Mani Gamera anavyoleta mageuzi soka la Zanzibar
BURUDANI ya Soka Zanzibar haitegemei wachezaji pekee wakiwa uwanjani, badala yake hata baadhi ya makocha wamekuwa kivutio kwa mashabiki wa mpira visiwani hapa.
BURUDANI ya Soka Zanzibar haitegemei wachezaji pekee wakiwa uwanjani, badala yake hata baadhi ya makocha wamekuwa kivutio kwa mashabiki wa mpira visiwani hapa.
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umetangaza kumrudisha ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo, Abdihamid Moallin ili kusaidiana na Pedro Goncalves.
BAADA ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na kati (CECAFA) kuahirisha mashindano ya soka la ufukweni, timu ya Taifa ya Ufukweni Zanzibar maarufu Zanzibar Sand Heroes imesema bado…
WAKATI mashindano ya gofu kwa chipukizi Afrika yakianza jana Jumatatu nchini Kenya, Benki ya NCBA imejitolea kuwadhamini watoto wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo.
SERIKALI ya Tanzania imesema imejipanga kuendeleza sekta ya michezo nchini, hususan mpira wa kikapu, kufuatia hatua ya taifa kuandika historia kwa kushiriki mashindano ya Afrika (BAL) kwa mara ya kwanza…
Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi…
KOCHA wa Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, amesema kuwa kikosi hicho hakitakuwa na muda wa mapumziko kwani anahitaji kufanyia kazi eneo la utulivu kwa wachezaji wake.
KOCHA wa Coastal Union Mohamed Muya ameweka wazi mkakati wake kuelekea kipindi hiki cha mapumziko, huku akisisitiza umuhimu wa kucheza mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kurejea kwenye…
KOCHA wa Mbeya City, Mecky Maxime amesema anahitaji kulifanyia kazi zaidi eneo la saikolojia kwa wachezaji wake ili waweze kuwa na utulivu wanapokuwa uwanjani.
SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha taji linarudi msimu huu.
KATI ya timu za vikosi zinazoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ambazo hazijawahi kubeba ubingwa wa ligi hiyo, KVZ ni mojawapo tangu kuanza kwa ligi hiyo mwaka 1984. Nyingine ni Uhamiaji.
KOCHA Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh, amesema licha ya kuwepo ugumu wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026, lakini sio sababu ya kuacha kupigania malengo yao.
UNA mabao ya Yanga yapo nje kutokana na mitambo ya mabao kupata majeraha na kupewa muda wa kupumzika ili kutibiwa irejee kwenye ufiti. Kukosekana kwao kumechambuliwa na watalamu jinsi inavyoleta…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema lengo la kuwekeza fedha nyingi kwenye sekta ya michezo ni kuhakikisha inakuwa msingi unaowezesha kukuza vipaji, kuongeza ushindani na kuifikisha Zanzibar katika viwango…
MISIMU mitano ya Ligi Kuu Bara imekuwa ikitawaliwa na mastaa wakubwa kutoka nje ya nchi wakitwaa kiatu cha ufungaji bora mara tatu, lakini kwa sasa inaonekana mambo yanaweza kubadilika na…
BODI ya Ligi Zanzibar (ZBL), inatarajia kufanya marekebisho ya kanuni za mashindano ili kuruhusu timu za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutumia viwanja vya Bara kwa ajili ya mechi.
Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
SIMBA imefanya umafia baada ya kumsajili kiungo wa Singida Black Stars, Kevin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili zikiwa ni siku chache tangu walipogomewa saini yake.
SIMBA imefanya umafia baada ya kumsajili kiungo wa Singida Black Stars, Kevin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili zikiwa ni siku chache tangu walipogomewa saini yake.
YANGA inarudi uwanjani leo ikiendelea na ziara ya mechi za ugenini itakapokutana na Mtibwa Sugar na timu zote mbili zitakuwa na akili moja tu ya kushinda ili kujiweka kwenye nafasi…
Simba juzi Alhamisi, Machi 19, 2026 ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
KOCHA wa TMA FC, Mzanzibar Haji Ali Nuhu, amesema hadi sasa hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa kati yake na uongozi wa Yanga, kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu za…
JKU imetamba mafanikio yanayopatikana ni kutokana na nidhamu iliyopo baina ya wachezaji na viongozi na wanachofanya hivi sasa ni kuhakikisha wanarudisha ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar.
WAAMUZI Hussein Katanga kutoka Tabora na Ally Mnyupe wa Morogoro, wamekumbana na adhabu za kufungiwa kutokana na makosa yaliyotokea kwenye michezo waliyochezesha.
WAKATI za Yanga na Simba zikiwa miongoni mwa timu shiriki za Kombe La Muungano 2026, imeelezwa uwepo wao utaleta ushindani na kuongeza hadhi kwa mashindano hayo.
WAKATI jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao…
DAKIKA 1530 katika mechi 17 za Ligi Kuu Bara msimu huu alizocheza beki wa kati wa Namungo FC, Hussein Kazi, amesema zimemwongezea kitu kikubwa, tofauti na msimu uliopita akiwa Simba…
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Mkenya, David Ouma amesema kukosekana kwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Marouf Tchakei, ni pigo kubwa kwa timu hiyo, ingawa ni nafasi pia nyingine…
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri…
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu Bara, lakini bado wana nafasi ya kubadilisha upepo mbaya unaowaandama, kutokana…
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Cyprian Kachwele amejiunga na Halifax Wanderers FC ya Ligi Kuu Canada kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Whitecaps FC 2.
MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao.
YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo…
KOCHA wa Mbeya City, Mecky Maxime amewapa nguvu mashabiki wa timu hiyo huku akiwaambia kwamba bado anaamini kikosi hicho kitarudi kwenye ubora wake licha ya kupoteza mechi iliyopita.
LICHA ya kuachana na kikosi cha KMC, kocha Marcio Maximo amesema bado anaiombea dua njema timu hiyo ibaki Ligi Kuu Bara.
KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi ametangaza kikosi cha wachezaji 25 akiwemo kipa Aishi Manula wa Azam kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026 ambayo itachezwa Kigali nchini Rwanda.