TRA United v Yanga mechi za kimkakati
MSAKO wa pointi tatu kwa Yanga unaendelea leo huku ikiwa na wimbi kubwa la mastaa majeruhi ambapo wameongezeka wengine wanne na kufikia sita, baada Clement Mzize na Dickon Job kuwa…
MSAKO wa pointi tatu kwa Yanga unaendelea leo huku ikiwa na wimbi kubwa la mastaa majeruhi ambapo wameongezeka wengine wanne na kufikia sita, baada Clement Mzize na Dickon Job kuwa…
WAKATI Pamba Jiji ikijipanga kuipokea Simba SC, kocha wa kikosi hicho, Francis Baraza amesema kazi kubwa waliyonayo ni kuwashika wekundu hao pabaya.
KATIKA kipindi hiki kirefu ambacho JKT Tanzania haina mechi ya mashindano, kocha mkuu wa kikosi hicho, Ahmad Ally ameweka wazi mpango wao kuhakikisha hawatoki kwenye mstari.
STRAIKA wa Coastal Union, Abdulkarim Segeja, amesema licha ya kuanza vibaya msimu huu, lakini kwa sasa timu imeonesha mabadiliko na mechi zilizobaki mkakati wao ni kutopoteza pointi.
PAMOJA na kukiri kuwa na matokeo yasiyoridhisha, Nahodha wa zamani wa Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amesema bado ni mapema kuikatia tamaa timu hiyo, huku akiwatwisha zigo wakongwe na mastaa wa…
DAR City ikiwa katika maandalizi kwa ajili ya Ligi ya Kikapu Africa (BAL) 2026, meneja wa timu hiyo, Simon Joe amesema wanajipanga kufanya makubwa katika mashindano hayo wakilenga kutoa ushindani…
KIPA wa Mashujaa FC, Patrick Munthali ndiye aliyekuwa kinara wa clean sheet akifikisha 12 kwa wazawa msimu uliopita Ligi Kuu Bara, ambapo amezungumzia ugumu wa kuifikia rekodi hiyo.
MSHAMBULIAJI wa Yanga Laurindo Dilson 'Depu' amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2025/26, huku kocha wa Simba, Steve Barker akichaguliwa kuwa…
MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye…
MABOSI wa Singida Black Stars, wameanza kumfuatilia kiungo mshambuliaji wa Gor Mahia FC ya Kenya, Mghana, Enock Morrison, ambaye hadi sasa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya huko alipo, baada…
TIMU ya Malindi FC inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, imepoteza matumaini baada ya kutoka kuwania ubingwa wa ligi hiyo hadi kupambana isishuke daraja.
KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ambaye alikuwa miongoni mwa watazamaji wa dabi ya Ligi Kuu Bara kati ya Azam na Yanga, amesema mchezo huo haukuwa na kiwango cha kuvutia.
LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga…
STAA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Shaban Kisiga aliwahi kusema kipaji kinakijua kipaji kingine hata kama wachezaji wanacheza timu tofauti.
Timu ya Mbeya City imeshindwa kutamba ikiwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-1, dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi…
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Jafary Maneno, amewataja baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara anaowakubali na kwamba anajifunza mengi kutoka kwao.
KATIKA Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), bado waamuzi wameendelea kuteseka kwa kuchezea vipigo kutoka kwa mashabiki, viongozi na hata wachezaji.
MTANZANIA mwingine Emmanuel Mlefu amejiunga na Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki kwa mkataba wa miaka miwili.
SAFARI ya kinda wa Kitanzania, Gwakisa Mwakipesile imeanza kuonja ladha ya ushindani wa soka katika Ligi Kuu ya Vijana England baada ya kucheza mechi yake ya kwanza kwa walio na…
KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni.
BEKI wa Tanzania, Julietha Singano ameandika rekodi ya kuwa miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi katika kikosi cha FC Juarez Femenil kinachoshiriki ligi ya wanawake ya Mexico.
ULE uhondo na utamu wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) unatarajiwa kuendelea Machi 28, 2026 baada ya ligi hiyo kusimama kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaokaribia ukingoni.
ALLIANCE Girls imeingia kambini rasmi Ijumaa kuanza maandalizi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayotarajiwa kurejea April 03, huku uongozi wa timu hiyo ukianza mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya…
ALLIANCE Girls imeingia kambini rasmi Ijumaa kuanza maandalizi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayotarajiwa kurejea April 03, huku uongozi wa timu hiyo ukianza mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya…
INAELEZWA Ceasiaa Queens imemwongeza aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma kukiongoza kikosi hicho kuelekea mzunguko wa p
KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Abdallah Kessy amesema anapanga kucheza mechi za kirafiki zisizopungua tatu kabla ya kurejea kwa ligi ili kuipima timu na kujua changamoto.
KAIMU kocha mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' amesema kwa sababu ya majeruhi, walikuwa na uhitaji wa mshambuliaji dirisha dogo.
AZAM na Yanga zinakutana tena uwanjani Jumapili hii Machi 15, 2026 katika msako wa pointi tatu ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kupita kipindi cha takribani siku 61 tangu…
KUNA mechi kubwa itapigwa Jumapili hii Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo wenyeji Azam FC watakapokutana na bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, nenda kaone ufundi…
VINARA wa Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors, wamesema msimamo umekuwa hamasa nzuri ya kuanza mazoezi kwa ari zaidi.
LICHA ya kiwango bora kinachoonyeshwa na mshambuliaji nyota wa Fountain Gate, Mnigeria Chukwunonye Obasi, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kutomchezesha dakika nyingi ni kutokana na…
KOCHA wa maafande wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema licha ya timu hiyo kukaa kwa zaidi ya mwezi mmoja bila ya kucheza mechi za kiushindani, ila haitaathiri programu mbalimbali za…
KOCHA wa Yanga, Mreno Pedro Goncalves inadaiwa anataka kulipeleka Shirikisho la Soka la Angola (FAF) katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile kinachodaiwa bado linamtambua ni mkufunzi kimkataba,…
Mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya Simba dhidi ya TRA United umeahirishwa kutokana na miundombinu ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kujaa maji kutona na mvua zinazonyesha maeneo mbalimbali…
KUELEKEA mechi ya Dar es Salaam Dabi, itakayopigwa kesho Machi 15, kocha wa Azam, Florent Ibenge, ametaja sifa tatu za wapinzani hao huku akisema kuwa kocha wa Yanga, Pedro Goncalves…