
Baada ya kuiongoza Taifa Stars katika mechi tano zilizopita bila ya ushindi sawa na dakika 450, hatimaye kocha, Miguel Gamondi ameonja ushindi wake wa kwanza katika mechi ya kimataifa dhidi…
MABINGWA wa kikapu wa Tanzania, Dar City wanatarajiwa kushuka tena dimbani kesho watakapokutana na Al Ahly Ly ya Libya katika mwendelezo wa mashindano ya BAL 2026 nchini Afrika Kusini.
BAADA ya kusajiliwa na Riga FC ya Latvia, kiungo mshambuliaji Abdu Mandeke amesema malengo yake yametimia kutua barani Ulaya, lakini anatamani kucheza na kuonyesha kiwango bora ili kimfungulie njia zaidi.
MSHAMBULIAJI Mtanzania Said Khamis Said Jr anayekipiga katika timu ya Imigresen ya Ligi Kuu Malaysia ameamua kupigania kiatu cha dhahabu katika mashindano hayo akimkimbiza polepole anayeongoza kwenye msimamo wa wafungaji…
MSHAMBULIAJI wa Al Nassr ya Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia, Clara Luvanga amefikia rekodi yake ya msimu uliopita ya kufunga mabao 21 kukiwa bado mechi mbili za kumaliza mashindano…
Kiungo wa Mtanzania anayeitumikia Shamakhi ya Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema changamoto ya waamuzi katika mechi za mashindano haipo Bara pekee, bali ipo hadi kwenye anayocheza.