Tanzania yalipa CAF zaidi ya Sh80 Bilioni uwenyeji AFCON 2027
Serikali ya Tanzania imelipa Dola Milioni 32 (zaidi ya Sh80 Bilioni) kwa Confederation of African Football (CAF) kama sehemu ya masharti ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya Africa Cup of…
Serikali ya Tanzania imelipa Dola Milioni 32 (zaidi ya Sh80 Bilioni) kwa Confederation of African Football (CAF) kama sehemu ya masharti ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya Africa Cup of…
LICHA ya timu ya New Stone Town kuvuna alama tatu kwenye michezo 20 iliyocheza, bado ina matumaini ya kubaki salama katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), huku hesabu zao ni kushinda…
KATIKA kuhakikisha Pemba inafunguka kimichezo, Bodi ya Ligi Zanzibar (ZBL) ipo katika mazungumzo ya kuomba kuutumia uwanja mkubwa wa Gombani katika raundi 10 zilizosalia za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
LAURINDO Aurelio 'Depu' amempatia kocha Pedro Goncalves kile alichohitaji baada ya kufunga bao pekee wakati Yanga ikiichapa Tanzania Prisons.
WAWAKILISHI wa mshambuliaji wa Namungo FC, Mkongomani, Fabrice Ngoy wamepokea mkataba mpya kutoka kwa uongozi wa kikosi hicho cha Wauaji wa Kusini ambao wanataka wakamilishe dili hilo mapema, kabla ya…
BEKI wa kati wa TRA United, Chamou Karaboue, ameendeleza rekodi bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya nyota huyo kufikisha mabao mawili, ambayo yote ameyafunga dhidi ya ‘Wauaji…
WAKATI Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zitakazokuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejiandaa vizuri kupokea ugeni huo kwa…
BAADA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga na Simba, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji wake kusahau matokeo hayo na…
SISI hapa kijiweni kazi yetu ni kutoa ushauri tu halafu mwisho wa siku tunamuachia muhusika mwenyewe achague kuufanyia kazi au kuachana nayo.
WOTE katika kijiwe chetu leo tumekubaliana kuwa Rushine De Reuck ni usajili mzuri sana ambao Simba wameufanya msimu huu kutokana na mchango mkubwa anaoutoa katika safu ya ulinzi ya timu…
KUNA suala huwa linatukera sana hapa katika maskani yetu nalo ni tabia ya wachezaji au timu fulani kupenda kupoteza muda pindi wanapocheza baadhi ya mechi.
WAKATI timu zikisubiri kutangaziwa tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), timu zitakazoshindwa kujipanga vizuri huenda zikajikuta zikikumbana na vichapo vya kushangaza kutokana na…
MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya Kikapu Mkoa…
JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet.
BAADA ya kucheza mechi mbili za ugenini kwa dakika 180 ikiambulia pointi mbili, Azam FC imeamkia kwa Dodoma Jiji kufuatia kuichapa mabao 3-0.
Soma zaidi hapa!
ZILE vurugu zote za wapi mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons na Yanga itachezwa, zimezimwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) iliyopangwa ipigwe Jamhuri, Dodoma huku…
KIPA wa Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Hamad Ubwa ‘Baro’ amesema ana kibarua cha kutetea ubingwa na timu hiyo na kuwa kipa bora wa msimu.
SERIKALI imesema itakiunga mkono kituo cha Olympafrica Zanzibar kilichopo visiwani hapa kwa kukifanyia maboresho ya miundombinu kwani kinakuza vipaja vya michezo kwa watoto.
KICHAPO cha mabao 2-0 ilichopokea Namungo kutoka kwa TRA United, kimeifanya timu hiyo kutoka Ruangwa mkoani Lindi kufikisha mechi saba mfululizo za Ligi Kuu Bara bila ushindi.
NI Elie Mpanzu ambaye dakika 15 za mwisho zilitosha kwake kuimaliza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 11, 2026 ambayo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1…
WAKATI Mbeya City ikitimkia Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara kwa ajili ya mechi yake dhidi ya Singida Black Stars, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonesha kuridhishwa na ubora wa…
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai amesema shirikisho hilo linaendelea na jitihada za kuleta mabadiliko katika Ligi Kuu Soka Zanzibar ili kutambulika zaidi Afrika.
Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam.
ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, timu hizo zimetajwa kati…
BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea safari yake mpya namna alivyo na kazi ya kuhakikisha mchango wake unakuwa…
WAKATI Ligi Kuu ya Zanzibar ikisimama kwa ajili ya kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku ikitarajiwa kuendelea Machi 28, 2026, Kocha Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh amesema timu…
KATIKA mpango wa kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana, Yanga imeonyesha kuwa siriazi na jambo lake baada ya kumchomoa Kocha Mohamed Badru huko Uingereza ambako alikuwa akiinoa May & Baker…
Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa Sokoine kwa kukosa sifa ya kuchezewa mechi za mashindano yaliyo chini ya shirikisho hilo, Tanzania Prisons imehamishia mechi…
Pamoja na kufuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, Mbeya City imefuta gundu katika Uwanja wa Sokoine kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Bandari FC…
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kombe la Shirikisho la CRDB (FA), Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndiye kinara anayehusika kwenye mabao hadi sasa akikaribiwa na mshambuliaji wa Yanga, Prince…
WACHEZAJI wanaocheza timu za Ligi Kuu Bara, wameanza vyema katika Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya kufunga 'Hat-Trick' tatu hadi sasa, ikiwa ni idadi kubwa kwa nyota hao…
Mwamuzi Amin Mohamed Amin Omar wa Misri, aliyewahi kuchezesha mechi ya 'Kariakoo Derby' kati ya Yanga dhidi ya Simba iliyopigwa, Juni 25, 2025, amechaguliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa…
SIMBA Queens imeingia kambini mapema kuanza maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini, huku benchi la ufundi likieleza lengo kubwa ni kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri…
ALIYEWAHI kuwa kocha mkuu wa JKT Queens, Esta Chabruma amewaasa mabinti wanaocheza soka kuendelea kupambania ndoto zao bila kukata tamaa licha ya changamoto wanazokutana nazo njiani.
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu hiyo ni kuvuna pointi 18 katika mechi sita za nyumbani zilizosalia ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumaliza nne bora.