Mzenji kumrithi Kondo TMA Stars
TIMU ya TMA FC ya jijini Arusha, iko katika hatua za mwisho za kumuajiri kocha Mzanzibari, Haji Ali Nuhu, ili kukiongoza kikosi hicho cha Championship hadi mwishoni mwa msimu huu,…
TIMU ya TMA FC ya jijini Arusha, iko katika hatua za mwisho za kumuajiri kocha Mzanzibari, Haji Ali Nuhu, ili kukiongoza kikosi hicho cha Championship hadi mwishoni mwa msimu huu,…
MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Hassan Mwaterema, amesema siri ya mwenendo mzuri kwa kikosi hicho hadi sasa katika Ligi ya Championship msimu huu, ni kutokana na ushindani mkali kutoka kwa wapinzani…
ALIYEKUWA Kocha wa Songea United, Meja Mstaafu, Abdul Mingange, amesema ameamua kuachana na timu hiyo kwa makubaliano ya pande mbili, licha ya kutofikia malengo aliyojiwekea tangu mwanzoni mwa msimu ya…
Kahama. Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mwaka huu 2026, unatarajiwa kufanyika wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa siku mbili, Februari 27 na 28, huku wadau zaidi ya 600…
KATIKA mabao mawili ya Ligi Kuu aliyofunga kiungo wa Coastal Union, Cleophace Mkandala, yote ameifunga Tanzania Prisons, ambapo nyota huyo aliwahi kukitumikia kikosi hicho cha maafande, kabla ya kuondoka na…
BEKI wa kushoto wa TRA United, Valentin Nouma, ameanza vyema maisha yake mapya ndani ya kikosi hicho, baada ya kuifungia timu hiyo bao moja na la ushindi wa 1-0, dhidi…
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Florent Ibenge, anasema baada ya kumalizana na michuano ya kimataifa, kazi iliyosalia ni kuhakikisha timu hiyo haiachwi hata pointi moja na Simba na…
BAADA ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Magnet FC, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda, amesema umerudisha morali kwa wachezaji ikijiandaa kuipokea Yanga keshokutwa Jumapili.
PAMOJA na kuchekelea matokeo ya ushindi katika mechi mbili mfululizo, Tanzania Prisons inakabiliwa na kibarua kingine kigumu wikiendi hii itakapoialika Simba kwenye Uwanja wa Sokoine kwa mechi ya Ligi Kuu…
BAADA ya JKT Tanzania kushinda mabao 7-0 mbele ya wakongwe wa soka na mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Bara na ile ya Muungano miaka ya 1980, Pan Africans kwenye…
MBIO za kuwania kupanda Ligi Kuu Bara zinazidi kunoga wakati Ligi ya Championship ikiendelea tena wikiendi hii, na kesho Jumapili zitapigwa mechi saba na moja Jumatatu kuhitimisha raundi ya 19,…
JINAMIZI la mwenendo mbovu wa matokeo limeendelea kuikumba KMC msimu huu, huku kocha wa kikosi hicho, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, akiendeleza rekodi mbaya, tangu alipojiunga nayo Desemba 30, 2025, akichukua nafasi…
WACHEZAJI wanaocheza timu za Ligi Kuu Bara, wameanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya kufunga 'Hat-Trick' mbili kabla ya mechi za jana, ikiwa ni idadi kubwa kwa…
NYOTA wa kikapu wa aliyetamba na Pazi msimu uliopita wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam, Josephat Peter 'Tekenya' amekuwa mchezaji wa kwanza wa mchezo huo picha yake kutumika kama…
Wadau wa soka wanasema kuwa sasa ni wakati mwafaka kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kushirikiana rasmi na kampuni ya kamari kama sehemu ya jitihada za kuhuisha uongozi na kufungua…
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wilfred Kidao, ni miongoni mwa wajumbe nane wanaounda Bodi ya Usimamizi wa TRA United SC inayoongozwa na Mwenyekiti wake,…
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Abdihamid Moallin ‘Master Lecturer’, huenda akarejea Tanzania hivi karibuni ikiwa atafikia makubaliano na timu tatu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara, baada ya kuonyesha uhitaji mkubwa…
KIUNGO mshambuliaji wa TRA United, Ramadhan Salum Chobwedo, ingawa kwa sasa amefunga bao moja dhidi ya Tanzania Prisons, anasema malengo yake makuu ni kuhakikisha mchango wake unasaidia timu kushinda.
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema wanayasogelea malengo yao ya msimu huu, aliyoyataja ni ubora wa timu kila inapocheza mechi, wachezaji viwango vyao kuwa juu na kuhakikisha wanamaliza nafasi…
FOUNTAIN GATE inapitia wakati mgumu, ikiwa haijashinda tangu mwaka huu 2026 uanze kwenye michuano ya Ligi Kuu Bara, lakini kocha wa kikosi hicho, Mohammed Ismail ‘Laizer’ amelitaja tatizo linalowasumbua.
UPAMBANAJI wa kiungo Mtanzania, Zuwena Aziz 'Zizou' anayechezea timu ya Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone, haukuwa rahisi kuna kipindi alitamani kuachana kabisa na mchezo huo wa…
SERIKALI kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), imeidhinisha marekebisho ya katiba ya Klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa…
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema licha ya kushindwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wamepata somo zuri wanalotaka kuanza kulitumia kesho Alhamisi dhidi…
BAADA ya vipigo viwili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema hatarajii kurudia makosa kwenye pambno lijalo la michuano ya Kombe la Shikirikisho…
LICHA ya Pamba Jiji jioni ya leo kuwa na kibarua cha kukabiliana na Alliance FC katika mechi ya hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho (FA), kocha wa timu…
Wakati Kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete kikiadhimisha miaka 10 tangu kianzishwe, baadhi ya makocha wamesema zaidi ya wachezaji bora 35 wametokea hapo.
BUGANDO Planet imeitikisa Mwanza Eagles katika nusu fainali ya kwanza ya mashindano ya Dunda Wish Basketball baada ya kuifumua kwa pointi 69-56.-56. Nusu fainali hiyo inachezwa kwa mfumo wa timu…
SUPASTAA wa timu ya kikapu ya Dar City, Jamal Ally amezungumzia kwa mara ya kwanza ubora wake katika kikosi hicho kufuatia vaibu ambalo amekuwa akilionyesha katika Ligi ya Kikapu Mkoa…
Wananchi wa Kijiji cha Somanga wameiomba Benki ya NMB kufanya bonanza mara kwa mara ili kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu uwekaji na fursa mbalimbali zinazopatikana katika taasisi hiyo.
LICHA ya timu kufanya vizuri kwa kushika nafasi ya nne katika Ligi Kuu Bara, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mtibwa Sugar, Aboubakar Swabri amejiuzulu nafasi yake ndani ya timu hiyo.
BAADA ya kukwama kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba inaanza upya msako wa tiketi ya kushiriki michuano ya CAF kwa msimu ujao, itakaposhuka usiku wa leo kwenye…
KOCHA Miguel Gmondi amehakikishiwa maisha Taifa Stars baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa, huku akiwaahidi mashabiki wa soka nchini furaha kuliko ile ya kucheza 16 Bora ya…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemtaka Msajili wa Vyama vya Michezo Tanzania, kuipa Simba majibu ya kinachoendelea kuhusu mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji.