Kundemba, Vuga ngoma droo Masauni & Seif Cup
TIMU za Kundemba na Vuga zimeanza kwa suluhu katika mechi ya uzinduzi wa michuano maalumu ya Masauni & Seif Cup iliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, mjini Unguja, ikishirikisha…
JKT TZ yaendelea rekodi mbovu
KIPIGO cha mabao 5-0, ilichokipata JKT Tanzania juzi kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi Yanga, kimeifanya timu…
Nsajigwa akiri ana kibarua kizito
SAA chache tangu awaage wachezaji aliofanya nao kazi Transit Camp, Kocha Shadrack Nsajigwa 'Fuso' amekiri ana kazi kibarua kikubwa cha kufanya kuhakikisha timu anayokabidhiwa inarudi kwenye ushindani.
Josiah atambia rekodi mpya Dodoma
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, amesema suluhu (0-0), iliyoipata timu hiyo juzi dhidi ya Simba ni kutokana na wachezaji wa kikosi hicho cha 'walima Zabibu', kufuata vyema maelekezo…
Mtibwa hali mbaya, yapigwa tena Chamazi
NINI kimeikuta Mtibwa Sugar? Ni swali unaloweza kujiuliza kufuatia timu hiyo kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Yusuf Chipo.
Shilingi imesimama, Dodoma Jiji yakataa unyonge mbele ya Simba
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji, Dodoma Jiji dhidi ya Simba, imemalizika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, huku ikishuhudiwa pambano hilo lililokuwa la kuvutia kutokana na ushindani…
Yanga yatuma salamu Msimbazi ikiichapa JKT Tanzania 5-0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wameendelea kuthibitisha ubora wao katika ligi hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa nane mfululizo kufuatia kuwachapa Maafande wa JKT Tanzania mabao 5-0,…
Fountain, Namungo Ligi Kuu ya NBC, mechi ya mipango
WAKATI leo Alhamisi Fountain Gate na Namungo zikiwa viwanja tofauti kusaka pointi Ligi Kuu Bara, unaweza kusema hali ni tete kwa timu hizo ndani ya raundi tano zilizopita sawa na…
Julio ashtuka, aomba mechi za kirafiki
JAMHURI Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuiongoza Mashujaa katika mechi mbili akiwa kocha mkuu akishinda zote ikiwamo dhidi ya Mtibwa Sugar Ligi Kuu na ile ya Kombe la Shirikisho mbele ya…
Neno la Cabaye akiuguza goti
KIUNGO wa Tanzania Prisons, Abdallah Masoud ‘Cabaye’ ambaye kwa sasa yupo nje ya uwanja akiuguza jeraha la goti ameweka wazi kuwa bado ana matumaini makubwa ya kurejea mapema kuisaidia timu…
Mayele afunga baada ya siku 122 akiweka rekodi mpya Misri
MSHAMBULIAJI wa Pyramids FC na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele amemaliza ukame wa siku 122 baada ya juzi kufunga bao la Ligi Kuu ya Misri katika mechi…
Prisons yaachana na Otieno, Nsajigwa atajwa kumrithi
BAADA ya Tanzania Prisons kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Zedeckia Evans Otieno, inaelezwa iko katika hatua nzuri ya mikoba yake kumkabidhi Shadrack Nsajigwa 'Fuso' kutoka kwa maafande…
Nyota Vijana aikumbuka Dar City
WAKATI wachezaji wakielezea ugumu wa michezo waliyocheza katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2025, nyota wa Vijana (City Bulls), Leonard Andrea amesema mchezo dhidi ya Dar…
Droo 32 Bora CRDB Cup yapangwa, ugumu upo hapa
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ushindani mkali wa hatua ya 32 bora, mechi zinazotarajiwa kuchezwa Machi…
Droo 32 Bora CRDB Cup yapangwa, ugumu upo hapa
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ushindani mkali wa hatua ya 32 bora, mechi zinazotarajiwa kuchezwa Machi…
Beki kinda Yanga atua TRA United
BEKI wa kulia kinda wa timu ya vijana ya Yanga U-20, Isaack Mtengwa amejiunga na TRA United iliyopo Ligi Kuu kwa kwa mkopo wa miezi sita akitokea Wakiso Giants ya…
Kocha Mtibwa Sugar alia na mabeki
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo amelia na safu ya ulinzi kurudia makosa, huku akisisitiza wamekutana na timu bora ambayo imetumia udhaifu walionao kuwaadhibu na sasa wanaenda kujipanga kwa…
Coastal Union wapo kamili gado Ligi Kuu Bara
WAKATI ikijiandaa kwa ajili ya mechi za duru la pili la Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema 'Wagosi wa Kaya wameimarika' na wapo tayari kwa…
Polisi Tanzania ilivyovunja ‘Unbeaten’ ya Geita Gold
MAAFANDE wa Polisi Tanzania, wamevunja rekodi ya Geita Gold ya kutopoteza mchezo wowote (Unbeaten) katika Ligi ya Championship msimu huu baada ya jana Februari 22, 2026 kuichapa mabao 2-0 kwenye…
Depu akoleza moto, akiipa Yanga pointi tatu
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Laurindo Dilson Maria Aurelio 'Depu' ameendeleza makali katika Ligi Kuu Bara, baada ya kuifungia bao moja kwenye ushindi wa wa 1-0 dhidi ya Namungo FC.
Nado azidi kuzamisha jahazi la KMC
MABAO mawili ya kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Idd Seleman 'Nado', dhidi ya KMC, yametosha kuipa timu hiyo ushindi wa 2-0, katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku kikosi hicho…
Dakika 1326 za kutisha za Paul Peter
MSHAMBULIAJI wa maafande wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, ameichezea timu hiyo dakika 1326 za mashindano yote hadi sasa, huku akiwa na rekodi bora, ikiwa ni msimu wa kwanza tu…
Nyota watatu wamtibulia Laizer Fountain Gate
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’, amesema kuwakosa wachezaji watatu waliofikia makubaliano ya kutua ndani ya kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ni pigo kubwa kwake,…
Bwenzi akaribia mwaka bila bao
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa, Seleman Rashid ‘Bwenzi’, anakaribia kufikisha mwaka mzima bila ya kufunga bao lolote la Ligi Kuu, tangu mara ya mwisho nyota huyo alipofunga wakati akiwa na kikosi…
Kichuya apiga hesabu kali Coastal Union
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Shiza Kichuya amesema kasi aliyoanza nayo akiwa na kikosi hicho katika kufumania nyavu, inampa nguvu ya kupiga hesabu kali zaidi ili kufunga mengi kuliko ilivyokuwa msimu…
Geay afunika tena Deagu Marathon
MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu Marathon 2026 kwa kutetea ubingwa wa mbio hizo kwa mara ya pili mfululizo zilizofanyika…
Singida Black Stars yarudi na moto Bara
SINGIDA Black Stars imerejea kwa kishindo katika Ligi Kuu Bara baada ya leo mchana kuifyatua Mtibwa Sugari kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma na kuchupa…
Morice Sichone asaini mmoja UAE
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kitanzania, Morice Sichone amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza huko United Arab Emirates akitokea Tridents FC ya Zambia.
Kipa Mtanzania ang’ara Falme za Kiarabu
KIPA kijana wa Kitanzania, Abdallah Hamisi anaendelea kuandika rekodi yake kimyakimya katika Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE Pro League) baada ya kupandishwa kutoka kikosi cha vijana hadi timu…
Noela Luhala aula Lithuania
BEKI wa zamani wa Yanga Princess, Noela Luhala, ametambulishwa rasmi kujiunga na timu ya wanawake ya MFA Zalgiris ya Lithuania, hatua inayomfungulia ukurasa mpya katika soka la Ulaya.
Hasnath Ubamba anakiwasha Misri
MSHAMBULIAJI nyota wa Tanzania, Hasnath Ubamba ameendelea kung’ara nchini Misri akikipigania kikosi cha FC Masar Women kuendeleza mbio za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Khalid Adam atamba kuinusuru African Sports
LICHA ya mwenendo mbaya wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, ila kocha wa kikosi hicho, Khalid Adam, amesema ataendelea kuipigania timu hiyo hadi mwishoni, ili ibakie…